Rais wa nchi ya kikomunisti ya watu wa North Korea akiwajulia hali wananchi wake kwa kuwatembelea majumbani kwao na kuwapa zawadi na kujumuika nao katika chakula na maongezi ya hapa na pale.
HONG KONG (Reuters Breakingviews) - Apple risks overstaying its welcome in China. The $800 billion iPhone maker has enjoyed massive success in the People's Republic compared to foreign peers. But...
At least 36 Zambian students are stranded in India after failing to get clearance from their universities to return, Zambia's high commissioner to India, Judith Kapijimpanga, has said.
Most of...
The Zambian authorities have arrested three Chinese nationals for the alleged illegal possession of 25 rhino horns.
They were arrested along with two Zambians.
Ministry of Tourism and Arts...
Wakati huko mkihimizwa kuwaombea watukufu na mikutano ya kisiasa kupigwa ban, wagumu huku ndo wametaiti Zuma lazima atoke Ikulu. Tusubiri tuone, Zuma hata ndani ya ANC wameshamchoka japo tunaombea...
MSIKILIZE MWANASIASA NGULI HAPA NCHINI SALIM AHMED SALIM AKIONGELEA MAMBO MBALI MBALI YA KISIASA: PART I
Wakati wa awamu za Mzee Abeid Karume, Mwl. Julius Nyerere, Mzee John Malecela aliyeaminiwa...
Waziri Mkuu wa Israel, Netanyahu ameamuru ofisi za kituo cha habari cha Al-Jazeera kufungwa mjini Jerusalemu kwa madai kwamba kinahamasisha ghasia.
Katika kurasa zake za mitandao ya kijamii...
Meya wa Jiji la Ozamiz,Reynaldo Parojinog na mke wake pamoja na watu wengine 10 wameuawa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuhusika na mtandao wa biashara ya Dawa za Kulevya.
Kiongozi huyo...
Mamiloni ya wanawake nchini India hawajawai kuwaita mabwana zao kwa kwa majina yao ikiwa ni njia ya kuwaheshimu.
Tamaduni hiyo inaheshimika zaidi vijijhini licha kutokuwepo saana mijini.
Sasa...
Watu wasiojulikana wameshambulia nyumbani ya mashambani ya Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto Magharibi mwa Uasin Gishu Kaunti, ripoti zinasema.
Ripoti katika eneo hilo zinasema kuwa...
Rais wa Korea Kusini Moon Jae in
Korea Kusini inasema kuwa imejiandaa kufanya mazungumzo ya kijeshi na jirani wake wa Korea Kaskazini , ijapokuwa Pyongyang bado haijatoa jibu lolote kuhusu wito...
Worry robots which have been taking our jobs for 50 years?
Robots have been taking our jobs since the 1960s . So why are politicians and business leaders only now becoming so worried about...
Waziri Mkuu wa Pakistan, Nawaz Sharif amejiuzulu wadhifa wake muda mfupi baada ya Mahakama ya Juu kumzuia kuendelea kushikilia ofisi hiyo kama kiongozi mkuu wa serikali.
Uamuzi huo umetolewa leo...
At least five people reportedly killed in blast near police station next to busy market in Waberi district.
A car bomb exploded near a police station in Somalia's capital, Mogadishu, killing at...
U.S.
Christopher Woody,Business Insider UK Fri, Jul 28 11:36 AM PDT
Reactions
Reblog on Tumblr
Share
Tweet
Email
AP Photo/Alexandre Meneghini
The street gang that President Donald...
Daraja lililotundikwa lenye mita 500 linalokisiwa kuwa refu zaidi duniani limefunguliwa katika mji wa Zermatt nchini Uswizi.
Daraja hilo lenye urefu wa mita 494 kwa jina Europabrucke...
KANO, NIGERIA: Takribani watu 69 wamefariki dunia kufuatia shambulio lililotekelezwa na Wapiganaji wa Boko Haram katika moja ya Taasisi zinazofanya uchunguzi wa kiasi cha mafuta ardhini.
Aidha...
Shirika la habari la utangazaji la Marekani CNN limetoa tamko kuwa kuna taarifa zinazunguka mitandaoni likitangaza kuwa CNN imemtangaza Rais Uhuru Kenyattta anaongoza kwenye kura za maoni dhidi ya...
Mgombea Urais wa Muungano wa NASA, Raila Odinga, ametetea hatua ya muungano huo kuweka kituo sambamba cha kuhesabia kura nchini Tanzania akitaja kuwa ni mkakati wa kulinda kura zao.
Kwenye...
Uamuzi wa senator John Maccain kupiga kura ya kupinga kuondolewa kwa mpango wa afya Obama Care umeonyesha kuwa kwenye Masuala ya maslahi yanayohusu maisha ya wananchi haijalishi unatoka chama gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.