Serikali ya Austria imepeleka vikosi na magari ya kijeshi katika eneo la mpaka wake na nchi ya Italia ikiwa ni mkakati wa kuzuia wahamiaji wanaotarajiwa kuvuka mpaka huo.
Ulinzi huo pia...
Ninaongea hivyo baada ya kuona Bob Geoldof aliyeanzisha anti poverty Africa 1984 na aliendelea kukusanya pesa kutoka kwa watu binafsi na makampuni. Mpaka sasa hivi hakuna anaefahamu alipata kiasi...
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe ametoa hundi ya Dola za Kimarekani milioni 1 kwa mfuko wa Umoja wa Afrika(AU Foundation) katika kuchangia juhudi za kupunguza utegemezi wa Umoja huo kwa misaada ya...
Rais wa China anazuru nchini Urusi kwa mara ya tatu mfululizo ndani ya mwaka huu tu kujadili na Putin mambo mbalimbali.
Ujio huo wa Xin Jinping kwa Urusi umepokelewa kwa mikono miwili huku Rais...
Serikali ya Saudia imesimamisha urushaji matangazo na kufunga ofisi za kanali ya televishani ya al-Jazira inayomilikiwa na Qatar nchini humo.
Taarifa iliyotangazwa leo na viongozi wa Saudia...
Soko kubwa zaidi nchini Zambia limeteketea moto na kuharibu tegemeo la wafanyabiashara wengi.
Soko hilo la City Market lililo mjini Lusaka, limekuwa likiteketea tangu mapema leo Jumanne.
Msemaji...
BANGLADESH: Watu 13 wafariki na 50 kujeruhiwa baada ya kiwanda cha nguo kulipuka kisha kuta na paa za jengo la ghorofa 6 kuanguka.
Kulikuwa na wafanyakazi wengi katika kiwanda hicho lakini...
Hassan Hassan Taarisi ya Tahrir kuhusu Sera ya Mashariki ya Kati
Baghdadi alionekana hadharani mara ya mwisho 2014 mjini Mosul
Miaka mitatu iliyopita, video ilitolewa ya kiongozi wa kundi...
Wachungaji mifugo mjini Bambo, Kaunti ya Mandera, walipata miili mitano iliyokuwa imezikwa katika kaburi la kina kifupi.
Miili hiyo ilikuwa ya wanaume wanne na mwanamke mmoja walioripotiwa...
NIAMEY, NIGER: Wapiganaji wa Boko Haram wamewateka Wanawake 37 na kuwachinja watu nane katika Kijiji cha Ngalewa mpakani na Nigeria.
Wapiganaji hao walikizingira Kijiji hicho kutokana na historia...
Watu zaidi 700 wamefariki kutoka na mlipuko wa kipindupindu nchini Somalia, kulingana na baraza la wakimbizi la Norway. Mlipuko huo unadaiwa kuwa miongoni mwa milipuko mibaya zaidi ya ugonjwa huo...
Watu waliokufa kutokana na lori la kubeba mafuta kupinduka kisha kuwaka moto nchini Pakistan mwishoni mwa mwezi uliopita imefikia zaidi ya watu 200.
Baada ya Lori hilo kupata ajali wanakijiji...
Kiongozi wa kundi la kihalifu la kusambaza dawa za kulevya aina ya cocaine hatimaye amekamatwa baada ya kujificha kwa miaka 30 akitumia sura mbalimbali za bandia kukwepa kukamatwa na polisi nchini...
“We welcome the decision by the US Department of Homeland Security to lift the electronic devices ban on flights between Abu Dhabi and the United States, following the successful validation of...
As Kommersant reports citing its own source, some leaders of the regional FSB department may be dismissed following the results of the inspection.+
Let us recall that July 1, it became known...
Lesotho ni moja ya nchi zenye maambukizi makubwa ya VVU ikiwa katika nafasi ya pili kwa maambukizi duniani baada ya Swaziland. Katika nchi hiyo yenye idadi ya watu takribani milioni 2, maambukizi...
UJERUMANI: Watu 18 wanahifiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na Lori kisha kulipuka.
Waziri wa Usafirishaji Alexander Dobrindt amewaambiwa waandishi wa habari kuwa miili...
Mwanamke mmoja kwenye jimbo la Uttar Pradesh nchini India ambaye aliponea kisa cha kubakwa na kundi la wanaume na visa vinne tofauti vya mashambulizi kwa tindi kali, ameshambuliwa tena na mtu...
Serikali ya Ufaransa imechangia kiasi cha Euro 250,000 kwa shirika la mpango wa chakula duniani, WFP ili wakimbizi nchini Tanzania waweze kupata msaada zaidi wa kifedha.
Msaada huu unadhihirisha...
Wadau kama mtakuwa mnafuatilia habari za kimataifa,habari inayo trend kwa sasa ni tukio la Trump kuonekana akimpiga mtu ambaye amewekewa logo ya CNN,Nadhani mtakumbuka tukio hili ni la ,waka 2007...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.