Kumekuwa na kikundi cha watu aina flani eneo la Africa mashariki wamekuwa wakipinga Pierre nkurunzinza kugombea muhula wa tatu wakisema amekiukaa katiba
Watu hao hao pia wameshidwa kumpinga...
Watu wawili wenye umri wa miaka 30 akiwemo baba aliyetaka kumuuza mwanawe ili kupata fedha za kuandaa mazishi ya marehemu mamake walishtakiwa katika mahakama ya Iyaganku mjini Ibadan Nigeria...
Siku ya leo kunafanyika upigaji kura nchini Venezuela kupata maoni ya wananchi ili katiba ya nchi ibadilishwe au isibadilishwe,mchakato wa kubadilishwa kwa katiba uliitishwa na Rais Maduro 1 may...
Martin Landau nyota aliyehusika kuigiza filamu ya Mission Impossible iliyochezwa miaka ya 1960 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 89.
Pia alishinda tuzo ya Oscar kwa kuigiza kama Bela Lugosi...
MAX GO, jii ni app imeanzishwa Nigeria (Lagos) kwa ajili ya Boda Boda zao, iko kama UBER ile ya Taxi, tena wenzetu wanatupiga bao hivi hivi..
Ila kweli hatuwezi kufanya franchise au kuanzisha na...
The president of Rwanda, Paul Kagame, has claimed a win in next month’s election. He stated that the outcome of the vote was already known in 2015, when a petition to Parliament by 4 million...
KINSHASA (Reuters) - Armed men attacked a group of journalists and park rangers in a remote east Congo wildlife reserve overnight into Saturday, and an American journalist and three guards were...
matatizo mengi yaliyo wahi kuwapata waisrael. na wazungu kwa ujumla huenda ndio yamewafanya leo hii waonekane ni watu wenye akili nyingi sana Ebu piga hesabu mwaka 42 Israeli walikiwa wanawakota...
Vikosi vya usalama nchini Rwanda vimewaua takriban watu 37 wanaoshukiwa kufanya makosa madogo madogo tangu mwezi Aprili 2016 kulingana na ripoti ya Human Rights Watch HRW.
Ripoti hiyo inasema kuwa...
Serikali ya Uturuki imewaachisha kazi zaidi ya maafisa 7,000 wa polisi, maafisa wa Serikali na wasomi waliokuwa na uhusiano na jaribio la mapinduzi la mwaka uliopita.
Hatua hii imechukuliwa...
Wakati sisi tukijiimarisha kujenga viwanda wenzetu wa GHANA wamefanikiwa kurusha setilaiti yao wenyewe.
=======
Image caption The development team behind the satellite
Ghana has...
French national day ilihudhiriwa na Raisi bora Duniani D.Trump!
Kwa wasiofahamu sehemu ya mfumo wetu wa Utawala tulichukuwa kutoka Ufaransa yaani kuwa na Raisi na Waziri Mkuu wote pamoja!
Urusi iko tayari kuwatimua wanadiplomasia 30 wa Marekani na kutwa mali ya Marekani kujibu vikwazo vya Marekani, kwa mujibu wa maafisa wa Urusi. Vitisho hivyo vinatolewa kutoka wizara ya mashauri...
Watu nane wamefariki dunia baada ya mashabiki wa mpira kukanyagana walipokuwa wakishuhudia michuano ya ligi ya kandanda nchini Senegal.
Waziri wa michezo nchini Senegal Matar Ba amesema msichana...
Maafisa katika jimbo la Nevada nchini Marekani wanachukua hatua za dharura kukabiliana na uhaba wa bangi. Mahitaji yamekuwa ya juu tangu bangi ihalalishwe kwa matumizi ya kujiburudisha tarehe mosi...
Uturuki yakubali kulipa dola bilioni 2.5 ($2.5bn) kwa ajili ya kununua mfumo wa anga wa Russia S400.
Dili hilo linahusisha ununuzi wa mitambo hiyo na pia teknolojia iliyotumika kwa...
Aliyekuwa Waziri Mkuu nchini Tanzania na Mgombea urais katika chama cha upinzani Chadema katika Uchaguzi uliopita, Edward Lowassa amewataka wakenya kuvumiliana wakati huu ambapo taifa hilo...
Kampeni za wagombea Urais watatu zimeanza rasmi leo nchini humo ambapo kura zitapigwa kuanzia tarehe 5 Agosti mwaka huu..
Rais Paul Kagame naye amejitosa kuwania nafasi hiyo kwa mara nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.