Kenya inajiandaa kushuhudia kinyany'anyiro kikali zaidi cha uchaguzi mkuu wa Rais siku chache zijazo.
Leo tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya IEBC, imefanya majaribio na utaratibu wa...
Christopher Wray athibitishwa kuwa Mkuu mpya wa Kitengo cha Ujasusi cha IFB ikiwa ni miezi mitatu tangu Rais Donald Trump amfute kazi aliyekuwa Mkuu wa Idara hiyo bwana James Comey.
Bwana...
Education is a key for better life but education without knowledge of God and His purposes is nothing.
This being in mind, we have brought to you are new page Sabbath vs Sunday in which we...
Polisi katika mji wa Lagos nchini Nigeria wanatarajiwa kuwafikisha mahakamani zaidi ya wanaume 40 hii leo baada ya wanaume hao kukamatwa kwa vitendo vinavyodaiwa kuwa vya mapenzi ya jinsia moja...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zambia imesema imemkamata mwanamke mmoja raia wa Afrika Kusini akiwa na kilo3.2 za Cocaine. Dawa hizo zilikuwa zimefungwa kuzunguka miguu yake...
Hiyo ni baada ya uchaguzi wa urais kumalizika amabapo Nicolas Maduro atakuwa Rais wa milele!
Marekani imezuia mali zote za Venezuela pamoja na Maduro zilizoko nchini humo na kupiga marufuku kabisa...
Waziri wa mambo ya nje ya Marekani ameiambia serikali ya Korea Kaskazini kuwa wao si maadui wa nchi hiyo wala hawana nia ya kumuondoa madarakani kiongozi wa nchi hiyo. Hii imekuja baada ya Korea...
Rais wa Marekani amezuia wanajeshi waliobadili jinsia kuwepo jeshini na waliobadili jinsia hawataruhusiwa kujiunga na jeshi
Trump to reinstate US military ban on transgender people - CNNPolitics.com
Safari ya Mfalme Salman bin Abdulaziz wa Saudi Arabia anayeandamana na msafara wa watu elfu moja nchini Morocco kwa ajili ya mapumziko imezusha gumzo kubwa katika vyombo vya habari vya nchi hiyo...
VOA Swahili
7 hrs ·
Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Rwanda. Je, Rais #Kagame katoa fursa ya upinzani kujinadi ipasavyo?
WANABODI MNAKARIBISHWA KUCHANGIA BILA KUTUMIA LUGHA MBOFUMBOFU!
Lawmakers in Pakistan have elected Shahid Khaqan Abbasi as prime minister, replacing Nawaz Sharif, who was ousted last week over corruption allegations.
The ruling party wants the former oil...
Duh....jamaa kadumu kwenye nafasi ya mkurugenzi wa mawasiliano White House kwa siku 10 tu.
All may not be well in the Trump admin.
Inasemekana Gen. Kelly ambaye ndo chief of staff mpya kaomba...
Serikali ya Qatari imeishutumu Saudi Arabia kwa kuvuruga ibada ya Hijja.
Serikali ya Qatari imeishutumu Saudi Arabia kwa kuvuruga ibada ya Hijja ambayo hufanyika kila mwaka katika mji mtakatifu wa...
Putin kaamua noma na iwe noma,akupigae shavu la kulia na wewe mpige la kushoto.Ndo hivyo kasema wamarekani 755 wafunge virago warudi kwao,hii inatokana na kuwekewa vikwazo na US...
Twelve military personnel killed -military source
* At least 4 university staff missing -university official (Updates death toll, adds oil minister, acting president comment)
MAIDUGURI...
Kiongozi wa Korea Kaskazini ametangaza kwamba ana furaha kubwa kwa sababu wamefanikisha majaribio muhimu yanayodhihirisha uwezo wa makombora yao kupiga popote Marekani na kwa muda wowote na siku...
Binti wa miaka 17 abakwa kwa amri ya baraza la kijiji, baada ya Kaka yake kubaka
POLISI nchini Pakistan imeamuru kutiwa nguvuni wajumbe 20 wa Baraza la kijiji kimoja cha katikati mwa nchi...
CNN)The US detected a ballistic missile launch out of North Korea at approximately 10:45 am. EST on Friday, the Pentagon confirmed to CNN.
They are assessing the launch and will have more soon...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.