International Forum

News and Stories from rest of the World
Berlin, Ujerumani. Muuguzi nchini Ujerumani anayetumikia kifungo cha maisha kwa kuwaua wagonjwa sita, imebainika aliwaua wengine 84. Idadi ya watu aliowaua imemwingiza katika rekodi ya mwanamke...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jiji kuu ni pyongyang Serikali - kiongozi mkuu Ufalme - gojoseon Nchi hii ilijitangazia uhuru ikiwa bado chini ya utawala wa Japani 1/4/1919 Ukombozi kutoka utawala wa Japani ilikuwa ni 15/8/1945...
9 Reactions
41 Replies
8K Views
Mahakama ya Katiba ya Guatemala imesitisha uamuzi ulitolewa na raisi Jimmy Morales Kumfukuza mkuu wa ujumbe wa kupambana na rushwa wa Umoja wa Mataifa nchini humo, ambaye aliitisha uchunguzi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kim Jong-un katika shule ya ulinzi na sayansi akikagua vifaa .Picha hiyo ilionyesha makombora ya Hwasong 13 na Pukguksong-3. Korea Kaskazini imeonekana kufichua maelezo ya...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Watu wasiopungua 28 wamefariki dunia kutokana na maporomoko ya udongo yaliyotokea jana huko Kolwezi, mkoani Lualaba, kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Gavana wa sehemu hiyo Richard...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mamilioni ya samaki waliokufa wamepatikana kwenye ukingo wa mto wa Keelung ,Taiwan nchini China. Kulingana na idara ya kulinda mazingira ya Taipei joto kali lilipunguza kiwango cha oksijeni ndani...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo ni siku ya nne kimbunga Harvey kinaipiga Marekani kwenye majimbo mawili ya Texas na Louisiana. Ingawa mpaka sasa waliopoteza maisha wanakisiwa kufika 21, idadi hii ingeweza kuwa maradufu kama...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
Hii ni baada ya msichana huyo kuvaa nguo zinazofanania na sare za jeshi =========================================== The photo of a Nigerian lady being reportedly stripped and molested by...
3 Reactions
152 Replies
24K Views
Wadau kisiwa cha Guam kimejipatia umaarufu mkubwa karibuni kufuatia mzozo unaozidi kukua baina ya DPRK na USA. Mzozo huo umefikia hatua ya DPRK kutishia kukishambulia kisiwa hicho kwa makombora...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
SAA kubwa nchini uingereza iliopewa jina "Big ben" inayokaa Elizabeth Tower, Itazimwa kwa maboresho mnamo agosti 21 mwaka huu kwa muda WA miaka mi4 mpaka 2021. SAA hiyo INA uzito WA tani 13.7...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
NORTH KOREA Korea kaskazini imesema kwamba mwaka huu haitafanya maonyesho yake ya anga 'Wonsan Air Festival ' ambapo ndege zake za kadhaa (Su-25, Mig-21, Mig-29) hufanya maonyesho ya anga. Hilo...
0 Reactions
77 Replies
13K Views
USA imeitaka china kutumia ushawishi wake kwa korea kaskazini kuitaka nchi hiyo kurudi katika meza ya majadiliano kuhusu mpango wao wa silaha za nyuklia Marekani inaamini china ina uwezo wa...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Rais Muhammad Buhari ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kwa mara ya kwanza tangu atoke kwenye matibabu nchini Uingereza kwa takribani miezi mitatu mfululizo. BuhariSoma anatakiwa kufanya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Seoul, Korea Kusini. Mahakama moja nchini Korea Kusini imemhukumu kifungo cha miaka mitano jela Mkurugenzi Mkuu na mrithi wa Samsung, Lee Jae-yong baada ya kutiwa hatiani kwa rushwa na matumizi...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
By Jeffrey Heller,Reuters 2 hours 12 minutes ago By Jeffrey Heller JERUSALEM (Reuters) - Prime Minister Benjamin Netanyahu said on Monday that Iran is building sites to produce precision-guided...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sehemu ya mahojiano ya Paul kagame imenikumbusha thread yangu iliyonipatia "maadui" wengi humu JF. "..So even when I went to the commanders of the college and told them I had to cut short my...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
LUIS MARTINEZ, ELIZABETH MCLAUGHLIN AND TARA FOWLER,Good Morning America 11 hours ago North Korean leader Kim Jong Un has said that his country's most recent missile launch is "a meaningful...
0 Reactions
2 Replies
953 Views
Chuo Kikuu kimoja nchini Afrika Kusini kimesema kwamba kilituma kimakosa jumla ya randi milioni 14 ambazo ni sawa na dola milioni moja za Marekani katika akaunti ya benki ya mwanafunzi mmoja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Polisi nchini Rwanda wamekanusha kwamba wanamzuilia mwanamke aliyetaka kuwania urais katika uchaguzi uliofanyika mapema mwaka huu. Taarifa zilikuwa zimeenea mitandao ya kijamii nchini humo kwamba...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
WW3
HIi range ni hatari sana, wajapan walibidi wajifiche kwenye magofu. Mh!
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom