AFRIKA KUSINI: Mke wa rais wa Zimbabwe, amejisalimisha Polisi akituhumiwa kumshambulia Binti mmoja(20). Aidha anasubiria kufikishwa Mahakamani kujibu mashtaka hayo.
Lakini Mwanamama huyo...
Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na maporomoko ya udongo na mafuriko katika mji mkuu wa Sierra Leone, Freetown, imeongezeka na kufikia zaidi ya watu mia tatu.
Inaofiwa kwamba miili zaidi...
Gunmen have attacked a United Nations peacekeeping base in the city of Timbuktu in northern Mali, killing seven people.
Five of those who died were Malian security guards. The Malian military...
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini wikendi iliopita alizungumzia kuhusu jaribio la kumuua akisema kuwa aliwekewa sumu na karibu afariki kutokana na msimamo wake wa kiuchumi na marekebisho ya umiliki...
Wadau na wapenzi wa hii nchi pendwa ya N/korea, siku za karibuni N/korea ilizindua simu yake ya smartphone ya Jindallae, wapi inapatikana kwa ajili ya kununua. Samahani wale ambao hamuipendi N/korea.
Watanzania mlio nje ya nchi amkeni (Tanzanians in Diaspora Arise): Wakati Tanzania Bara (wakati huo ikiitwa Tanganyika) ikiwa katika harakati za kudai uhuru; tunasimuliwa na wazee wetu, vijana wa...
TERRANOVA COMPANY (T) LIMITED
www.terranova.co.tz
Great thinkers, I recently came across this real estate company in Tanzania that does property management for Tanzanians living abroad. There...
Rais wa Iran Hassan Rouhani amewateua wanawake watatu kuwa makamu wa rais kufuatia shutuma za kuwateua wanaume pekee katika baraza lake la mawaziri.
Makamu wa rais 12 nchini Iran husimamia...
Korea ya Kaskazini imewaita nyumbani mabalozi wake toka China na UN pamoja nchi nyingine muhimu kwenda kuhudhuria kikao maalumu. Inadaiwa ni kikao cha kawaida lakini wengine wanaona kama ni...
Egyptian officials consult each other during the Entebbe extra-ordinary Nile Basin Initiative meeting. PHOTO NBI facebook
The extraordinary Nile Council of Ministers (Nile-COM) meeting in Entebbe...
Afisa wa Cheo cha juu wa kikosi cha kutoa mafunzo cha jeshi la Uingereza nchini Kenya (BATUK) alizirai na kuaga dunia akiwa katika nyumba ya mpenzi wake mjini Nanyuki Jumamosi jioni.
Polisi...
Watu kadhaa wanahofiwa kukwama baada ya maporomoko ya udongo kutokea karibu na mji mkuu wa Sierra Leone, Freetown.
Eneo moja la milima liliporomoka mapema leo Jumatatu kufuatia mvua kubwa, na...
Kiongozi wa Upinzani nchini Zambia, Haikande Hichilema amekana kortini leo mashtaka yanayomkabili ya uhaini, amerudishwa rumande mpaka Jumatano wiki hii.
=======
Zambia's opposition leader...
Josph Kabila ni kama Mobutu Sese Seko ambaye pia alitumia nafasi na madaraka yake kujitajirisha yeye na familia yake. Kwa bahati mbaya demokrasia haijabadilisha dhana hiyo ya kujitajirisha...
Kwa mujibu wa ripoti zilizochunguzwa na kuwasilishwa na Serikali ya Zuma Bungeni Shirika la Ndege, South African Airways liko mbioni kufilisika.
Shirika hilo limekuwa likijiendesha kwa hasara kwa...
Korea Kaskazini imedokeza kwamba inatafakari uwezekano wa kurusha makombora karibu na jimbo la Marekani la Guam katika bahari ya Pasifiki, saa chache baada ya Rais wa Marekani Donald Trump...
Key members of President Trump's Cabinet take part in weekly Bible study classes, according to a report by the Christian Broadcasting Network.
Regular attendees at the sessions include Health...
North Korea says it's studying a plan to attack Guam
BY ASSOCIATED PRESS August 08, 2017 at 09:07 PM EDT
An aerial view of the Naval Base in Guam on Sept. 20, 2006. Photo by U.S. Navy via Reuters...
Jeshi la Uganda Jeshi la Uganda la UPDF limekanusha taarifa kuwa liko tayari kuingia nchini Kenya kusaidia kudhibiti hali ya usalama nchini humo baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa wiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.