Luxembourg imekuwa inch ya kwanza ya Ulaya kupitisha sheria ya madini ya anga (space mining law)
Digital rendition of a mining operation in space. (Source Mine Stories.)
serikali ya luxembourg...
Rais wa Sudani Kusini, Salva kiir ametangaza hali ya hatari ya miezi 3 katika upande wa Kaskazini-Magharibi baada ya mapigano ya kikabila kupamba moto.
Hali hiyo ya hatari ilitangazwa katika...
Siku ya jumanne(Leo) utawala wa bwana Trump umetangaza vikwazo vipya vya kiuchumi dhidi ya Iran, kuhusiana na mpango wake wa silaha za nyuklia, mpango wake wa makombora na pia kuunga mkono ugaidi...
Hundreds of school pupils in the Bavarian town of Regensburg, home to the famous German cathedral choir, suffered from physical and sexual abuse for decades, an investigator says, adding that no...
Mataifa manne ya kiarabu yanayoongozwa na Saudi Arabia sasa hayaishinikizi tena Qatar kutekeleza masharti 13 yaiyowasilishwa mwezi uliopita.
Wanadiplomasia kutoka nchini za Saudi Arabia, UAE...
Askari jeshi zaidi ya 800 wakiwemo baadhi ya maafisa wakuu katika jeshi la Rwanda wamestaafishwa.
Miongoni mwa waliostaafishwa ni majenerali wawili waliowahi kuongoza idara za upelelezi za nchi...
.
Maafisa katika jimbo la Nevada nchini Marekani wanachukua hatua za dharura kukabiliana na uhaba wa bangi.
Mahitaji yamekuwa ya juu tangu bangi ihalalishwe kwa matumizi ya kujiburudisha tarehe...
Kumbe ni kweli marekani hana taarifa makini kuhusu nguvu za kijeshi za N/korea, ndiyo maana ametunga sheria hii 'NORTH KOREA INTELLIGENCE ENHANCEMENT ACT' ili kuongeza mbinu za kumjasusi N/korea...
Maseneta wengine wawili wa chama cha Republican wanasema kuwa wanapinga mpango wa chama chao, wa kuubadilisha muswada wa afya wa Obamacare hatua iliowawacha viongozi wa Republican na uchache wa...
Waziri wa Habari nchini Nigeria ametoa onyo kali kuhusu uzalishaji wa video za muziki na filamu nje ya nchi hiyo.
Waziri Lai Mohammed alisema mwishoni mwa wiki iliyopita kuwa serikali haiwezi...
Brafu inayoyeyuka nchini Uswisi imefichua miili miwili inayoaminiwa kuwa ya mtu na mkewe waliotoweka miaka 75 iliyopita.
Marcelin na Francine Dumoulin walitoweka wakati walienda kuchunga ng'ombe...
Watu 34 wakiwemo manahodha wa meli ya jeshi la Cameroon wamefariki dunia baada ya kuzama kwenye kisiwa cha Bakasi, watu watatu wameokolewa.
------
YAOUNDE, Cameroon -Cameroon's defense minister...
Hakuna mtu angependa kuona harusi ikiharibika lakini baba mmoja ameshikwa na hofu kutokana na kilichotokea wakati wa harusi ya binntiye.
JP Nadeau anaripotiwa kupigwa na radi wakati akitoa hotuba...
Ofisa mwandamizi katika Ikulu ya Kremlin amesema Urusi inalazimika kulipiza kisasi kwa hatua ya Marekani kushikilia mali za wanadplomasia waliofukuzwa mwaka jana kwa madai ya kuingilia uchaguzi...
SEOUL - Marekani imeionya Korea Kaskazini kwamba ipo tayari kwenda vitani kama ikiendelea kuchokozwa. Hayo yanajiri wakati Korea kaskazini ikishangilia mafanikio ya kombora lililorushwa hapo jana...
Rwanda opposition in uphill battle against powerful Kagame
Friday July 14 2017
From left, Rwandan presidential aspirants Philippe Mpayimana, Paul Kagame (centre) and Frank Habineza. PHOTOS |...
Nchi moja tu iliyowekewa vikwazo na Dunia nzima na ina watu chini ya Milioni 30, Wazungu wameleta vitisho vya kila aina kuanzia kutuma madestroyer, sijui navy seal na majina mengi ya ajabu ajabu...
A woman has been shot dead while waiting to vote in an unofficial, opposition-organised referendum in Venezuela.Men on motorbikes killed her and wounded three others in the capital city of...
Mafuriko mabaya yaliyosabishwa na mvua kubwa yamesomba kidimbi kimoja cha kuogelea katika jimbo la Arizona nchini Marekani na kuwaua watu 8.
Takriban wawili kati ya wale waliouawa ni watoto...
Vatican, Cardinal Mkuu namba tatu wa Kanisa Katoliki ameshitakiwa na mamlaka ya Australia kwa makosa kadhaa ya kuingilia kinyume na maumbile watoto waliokuwa chini ya huduma yake.
Je ni wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.