Barrick Reports Second Quarter 2017 Results
TORONTO, July 26, 2017
PDF | Supplemental Information | All amounts expressed in U.S. dollars unless otherwise indicated
Barrick reported...
Baraza la wawakilishi la Marekani limepiga kura kuweka vikwazo vipya dhidi ya Urusi, Iran na Korea Kaskazini.
Urusi inaadhibiwa kutokana na kudaiwa kuingilia uchaguzi mkuu wa mwaka jana wa...
Mbunge mmoja nchini Malaysia amekosolewa vikali baada ya kusema kuwa wanawake wanaowanyima mabwana zao tendo la ndoa huwasababishia dhuluma za kisaikolojia.
Che Mohamad Zulkifly Jusoh kutoka...
TOFASIRI
Ujirani kati ya Tanzania na Rwanda umezidi kuingia dosari baada ya duru za kipelelezi za Rwanda kushirikiana na chama cha CHADEMA, chama hasimu dhidi ya serikali inayoongozwa na ndugu...
Ndugai can be taken to court.......
Expulsion of MPs the Speaker and the courts
February 07, 2006 00:00 IST
Updated: March 23, 2012 10:30 IST
Mahendra P. Singh
Even though the expelled...
Mwanajeshi mmoja wa Marekani amekiri kuua kinyama zaidi ya Wairaki 2000 katika kipindi cha miaka mitano aliyohudumu nchini humo.
Kwa mujibu wa televisheni ya Marekani ya Fox News, Sajenti Dailard...
Mamlaka kuu nchini China imetangaza kuwa zaidi ya asilimia 60 ya zaidi ya watoto milioni saba waliozaliwa mwaka huu, ni watoto wa pili ambao familia zilikubaliwa kuzaa.
Hayo ni baada ya kibali...
Waandamanaji katika mji ulio kusini magharibi mwa Ufaransa wamejenga ukuta unaozunguka lango la hoteli ya zamani kuzuia isitumiwa kama makao ya wahamiaji. Wakaazi kadha waliweka ukuta wenye umbali...
Wapinaji wa Taliban wamewaua wanajeshi 26 wa Afghanistan na kuwajeruhi 13 kwenye shambulizi lililofanywa jirani na kambi iliyopo Kandahar.
KANDAHAR, Afghanistan (Reuters) - Taliban fighters...
A four-storey building at No 3 Massey Street, Lagos Island collapsed on Tuesday.
The incident was said to have occurred at about 3pm, with rescue operators battling to rescue the trapped victims...
Raia mmoja wa Brazil ambaye ni mchezaji kandanda wa timu ya chelsea ya England amerudishwa uingereza kutoka ziarani China baada ya mwanasoka huyo kuwaita wachina ' wapumbavu' Mbrazili huyo...
Wanafunzi sita wametoweka kwenye maonyesho ya kimataifa ya Roboti yaliofanyika huko Washington Marekani . Wanafunzi hao kutoka Burundi wavulana wanne na wasichana wawili wakiwa wenye umri kati ya...
INDONESIA: Rais Joko Widodo awaamuru Askari wa Jeshi la Polisi kuwapiga risasi wafanyabiashara wa mihadarati watakao kataa kukamatwa.
Kauli hii imepingwa na Mwanaharakati wa Haki za Binadamu...
Viongozi wawili wa dini nchini Canada wamepatikana na hatia ya kuoa wake wengi.
Mahakama iliambiwa kuwa Winston Blackmore mwenye umri wa miak 61 alioa wanawake 24 naye mwanamume ambaye alikuwa ni...
Nikolae Ceausescu alikuwa ni Rais wa Romania na Katibu Mkuu wa chama tawala aliyetawala kwa mkono wa chuma. Kauli yake ilikuwa ni sheria na ole wake aliyethubutu kuukosoa utendaji wake vyombo vya...
Wadada mnasemaje kwa hili la Mwalimu wa kike kufanya mapenzi na mwanafunzi wa miaka 13. Watoto wetu wako salama kiasi gani?
========================================================
HOUSTON (AP) -...
Mwanamke mmoja ambaye jina lake halijafahamika mpaka sasa amekamatwa kwenye uwanja wa ndege wa Shenzhen nchini akitokea Hong Kong na simu aina ya iPhone 102 akiwa amezifunga kiunoni tayari kwa...
Viongozi wawili wa dini nchini Canada wamepatikana na hatia ya kuoa wake wengi. Mahakama iliambiwa kuwa Winston Blackmore mwenye umri wa miak 61 alioa wanawake 24 naye mwanamume ambaye alikuwa ni...
The daughters of couple who went missing in the Swiss Alps 75-years ago have said they "will finally be able to mourn" their parents after their funeral service.
Marcelin Dumoulin and his wife...
Rais Robert Mugabe amempatia shemeji yake kiasi cha Dola za Kimarekani 60,000/-(Sawa na Zaidi ya Shilingi Milioni 134 za Kitanzania) kama Zawadi ya Siku yake ya kuzaliwa(Birthday Gift).
Mugabe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.