Msichana mmoja wa miaka minne amefariki kutokana na malaria ya ubongo kaskazni mwa Italia, eneo ambalo halina ugonjwa huo katika kile ambacho madaktari wanasema ni kisa kisicho cha kawaida.
Sofia...
Kamanda wa Jeshi nchini Lesotho, Luteni Jenerali Khoantle Motsomotso ameuwawa kwa kupigwa risasi na wanajeshi wenzake, kwa mujibu wa maafisa kutoka nchini humo.
Waziri wa ulinzi wa nchi hiyo...
Maafisa wa Polisi walioathiriwa na maradhi ya kipindupindu Nairobi imeongezeka huku jumla ikifikia maafisa 96.
Waziri wa Afya Kaunti ya Nairobi, Dkt. Benard Muia alisema jana kuwa idadi hiyo...
IMF 2019 GDP (nominal) forecast of the fifteen biggest African economies, all figures in billion US $
The forst figure is the 2014 value and the second is the 2019 value
1. NIGERIA...
najaribu kuwaza...
Vipi ikija kujulikana miaka ijayo kwamba hakuna chuki wala ugomvi kati ya watu,tawala na viongozi wa nchi hizo bali ni mbinu za kutengeneza hofu kwa dunia kwa faida wanazozijua...
Takribani watu Elfu sitini(60,000) wamelazimika kuyaacha makazi yao huko Frankfurt ili kuruhusu Jeshi la Ujerumani ku-defuse bomu lililokuwa halijalipuka toka Vita Kuu ya Pili ya Dunia liitwalo...
Polisi wa Rwanda wamesema kuwa wana familia watatu wa familia ya Rwigara waliokuwa wakishikiliwa kwa ajili ya kuhojiwa wameachiwa siku ya jumatatu usiku.
Familia hiyo inahusishwa na makosa ya...
Mi binafsi nadharau huo mfumo naona kama umepitwa na wakati na hauna mana. Pia naona kama dunia ya sasa haki ya kutawala haipaswi kutokana na kuzaliwa japo kiukweli hiyo familia haina nguvu...
Siku ya tarehe 20 August south Korea na USA walianza kufanya mazoezi ya pamoja na kusema kweli mazoezi haya yalikuwa ni kama kumwaga petroli kwenye moto
Mwaka Jana south na USA walivyofanya...
Mahakama kuu Kenya imeruhusu chama cha upinzani Kenya kuchunguza mfumo wa ICT wa IEBC jinsi illivyokuwa ikipokea matokeo. Hii ni pigo kubwa kwa Chama cha Jubilee. Uchakuaji kuwekwa hadharani kwani...
Balozi wa Marekani kwenye Umoja wa Mataifa ameilaumu Korea ya Kaskazini kwa kulazimisha vita kutokana na majaribio yake ya makombora ya mara kwa mara.
Nikki Haley ametaka kuwepo kwa muda wa...
Mwanaanga, Peggy Whiston amerejea duniani baada ya kuwa nje ya sayari hii kwa siku 228 kwa misheni 1 na 665 kwa jumla.
Anakuwa mwanamke wa kwanza kuwa nje ya dunia kwa muda mrefu na pia ameweka...
Siku ya 5 january 2016, North Korea walitangaza wamefanikiwa kujaribu bomu aina ya H-Bomb walilolitengeneza,.January Mwaka Jana North Korea waliweka headline kwa tukio hilo,inasemekana mnamo 5...
Urusi kwa mara nyingine ameonya huyu dogo asiguswe, na kwamba kumgusa itasababisha moto usiozimika.
Tatizo ni kwamba huyo Kim anazidi kuchizi, yupo anabonyeza bonyeza tu, mizinga inapepea na...
Helikopta aina ya Agusta hutumiwa na majeshi mengi na idara za polisi duniani
Wanajeshi wa Ubelgiji wanamtafuta rubani wa helikopta ya jeshi ambaye alianguka kutoka kwa ndege hiyo wakati wa...
Raisi wa Marekani Donald Trump anafikiria kuvunja mkataba baina ya marekani na South Korea ujulikanao kama Korus, kwa kigezo haoni umuhimu wake huku ukiiletea hasara zaidi marekani, Amesema...
Polisi nchini Argentina wamempiga risasi njiwa ambaye anatumiwa kusafirisha dawa za kulevya kupeleka kwa wafungwa gerezani.
Njiwa huyo alionekana akiruka hadi uwanja wa gereza moja lililo mji wa...
Kiongozi wa chama cha mrengo wa kulia cha One Nation Party nchini Australia alivalia vazi la Burqa katika bunge la seneti nchini humo.
Pauline Hanson aliingia katika kikao cha bunge hilo na kukaa...
Selena Gomez was first, Who’s next?
A bug that exposed users’ contact information affected a far greater number of accounts than Instagram originally said. The bug, which appears to have been...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.