Waziri wa afya nchini Marekani, Tom Price amejiuzulu baada ya kukodi ndege binasfi ikiwa ni kwa ajili ya shughuli za kiserikali.
Waziri Price aliomba radhi kwa kufanya safari akitumia ndege za...
Being called a 'good man' by Trump is sometimes an omen
By JILL COLVIN,Associated Press Sep 30, 2017
BRANCHBURG, N.J. (AP) — Sometimes it's better not to be a nice guy.
President Donald Trump...
Mtandao wa kijamii wa Twitter, umebaini kuwa kulikuwa na matangazo 2,000 yaliyotumiwa na vyombo vya Habari nchini Urusi kujaribu kuingilia Uchaguzi wa Marekani mwaka uliopita.
Taarifa kutoka...
Mkanyagano umetokea baina ya watu waliokuwa wamejificha kwenye daraja la reli ya Mumbai
Mvua kubwa ilikuwa imenyesha na watu wakajificha kwenye daraja hilo, na baada ya mvua kukata ndipo watu...
Kituo CCIB FM+, cha radio nchini Burundi kimefungiwa kwa muda baada ya kukosoa Serikali kufuatia mauaji ya warundi wakimbizi nchini Jamuhuri ya demokrasia ya kongo.
CCIB FM+, cha nchini Burundi...
Mwarabu kasema majaribio kama hayo yataendelea na yataendelea tu. Kasema hakuna MTU wa kumpangia silaha gani awe nayo na silaha gani asiwe nayo!
Huku KIDUKU anajambisha. Huku Iran anajambisha...
Watu 5 wamepoteza maisha na 20 kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko wa bomu karibu na msikiti wa Shia mjini Kabul wakati watu walipokuwa wanatoka kuswali sala ya Ijumaa
Msemanji wa Wizara ya...
China imeyaambia makampuni ya Korea Kaskazini yaliyo nchini mwake kufunga, wakati inajaribu kutekeleza vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya taifa hilo.
Makampuni hayo yatafungwa ifikapo mwezi...
Summary:
1.Huyo Bwana anasema Marekani haipaswi kuwa kimbelembele kuinyooshea kidole North korea kuhusu silaha za Nyukilia wakat, yenyewe inazo, na ndiyo nchi pekee duniani kuwahi kuzitumia dhidi...
Mfalme Salman ametoa amri ambayo itaruhusu wanawake kuanza kuenesha magari,
wizara ya mambo ya nje ya taifa hilo imesema kupitia ukurasa wake wa Twitter.
Kamati imeundwa kutekelezwa kwa maagizo...
Maafisa usalama nchini Somalia wanasema mlipuko wa bomu la kwenye gari katika mji mkuu Mogadishu umewaua takriban watu saba na kuwajeruhi wengine sita.
Msemaji wa utawala wa Mogadishu Abdifatah...
Sept 25, 2017
Nairobi, Kenya
A Story a Day Episode 24: Joseph Kabila Kabange
After Mzee Tatu (Laurent-Désiré Kabila) was assassinated, his son Joseph Kabila was sworn in as President. Jeff...
Anaandika Luqman Maloto
Mwaka 1998, ilivuja skendo kubwa ya kimapenzi Marekani. Kwamba kati ya mwaka 1995 mpaka 1996, Rais wa 42 wa nchi hiyo, Bill Clinton alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na...
Hugh Hefner, who created Playboy magazine and spun it into a media and entertainment-industry giant — all the while, as its very public avatar, squiring attractive young women (and sometimes...
Korea Kaskazini yailaumu Marekani kwa kutangaza vita
Waziri wa mambo ya nje wa Korea Kaskazini wamedai kwamba rais wa Marekani Donald Trump ametangaza vita dhidi ya taifa hilo.
Ri Yong-ho...
Baada ya Trump kukurupuka kutangaza kuiangamiza NK, Korea ilijibu kuwa itadungua ndege za USA zikipita S. Korea au Japan.
Msemaji wa ikulu ya marekani ametoa taarifa kuwa Trump hakutangaza vita...
Kundi ya watalii kutoka nchini uholanzi wamesitisha likizo yao ya siku 22 nchini Afrika Kusini baada ya kuvamiwa na kuporwa mjini Johannesburg.
Watalii hao 36 walikuwa wamewasili kwenye uwanja wa...
Ana technologia ya kufa mtu ambayo mataifa yote duniani yanaitafakari. Kim sio mpumbavu kumbwekea Marekani vile. Huyu jamaa inasemekana ana uwezo wa kuzima satellites zote angani zinazoendesha...
Maelfu ya raia nchini Afrika Kusini wameandamana katika miji kadhaa nchini humo kupinga ufisadi serikalini na kushinikiza rais Jacob Zuma anayekabiliwa na kashifa kadhaa kujiuzulu. Zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.