International Forum

News and Stories from rest of the World
CHINA: Mwanaharakati wa Demokrasia na Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel, Liu Xiaobo afariki dunia akiwa na umri wa miaka 11. Alifumgwa jela miaka 11 kwa kutaka utawala wa chama 1 ufikie kikomo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni kweli kuwa nchi ya Qatar ndio adui mkubwa wa Saudi Arabia, Misri na Waarabu kuliko nchi nyingine duniani? Iko siku wageni wa Maka watapungua kutokana na serikali ya Riadh kutegemea ulinzi wa...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
As the boarder wrangle over the ownership of Lake Malawi between neighbouring countries Malawi and Tanzania continues, a High Level Mediation Team (HLMT) chaired by former Mozambican President...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Production on the eighth season of The Walking Dead has been temporarily halted by AMC after a stuntman suffered an injury on the set in Atlanta on Wednesday, E! News has confirmed. The stuntman...
0 Reactions
4 Replies
943 Views
Watu wapatao wanane na mwingine mmoja hajulikani aliko baada ya mvua kubwa kusababisha mafuriko katika mkoa wa Jilin nchini China. Kaunti ya Yongji katika mkoa huo imekuwa ikipokea mvua kubwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Trump:Putin ni mtu wangu wa karibu Sent from my itel_it1701 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
1 Replies
822 Views
Ng'ombe 165 aina ya Holstein wamewasili kutoka nchini Ujerumani wakiwa ndio wa kwanza kati ya ng'ombe 4,000 wanaotarajiwa kusafirishwa kwenda Qatar. Vizuizi vya angani, baharini na ardhini...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Diane Rwigara is disqualified The final list of the candidates set to contest the upcoming Rwanda’s presidential election, released this 7th July 2017, shows the incumbent Paul Kagame of RPF...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
UFISADI: Rais Mstaafu wa Brazil, Luiz Inacio da Silva ahukumiwa kifungo cha miaka 9 na miezi 6 jela kwa kukutwa na hatia ya makosa ya rushwa ya Tsh. Bil. 2.5. Lula aliyeiongoza Brazil kuanzia...
1 Reactions
57 Replies
6K Views
Rwanda and its president Paul Kagame, feted and feared Rwanda is a more prosperous country than ever before. It is also a repressed one “IF YOU have plastic bags, please leave them on the plane,”...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MEXICO: Watu 11 wamepigwa risasi na watu waliokuwa wameficha nyuso zao kwenye sherehe ya watoto katika mji mmoja wa Mexico uitwao Tizayuca. Polisi wamesema kuwa wamewapata watoto watatu wakiwa...
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Walimu wakuu kutoka shule saba za kibinafsi nchini Somalia wamekamatwa kwa kukutana na wapiganaji wa al-Shabab ili kujadiliana kuhusu mabadiliko kadhaa katika mtaala wa shule hizo ,waziri wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Umoja wa Mataifa unasema umegundua makaburi mengine 38 ambayo kwa kiasi kikubwa huenda yakawa ni makaburi mengi ya pamoja kugunduliwa katika mkoa wa Kasai. Mpaka sasa zaidi ya makaburi 80 ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CAMEROON: Takribani watu 14 wameuawa na 30 wamejeruhiwa kufuatia shambulio la bomu la kujitoa mhanga leo. Boko Haram watuhumiwa. ===== YAOUNDE, July 13 (Xinhua) -At least 14 people were killed...
0 Reactions
0 Replies
510 Views
Mwanamke moja raia wa New Zealand amefariki katika visiwa vya Caribbean baada upepo mkalia kutoka kwa injini ya ndege kumuangusha chini. Kisa hicho kilitokea katika uwanja maarufu wa Princess...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Dunia ina vituko. Watu kadhaa wamempeleka Trump mahakamani kwa kosa la kuwablock kwenye twiter account yake wasi-comment. Wanamshitaki kua kufanya hivyo ni kuwazuia na kukiuka katiba na haki zao...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwanaume mmoja(39) ambaye ni Mwalimu amelazwa Hospitali baada ya kutekwa na kisha kubakwa na Wanawake watatu ambao baada ya kumfanyia unyama huo walimtupa kando ya barabara. Mwanaume huyo kutoka...
1 Reactions
65 Replies
12K Views
⁠⁠⁠⁠Rais wa zamani wa Senegal Abdulaye Wade amerejea nyumbani jijini Dakar kushiriki uchaguzi wa wabunge ambao umepangwa kufanyika tarehe 30 mwezi Julai mwaka huu, ambapo pia anagombea kama...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Taarifa iliyotelewa na Waziri wa Mipango ya Uchumi kwenye ofisi ya Waziri Mkuu wa Ethiopia Bw. Tadese Haile, inasema kuwa Ethiopia inatarajiwa kufungua maeneo mawili ya viwanda yaliyojengwa na...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais Buhari anaendelea kupona kwa haraka na atarudi nyumbani hivi karibuni ,kulingana na makamu wa rais ambaye ndiye kaimu rais Yemi Osinbajo. Alitoa tangazo hilo katika mkutano na wanahabari siku...
0 Reactions
1 Replies
667 Views
Back
Top Bottom