Huwa napata tabu sana kuwaelewa watu wanao wabeza askari polisi. Kiukweli kazi ya uaskari polisi ni moja kati ya kazi za kizalendo sana kwani ni kazi inayo waweka wahusika...
Iran Unveils New Multiple Warhead Ballistic Missile
Ijumaa ya Leo IRAN yaendelea kukaidi mwitikio wa US wakuitaka iachane na mpango wake wa kutengeneza makombora ya Ballistics ya masafa...
Raia wa Korea Kaskazini wamepigwa marufuku kuingia nchini Marekani.
Korea Kaskazini inaingia kwenye orodha ya nchi za Venezuela na Chad ambazo zimezuiliwa kwa viongozi na familia zao.
Nchi...
Afisa mmoja nchini DRC anasema wafungwa 34 wametoroka gerezani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC baada ya kuuvunja ukuta wakati wa mvua mkubwa iliyokuwa inanyesha.
Kwa mujibu wa...
Habari zinazotawala kwa muda huu ni juu ya tamko la waziri wa mambo ya nje wa Korea Kaskazini kuibuka na kuitangazia dunia kuwa waki tayari kwa vita dhidi ya marekani.
Leo Rais Trump akihutubia wajumbe wa baraza la umoja wa mataifa kasema maneno yenye kuonyesha uoga kuwa anaihofia NK,nilichokigundua nikuwa anajua NK inaouwezo wa kupiga hadi USA na kuwateketeza...
Ni hotuba iliyotumia lugha nyepesi bila ya terminologies ngumu za shule na ujumbe umefika bila ya kuzunguka mbuyu. Haikuwa hotuba ya darasani (academic) ilikuwa ni hotuba yenye uhalisia wa dunia...
kikosi cha jeshi la nchini Nigeria
Serikali ya Nigeria imekamata silaha zilizokuwa zinaingizwa nchini humo kupitia bandari ya Lagos kinyume cha sheria, kutoka nchini Uturuki.
Ni mara ya nne sasa...
Wakuu mitazamo yenu maana mimi naona inaenda tokea vita kuu ya dunia au wote wana ogopana?? Maana korea imeahidi inatungua ndege meli za kivita zozote zitazopita karibu au hata nje ya korea...
Polisi mjini Berlin wamemsifu mkimbizi wa Iraqi aliyekabidhi pochi aliyoipata ikiwa na kitita cha dola $16,800.
Pochi hiyo iliachwa ndani ya treni Ijumaa iliyopita usiku na mwanamke kikongwe...
Habari wapendwa...
Leo huko nchini Germany,uchaguzi wa kihistoria unafanyika huku ikisubiriwa kwa hamu na shauku kubwa kuona je,Mama Angela Merkel na Chama chake ataendelea kutawala tena kwa...
Serikali ya Marekani Ijumaa iliyopita iliwaambia maafisa wa uchaguzi kuwa wadukuzi walishambulia mitambo yao ya uchaguzi kwenye majimbo 21 japokuwa kwa kiasi kikubwa hawakuweza kuingilia mitambo...
Nimefurahi sana Angela kuchaguliwa tena kuea Chancellor was ujerumani. Sasa EU Na euro is right back on truck mashenzi uingereza yaondoke kabisa.
Ujerumani Na ufaransa ndio baba Na mama wa EU Na...
Habari zenu wanajukwaa. Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Rais wa Philippines Rodrigo Durtete ameliagiza jeshi la polisi nchini humo kumchunguza na ikiwezekana wamuue mwanaye Paul Durtete...
Zimbabwean police arrested activist pastor Evan Mawarire of the #ThisFlag movement as he stepped down from his pulpit on Sunday.
They accused him of subversion for a series of social media posts...
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Rais Donald Trump wa Marekani hajui lolote kuhusu dunia na eneo nyeti la Mashariki ya Kati isipokuwa fedha, mafuta na kudansi akiwa ameshika...
Marufuku kutuma pesa au kufanya biashara na North Korea.Bank zote zitakuwa monitored.Trump atakata internet .Secretary of Defense amesema North Korea itageuzwa Kuwa carpet
Huyu kama atakua aling'atwa na mbwa maana amekua na kichaa kisichoeleweka. Jamaa anafanya majaribio ya nyuklia zake na kusababisha ukanda huo kutokalika kwa mitetemeko kila uchao. Anatikisa kote...
Katika kile kinachoonyesha kuzikwanza nchi mbali mbali duniani na hata nchi za Afrika, raisi Joseph Kabila amejikuta katika wakati mgumu baada ya hotuba yake kususiwa na kujikuta akihutubia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.