International Forum

News and Stories from rest of the World
Watu 17 wameuawa na wengine wanane kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililotekelezwa katikati ya mji mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou, serikali ya nchi hiyo imesema. Watu walioshuhudia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Polisi nchini Thailand wanamtafuta mtu mmoja aliyejiua na kutokomea kusiko julikana ili ajibu mashitaka ya kutesa kujerui na kujisababishia mauti kesi hii ya ajabu na yaaina yake...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kimekuwa katika habari kwa sababu Korea Kaskazini imetishia kushambulia kambi yake ya kijeshi ikiwa ni miongoni mwa mgogoro na Marekani. Inajiri baada ya rais Donald Trump kusema kuwa taifa hilo...
6 Reactions
16 Replies
5K Views
Kiongozi wa Muungano wa Upinzani NASA nchini Kenya Raila Odinga amefanya mkutano wake wa kwanza wa kisiasa tangu kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi nchini humo. Kwenye mkutano wake huo mtaa wa...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa miaka mingi tumezoea popote unaposikia MAREKANI inaenda kupigana au inataka kupigana vita basi hiyo vita ni lazima atakuwa na washirika wake wa jeshi la NATO. Safali hii jeshi la NATO kama...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Rais wa China Xijinping amemtaka rais Donald Trump kuchunga mtamshi na vitendo vinavyozidisha hali ya kuzua wasiwasi ,chombo cha habari cha kiserikali kimeripoti. Rais Trump na Korea Kaskazini...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
I was going to cry when I read this speech from the prime minister of Israel Benjamin Netanyahu, but at the end I say glory to God. Let's read together Mr. Nethanyahu said: Only 70 years ago...
7 Reactions
42 Replies
6K Views
Takribani watu 49 wamefariki na katika maeneo mbalimbali ya nchi ya Nepal na wengine 17 wakifariki huko India kutokana na mafuriko pamoja na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mpango wa bwana mdogo (suprime leader/commander kim jong un) kutaka kukigeuza majivu Kisiwa cha Guam ambacho 30% ya kisiwa hiko ni kambi za jeshi za USA. Je atafanikiwa?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bill Gates Joins Instagram From Tanzania Angel Au-Yeung, CONTRIBUTOR Aug 11, 2017 5:32 PM 3,911 Bill Gates shows a Motorola cell phone running software from [+] Instagram just got a new...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Nikiangalia yanayotokea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati huu, nashawishika kuamini kwamba yaliyoandikwa kwenye Makal hii ( Mwanahalisi, February 9, 2009) yana ukweli mkubwa...
17 Reactions
54 Replies
10K Views
Tisho la Trump kwa Korea kaskazini la kuitaka kuacha kuendeleza vitisho dhidi ya Marekani na washirika wake la sivyo itakumbana na moto ambao dunia haijapata kushuhudia limepandisha hisa za...
8 Reactions
54 Replies
5K Views
Breaking US news Navigate Unarmed Russian Air Force jet flies over Pentagon, Capitol, CIA, White House By ABC News on August 9, 2017 International An unarmed Russian Air Force jet flew over...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Serikali ya Korea Kaskazini imesema kuwa imepata taarifa kutoka wizara ya ya mambo ya ndani yaKorea Kusini kuwa mawakala wa kundi la kigaidi linaloungwa mkono na Shirika la Ujasusi la Marekani...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Rais wa Burundi Nkurunziza, ampongeza Rais Kenyatta kwa kuchaguliwa kabla matokeo rasmi kutangazwa.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Alex Lockie,Business Insider Thu, Aug 10 10:48 AM PDT (North Korean leader Kim Jong Un at a military parade on April 15 in Pyongyang, North Korea.AP Photo/Wong Maye-E) When North Korea on...
1 Reactions
0 Replies
725 Views
Mwanamke mmoja Muislam ambaye alilazimishwa kuvua hijab yake na maafisa wa polisi mjini California amezawadiwa $85, 000 (£65, 000). Kirsty Powell aliwasilisha kesi mahakamani dhidi ya baraza mji...
1 Reactions
1 Replies
691 Views
HONOLULU (AP) — The small U.S. territory of Guam has become a focal point after North Korea's army threatened to use ballistic missiles to create an "enveloping fire" around the island. The...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amesema jeshi la Marekani liko tayari kukabiliana na Korea Kaskazini wakati wowote ule. "Suluhu ya kijeshi sasa ipo, imepangwa na iko tayari, Korea Kaskazini...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
SUDAN KUSINI: Serikali imewaachia huru Wafungwa wa Kisiasa 30 tangu Rais Salva Kiir atangaze mazungumzo ya amani yaliyoanza mwezi Mei, 2017. Taifa changa la Sudan Kusini limedumu katika vita vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom