Mkwe wa Donald Trump amesajiliwa kupiga kura kama mwanamke kwa miaka 8, inadaiwa.
Jinsia yake imesajiliwa kama "mwanamke" katika rekodi kutoka bodi ya uchaguzi jimboni New York, kwa mujibu wa...
Matukio yanayoendelea katika nchi za Africa Mashariki ni dalili tosha miongo miwili ya Demokrasia na mfumo wa vyama vingi vya kisiasa upo hatarini.
Uganda kuna mpango wa kupeleka mswada bungeni...
Je ni njaa iliyom'bana punda Vitus?
Mahakama ya Ujerumani Alhamisi itaamua Alhamisi iwapo mmiliki wa punda aliyejaribu kulitafuna gari anapswa kulipia gharama za uharibifu wa gari hilo.
Mnamo...
UFILIPINO: Rais Duterte amesema atatoa amri mtoto wake wa kiume auawe ikiwa itathibitika kuwa anajihusisha na Biashara ya Da wa za Kulevya.
======
One of the sons of Philippine President Rodrigo...
Urusi kalipua kombora LA Topol RS - 12M.California Na Hawaii wanataka kufanya maandalizi ya kuwafunza wananchi wao jinsi ya kujikinga Na mionzi ya Nuclear.
Itakumbukwa wiki mbili zilizopita Urusi...
China imeonya uchokozi wowote wa vita katika rasi ya korea Hautakuwa na mshindi
China imezionya nchi za Marekani, south korea na Japani kuwa vita vya aina yoyote itakayoanzishwa na yeyote katika...
Rais wa Marekani, Donald Trump juzi alitoka nje ya mkutano wa G20 huko Berlin, Ujerumani na kiti chake kukaliwa na mwanae wa kike Ivanka Trump pale ulipofika muda wa kujadili masuala ya Afrika na...
Rais mpya wa Angola anatarajiwa kuapishwa leo Jumanne.
João Lourenço, aliyekuwa waziri wa ulinzi anachukuwa nafasi ya Jose Eduardo Dos Santos rais anayeondoka ambaye aliamua kuachia madaraka...
.
GDP of China at PPP: 21 trillion USD
GDP of USA at PPP: 19 Trillion USD
When you talk about the size of the economy, PPP should be the figure that you look at because it takes account of the...
Africa ni sehemu nzuri sana kwenda kufanya biashara na nina marafiki wengi wanaokuja Africa kutafuta utajiri wa haraka hii ni kauli ya Rais Donald Trump wa Marekani wakati alipokutana na baadhi ya...
Hii imeandikwa kwa lugha ya kikorea. Lakini nimetumia google translator:
North Korea anaelezea namna US wanavyotumia mabavu kukandamiza nchi zingine. Na wanaeleza hawatakuwa tayari kuona wananchi...
Hofu ya kulipuka volkano katika kisiwa cha kitalii cha Bali
2 minutes
Indonesia imeonya kuwa mlima wa volcakano katika kisia cha kitalii cha Bali umefikia kiwango kibaya huku kukiwa na hofu ya...
Maamlaka za Sri Lanka zimemtia mbaroni mwanamme mmoja kwa madai ya kuficha mapambo ya almasi ya kilo moja kwenye rektamu. Ametiwa mbaroni kwenye uwanja wa ndege akijaribu kupitisha mapambo hayo...
Ajali ilivyotokea.
MTALII wa Ufaransa amepongezwa baada ya kunusru vifo vya watu zaidi ya 21 waliotaka kufa ajalini nchini Austria.
Mtalii huyo alikuchukua hatua za haraka kulizuia basi...
Afisa mmoja nchini DRC anasema wafungwa 34 wametoroka gerezani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC baada ya kuuvunja ukuta wakati wa mvua mkubwa iliyokuwa inanyesha.
Kwa mujibu wa...
Rais wa Korea kaskazini afikiria suluhu ya mazungumzo kuliko Vita baada ya ndege za kivita za marekani kuingilia anga la Korea kaskazini ambalo hakuna mpinzani wa NK huwa anafika hapo, lisaa...
At the entry gate of a university in South Africa the following message are posted for contemplation:
*"Destroying any nation does not require the use of atomic bombs or the use of long range...
Ndege ya kisasa ya kipelelezi US U2 Spy plane na Drone ya kijasusi ya RQ-4 reconnaissance Drone zimefurushwa kwenye anga la Iran zilipokuwa katika harakati za kuipeleleza nchi hiyo.
Kamanda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.