International Forum

News and Stories from rest of the World
Khalil Nazari, mvumbuzi na mtafiti wa Kiirani amefanikiwa kushinda tuzo maalumu na medali ya fakhari ya mashindano makubwa ya uvumbuzi ya IPEX nchini Marekani. Uvumbuzi wa Khalil Nazari umehusisha...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Lusaka, Zambia. Bunge la Zambia limeidhinisha amri ya hali ya hatari iliyotolewa na Rais Edgar Lungu kwa siku 90, hatua ambayo wakosoaji wanaona ni juhudi za kudhibti mamlaka sawasawa. Wabunge wa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Laws society of Kenya warns President Uhuru Kenyattta against intimidation of Judiciary. LSK says warning is against Doctrine of Separation of Power. As the country moves closer to August polls...
0 Reactions
1 Replies
602 Views
Lusaka, Zambia. Bunge la Zambia limeidhinisha amri ya hali ya hatari iliyotolewa na Rais Edgar Lungu kwa siku 90, hatua ambayo wakosoaji wanaona ni juhudi za kudhibti mamlaka sawasawa. Wabunge wa...
0 Reactions
1 Replies
857 Views
Watu 19 wameuawa wameuawa na 23 kujeruhiwa katika mashambulizi ya kujitoa muhanga yaliyofanywa na Boko Haram, Jana usiku katika mji wa Maiduguri, kulikoanzia uasi wa kundi hilo.
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Wakati ulimwengu ulipoadhimisha siku ya idadi ya watu duniani, Mwanamume mmoja alikuwa na sababu 100 za kusherehekea. Kofi Asilenu mwenye umri wa miaka 80 ni baba wa watoto 100 na wake 12...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ujumbe wa kidiplomasia wa taifa la Ufaransa hivi majuzi ulipata pigo la kupata Visa baada ya mamlaka ya Rwanda kukataa ombi lao walilowasilisha ambalo lilishirikisha picha ya bendera ya zamani ya...
2 Reactions
1 Replies
784 Views
Hizi ni picha zinazo onyesha jiji la MOSUL pamoja viongozi wa na wanajeshi wa IRAQ, baada ya kukombolewa mikononi mwa magaidi wanao jiita DOLA YA KIISLAM ISIS Sent from my SAMSUNG-SM-G530AZ using...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Siku ya alhamisi utawala wa bwana Trump kwa Mara ya kwanza tangu uingie madarakani umeidhinisha mauzo ya silaha kwa Taiwan zenye thamani ya dola bilion 1.42 ($1.42 billion). Hatua hiyo imepingwa...
7 Reactions
161 Replies
13K Views
Walinzi wa mbuga nchini Afrika Kusini wanawattafuta simba wanne waliotoroka kutoka mbuga ya kitaifa. Simba hao walitoroka kutoka mbuga ya Kruger siku ya Jumapili na mara ya mwisho walionekana...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Qatar crisis: Restrictions to continue, Saudi Arabia says 3 hours ago Image caption The four foreign ministers held talks in Cairo Restrictions on Qatar will continue after it...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Takribani wakimbizi 35 wakiwemo watoto 7 wanahofiwa kufa maji baada ya Boti yao kuzama katika Pwani ya Libya. Aidha katika ajali hiyo Wahamiaji 85 wakiwemo wanawake 18 wameokolewa ======== At...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Watu 16 wafariki kwenye ajali ya ndege Marekani takribani watu 16 wamefariki kwenye ajali ya ndege ya jeshi kwenye jimbo la Mississipi nchini Marekani. Ajali hiyo ilitokea katika kaunti ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Russian state nuclear corporation Rosatom suspends Mkuju River uranium project in Tanzania for at least three years due to depressed uranium market. Rosatom, which previously hoped to start...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Tu-95 Bombers Jeshi la Urusi limefanya mashambulizi dhidi ya ISIS kwa makombora yake mapya Kh-101 strategic cruise missile. Sehemu za kuhifadhia silaha na kituo cha mawasiliano cha kundi hilo la...
9 Reactions
63 Replies
17K Views
Harnaam Kaur ni mwanamke anayefuga ndevu "Nilianza kufuga ndevu nilipokuwa na umri wa miaka 16. Nilikuwa na nywele zilizojaa usoni tangu nibalehe, ikafikia wakati ambapo nilifikiri iwapo nywele...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Donald Trump's handshake is in the spotlight again after being inadvertently snubbed by the Polish president's wife.
6 Reactions
70 Replies
6K Views
Kiongozi wa dini wa cheo cha juu nchini Nigeria, Sultan wa Sokoto, amewaonya watoto, hususan wasichana wasije wakatumia muda wao mwingi kwenye mitandao ya kijamii kwa kuwa inaweza kusababisha...
0 Reactions
1 Replies
808 Views
Rais wa Marekani Donald Trump anasema kuwa ni wakati wa kushirikiana na Urusi baada ya mkutano wake na rais wa Urusi Vkladimir Putin. Aliandika kwenye mtandao wa Twitter kuwa Putin alikana kabisa...
0 Reactions
11 Replies
991 Views
Mradi huo mkubwa uliogharimu dola za kimarekani milioni 470 ulifadhiliwa na China Exim. Siku ya Jumapili ilikuwa nzuri kwa wakazi wa Addis Ababa kwani walipata usafiri wa bure wakati wa uzinduzi...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom