International Forum

News and Stories from rest of the World
What they tell us about north korea is wrong. Angalia watoto wadogo walivyo na uwezo wa hali ya juu.
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Jeshi la uturuki lipo mpakani mwa syria na iraq ambapo linafanya mazoezi ya nguvu. Sababu ya kufanya hivyo ni kutopenda kufanyika kwa kura ya maoni ya jimbo la wakurdi wanaotaka kujitenga kutoka...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wapendwa kwatika bwana Kama kichwa cha habar kinavyo jieleza hapo juu .ubabe bado mkubwa sana huko ras ya korea marekan ametuma madege makubwa ya kivita ili kumuonya kim na...
7 Reactions
29 Replies
9K Views
Watu 6 wamejeruhiwa huko Stratford mashariki mwa London kwenye kile kinachotajwa kuwa shambulizi la tindi kali. Polisi waliitwa kwenda huko Stratford kufuatia makabiliano kati ya makundi mawili...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
WanaJf hakika mahasimu hawa ambao tumeshuhudia wakitupiana maneno na kujiita majina yasiyofaa kila mmoja, Korea kaskazin na Marekani kama watafikia hatua ya kushambulia kijeshi basi dunia nzima...
1 Reactions
2 Replies
912 Views
TRUMP DHIDI YA KIM NA DHANA ZA HEGEMONIC NA STATE BEHAVIOUR KATIKA NATIONAL INTERESTS! Dunia nzima sasa imekaa kama watu wanaosubiria jambo fulani kwa makini. Jambo hili ni vita baina ya Marekani...
1 Reactions
0 Replies
791 Views
Karibuni Timu Trump na Timu Kiduku..... Kiongozi wa Korea Kaskazini amwita Rais Donald Trump "mbwa mwenye hofu" na "gangster anayependa kucheza na moto" katika taarifa rasmi iliyotolewa jana...
5 Reactions
89 Replies
9K Views
Rais Robert Mugabe amemshambulia Rais Donald Trump wa Marekani katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa akimkejeli kuwa sawa na sanamu kubwa la Goliath lililonakshiwa kwa dhahabu. Akihutubia...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
Rais Wa Korea ya kaskazini hakamatiki kwa kauli za kejeli na dharau! Adau "atamfuga" kibabu Trump ambaye amezeeka na akili yake imezeeka na kuwa kama ya zezeta. Ametumia msamiati mkali Wa English...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
John Haltiwanger,Newsweek 9 hours ago The seemingly neverending war of words between U.S. and North Korean leaders has escalated yet again. Kim Jong Un referred to President Donald Trump as...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mamlaka inayohusika na usafirishaji imeifutia leseni kampuni ya Uber na hivyo haitaruhusiwa kuendesha shughuli zake katika jiji la london.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Takribani wahamiaji 50 wanahofiwa kufariki baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika pwani ya Libya. Inadaiwa kuwa boti hiyo iliishiwa mafuta. Boti hiyo iliondoka katika mji wa Sabratha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mamia ya vijana wamefanya maandamano katika maeneo ya uchimbaji madini nchini Guinea, huku wakichoma moto kituo cha polisi na kuwasha moto kwenye jengo lingine la umma. Habari kutoka mji wa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Maelfu ya watu wameandamana nchini Ufilipino kwenye maadhimisho ya miaka 45 tangu kupitishwa kwa sheria ya kijeshi nchini humo wakipinga walichokiita maamzuzi ya kiimla ya Rais Duterte na umwagaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nine elephants were electrocuted by electric power lines while drinking water from a leaked pipe at Dukwi village near Sua Pan in Botswana. The elephants hit the overhead power lines which fell...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Gavana wa Benki Kuu ya Kenya Patrick Njoroge hatimaye amekubali kuondoa picha ya Rais wa kwanza wa nchi hiyo Mzee Jomo Kenyatta kwenye noti zote. Picha za Utalii na Kilimo kama Wanyama Pori ...
1 Reactions
12 Replies
41K Views
Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na nchi za 5+1 kimefanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York kwa lengo la kutathmini utekelezwaji wa mapatano ya nyuklia ya Iran...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Ed Mazza,HuffPost 7 hours ago President Donald Trump called Kim Jong Un “rocket man” earlier this week, and now the North Korean dictator has returned fire. Kim gave Trump a nickname of his...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada wa kibinadamu wa Korea Kusini umekuja katikati ya mvutano juu ya muendelezo wa vitisho vya nyuklia na kijeshi vinavyofanywa na Korea Kaskazini ambapo kumekuwa na hisia mbalimbali juu ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
It might make things worse. Kim Jong Un: What If America Just Assassinated North Korea's Dangerous Dictator? Putting Kim six feet underground is only one choice in a set of options that the...
3 Reactions
0 Replies
811 Views
Back
Top Bottom