Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametoa ushuhuda kuwa hajawahi kuugua kwa miaka 31 sasa, akisema hayo yamesababishwa na yeye kufuata kanuni nzuri za ulaji kiafya
Ameongezea kuwa asilimia 75 wagonjwa...
Mfumo mpya utakaotumika utahakikisha wanaokwenda Marekani lazima wawe na ujuzi au tajriba fulani na lazima wawe na uwezo wa kuongea Kingereza ipasavyo...
MAREKANI: Zaidi ya nusu(50.8%) ya wanafunzi watakaojiunga na Chuo Kikuu cha Havard kwa mwaka mpya wa masomo hawatakuwa Wazungu.
Ni mara ya kwanza katika historia ya Chuo hicho chenye miaka 380...
Mjumbe wa China katika Umoja wa mataifa amesema kwamba sasa ni wakati wa Marekani na Korea kaskazini wenyewe kuelewana kuhusu mpango wa nyuklia na majaribio ya makombora. Amesema si jukumu la...
•1.Northrop Grumman B-2 Spirit(USA)
Ndege hii iliyotengenezwa kwa usiri mkubwa ni moja ya fahari ya jeshi la Marekani na inajulikana sana kutokana na umbile lake kufanana na Popo. Ilianza...
Saizi marekani kumekuwa na kelele nyingi sana ambazo haileweki mwisho wake nini.
hii yote ni kwa sababu eti urusi iliingilia uchaguzi wa marekani na wanasema urusi ndio waliofanikisha ushindi wa...
Wizara ya elimu nchini Sudan imeripotiwa kutoa agizo kwa shule zote za kanisa kufunga siku ya Ijumaa na Jumamosi na kuendelea na masomo kama shule nyingine siku ya Jumapili.
Kulingana na afisa wa...
Polisi mjini Lagos nchini Nigeria wanasema kuwa wamegundua madhabahu yanayomilikiwa na watu wanashukiwa kuwa wanachama wa dhehebu linalojulikana na Badoo
Polisi waligundua makaburi na vifaa vya...
July 31, 2017
Kigali, Rwanda
UCHAGUZI WA RWANDA 2017: Sera za wagombeaji na historia
Mwenyeji wa kipindi Sylvanus Karemera wa RTV/RBA amewakaribisha magwiji Isidore Gahamanyi na Tom Ndahiro...
Siku chache baada ya mabunge yote ya USA kupitisha muswada wa kuiongezea Russia vikwazo zaidi na kisha Rais Trump kusaini kwa shingo upande, imedhihirisha kabisa kuwa Trump hakufurahia uamuzi huo...
Mwanzilishi wa Amazon Jeff Bezos amempiku Bill Gates kama mtu tajiri zaidi duniani akiwa na utajiri wenye thamani ya dola bilioni 90.6.
Ongezeko la hisa za Amazon siku ya Alhamisi linamaanisha...
Waziri mkuu Wa Urusi amesema vikwazo vipya vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Urusi ni sawa na kitangaza vita vya kibiashara.Amesema kuwa mikakati iliotiwa saini na rais Trump, insonyesha udhaifu...
Rais Uhuru Kenyatta ameiambia jamii ya Wakamba kwamba atambwaga mgombea wa urais wa NASA Raila Odinga hata kama hawatampigia kura katika uchaguzi mkuu wa Agosti 8.
Akiongea jana alipopeleka...
Marehemu Chris Musando, meneja wa Teknolojia na Mawasiliano ICT katika Tume ya Huru ya Uchaguzi na Mipaka Nchini Kenya IEBC, alikuwa na siri muhimu kuhusu jinsi ya kuzuia wizi wa kura kwenye...
Waziri wa Ulinzi wa USA ameiomba nchi ya Korea Kaskazini wakae chini na waongee, kwamba wao siyo maadui!
Wakati Watanzania tunatishana na kuogopeshana kwamba tusipompa Mzungu Rasilimali zetu basi...
Raia wa Afrika Kusini aliyekuwa akishikiliwa mateka na Kikundi cha Islamic Mghreb(AQIM) kinachoshirikiana na Al-Qaeda kilichopo nchini Mali ameachiwa huru.
Bwana Stephen McGown mwenye umri wa...
Mtu mmoja ameshtakiwa na maafisa wa polisi nchini Australia baada ya kuvunja na kuingia katika nyumba moja kabla ya kunywa shampeni na kulala kitandani .
Polisi wanasema jamaa huyo wa miaka 36...
Source: Yemen rapist who murdered toddler girl is executed | Daily Mail Online
YEMEN; Polisi nchini Yemen imempiga risasi hadharani Muhammad Al-Maghrabi pichani (41) Kwa tuhuma za kumbaka mpaka...
Too much difficult things on Trump's Desk:
1.North Korea threats to US (Intercontinental Messile Test capable of reaching US Mainland)
2.Special agent Bob Muller investigation of Russia's...
Kumekucha huko duniani!
Rais mtata wa Ufilipino, Rodrigo Duterte atishia kuzuia usafirishaji wa madini na anaweza kufungia kabisa sekta ya madini au kuwatoza wachimbaji kodi ambazo hawatoamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.