Kuna nini Afrika mpaka kufanya siasa iwe ni kwa Mabavu, ghiliba, Uzushi, Uonevu, uuaji na ukandamizaji wa haki za binadamu kwa kiwango cha hali ya juu sana? Halafu inakuwaje hao wanaokandamiza...
Jeshi la Niger limewaua kimakosa raia 14 waliodhaniwa kuwa wapiganaji wa Boko Haram katika eneo la mashambani la Kusini mashariki kulingana na maafisa.
Waathiriwa wote wakiwa wakulima wasio na...
Rais wa Zambia Edgar Lungu ametangaza hali ya dharura nchini humo kutokana na moto mkubwa uliyotekteza soko kuu la mjini Lusaka.
Moto huo pamoja na visa vingine kama hivyo unadhaniwa kuanzishwa...
Watu wanane wamefariki na zaidi ya 50 wamejeruhiwa kufuatia watu kukanyagana wakiingia uwanjani katika maadhimisho ya siku ya uhuru.
“Eight people — seven children aged around eight years old...
July 06, 2017
Report by the Economic Intelligence Unit (EIU) has predicted that four major factors will remain a source of instability in Nigeria in the next five years.
Those factors allegedly...
Watu wasiojulikana wanadaiwa kuchoma moto soko la jiji la Lusaka. Moto huo umeanza saa 10 na nusu asubuhi ya jana na ulikuwa ukienea hadi 12 asubuhikwenye masaa ya Zambia
Wafanyabiashara na...
Ajali ya lorry moja la mizigo huko Jamhuri ya Afrika ya kati CAR imesababisha vifo vya zaidi ya watu 80, wengi wakiwa wachuuzi waliokuwa wakielekea sokoni mjini Bambari.
Walioshuhudia tukio hilo...
Takribani watu 56 wamefariki na wengine 22 hawajulikani waliko kufuatia mvua kubwa zilizopelekea mafuriko makubwa yaliyoharibu miundombinu ya umeme, nyumba na ofisi.
Mafuriko hayo yamepelea kujaa...
Mapema jana NK ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa kurusha kombora la masafa marefu(ICBM) Kitendo kilichoibua hofu kubwa dhidi ya mahasimu wake(USA).
Kupitia waziri wake wa ulinzi marekani...
Mwanamke mmoja ambaye jina lake halikutambulika, amekutwa akiwa ananing'inia nusu uchi kwenye nyaya za umeme katika mitaa ya China, akikimbia fumanizi.
Kwa mujibu wa Daily Mail, chanzo kimeeleza...
Kaburi la Mtunzi wa Wimbo wa Taifa wa Uganda marehemu George Kakoma limefukuliwa na watu wasiojulikana, huku kukiwa na wasiwasi kwamba mabaki ya mwili wake yameibiwa.
Gazeti la Daily Monitor la...
Kwa sasa kuna korea mbili
Bila shaka kulikuwa na korea moja tu iliyojulikana kama Jamhuri ya korea
Sasa ni sababu gani ilifanya korea hizi kutengana hadi kuwa na korea ya kaskazini na korea...
Nchi nyingi za kiarabu zikiongozwa na Saudi Arabia, zikiwemo Misri, UAE, Bahrain, Yemen, Libya, Maldives na Libya, pamoja na Morocco na Mauritania, zimevunja uhusiano na Nchi ya Qatar tangu tarehe...
Siku za karibuni wanamuziki maarufu wa kimarekani wameangukia kimapenzi kwa Mabilionea wa kiaarabu, Rihanna mwimbaji maarufu huko Marekani ameangukia na penzi kwa bilionea wa kutoka huko Saudh...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga wamejiondoa kutoka kwenye mdahalo wa moja kwa moja kwenye runinga wa wagombea urais nchini humo.
Mdahalo huo ulikuwa umepangaiwa...
Korea Kaskazini yarusha kombora katika bahari ya Japan
Korea Kaskazini imerusha kombora jingine la masafa marefu kutoka jimbo lake la magharibi kulingana na mamlaka ya Japan na Korea Kusini.
⦁...
Waziri wa Upelelezi na Intelejensia wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, Yisrael Katz ametangaza habari ya kuboreka zaidi mahusiano ya kidiplomasia kati ya utawala huo na Saudi Arabia.
Gazeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.