Japo haya mazombi hata ukiua kiongozi wao bado yanazaliwa......
ISIS 'finally admits its leader Abu Bakr al Baghdadi is dead' after lifting ban on jihadis talking about his death in an airstrike...
Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa ya Dengue umesababisha vifo vya watu takribani 300 nchini Sri-Lanka huku Mashirika ya misaada yakionya juu ya uwezekano wa kuongezeka kwa vifo hivyo.
Kwa mujibu wa...
At least 26 people have died in a bomb blast targeting police in Pakistan on Monday, officials told CNN.
The incident took place in Lahore, at a vegetable market at the entrance of the Arfa...
Nelson Mandela Full Speech At Start Rivonia Trial 20 April 1964 in audio and text form
Greatest Speech of Nelson Mandela in text form to support the audio/video clip above:
Our fight is...
WorldViews
These are the suicide cars and trucks that made the battle of Mosul so bloody
By Thomas Gibbons-Neff July 23 at 3:00 AM
campaign to push the militants out of Iraq and Syria...
Wakaguzi wakiwa na mhalifu wao
Mwanamke mmoja ambaye jina lake halijafahamika mpaka sasa amekamatwa kwenye uwanja wa ndege wa Shenzhen nchini akitokea Hong Kong na simu aina ya iPhone 102 akiwa...
JAMHURI YA AFRIKA YA KATI: Askari wa kulinda amani(Kutoka Morocco) ameuawa na wengine 3 wamejeruhiwa baada ya Wapiganaji wa Kikristu kufanya shambulizi katika msafara wao.
Wanajeshi hao walikuwa...
China na Urusi zaomba jumuia ya kimataifa kuunga mkono juhudi zao katika kutatua mgogoro uliopo rasi ya Korea.
Nchi hizo zimesisitiza kwamba Korea kaskazini inapaswa kuacha mpango wake wa nyuklia...
KUNMING, July 24 (Xinhua)-- Border police in Lincang city, southwest China's Yunnan Province, seized 1.025 tonnes of drugs this year.
By July 21, police in Lincang on the China-Myanmar border had...
Mwanawe mkubwa rais Donald Trump, aliyekuwa meneja wa kampeni pamoja na mkwe wake wanatarajiwa kutoa ushahidi mbele ya kamati za bunge la senate zinazochunguza madai kuwa Urusi iliingilia uchaguzi...
Takribani watu 24 wamefariki dunia na wengine zaidi 40 wamejeruhiwa baada ya kulipuka kwa bomu la kujitoa mhanga lililotegwa kwenye moja ya gari katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
Taarifa...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Ufaransa, General Pierre de Villiers amejiuzulu kufuatia mzozano na Rais Macron kuhusu kupunguzwa kwa bajeti ya Jeshi.
Katika taarifa kutoka ofisi yake, Jenerali huyo...
Mamlaka zinasema kuwa watu 7 wamefariki na wawili kujeruhiwa baada ya crane(winchi) kuanguka katika eneo la ujenzi huko Jijini Guangzhou.
Crane hiyo ilianguka jioni siku ya Jumamosi katika eneo...
Rais Donald Trump alipochaguliwa kuingia Ikulu aliwateua binti yake Ivanka Trump na mume wake Kushner kuwa washauri wake wakuu. Kushner ndio aliyeratibu ziara ya Rais Donald Trump huko Saudh...
Diplomasia ya kimataifa ina mambo mengi sana. Inajumuisha namna ya uvaaji wa viongozi, speech, muonekano na hata kusalimiana. Ktk kusalimiana kuna namna yake, JPM jana ktk mkutano ameonyesha yenye...
Watu 8 wamekutwa nyuma ya trela la trekta kwenye eneo la parking ya duka la Walmart huko San Antonio Texas.
Pia 20 wengine wamewahishwa hospitali kupata msaada baada ya hali zao kuwa si njema...
Pope Francis kicked off the start of a three-nation trip across South America today (16/9/15) with his first mass, with over a million Ecuadorians in attendance, in the coastal city of Guayaquil...
Viongozi sita wa America ya Kusini inadaiwa waliuugua ugonjwa wa cancer kwa nyakati tofauti, inadaiwa viongozi wa nchi hizi za walipinga vikali sera za Marekani katika masuala ya kiuchumi na...
TAIWAN: Wabunge wanyukana na kurushiana viti wakipingana kuhusu mradi wa miundombinu wenye utata.
Ghasia hizo zimezuka kwa siku mbili mfululizo ndani ya Bunge huku wakimwagiana maji chanzo cha...
"Asante!, Asante!...Oh! Mungu" alisema Simpson mwenye miaka 70 huku akiweka mikono juu kuonyesha alama ya ushindi, akiwa na dada yake Shirley ambayo alikuwa akilia.
Atatolewa October kwa Parole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.