Raisi wa Rwanda Paul KAGAME ametoa shutuma nzito kwa mataifa ya magharibi kuingilia uchaguzi wa Rwanda utakaofanyika mwezi ujaoo.
Katika shutuma hizo ni pamoja nchi za magharibi kuzungumza na...
Rais wa Venezuela Nicolás Maduro amepongeza hatua ya kumuachilia kutoka gerezani moja wa viongozi wakuu wa upanzani nchini humo Leopoldo Lopez.
Bwana Lopez amepelekwa katika kifungo cha nyumbani...
Asema hata vumilia kuona mahakama inaharisha uchaguzi wa mwezi wa nane. Asema atamshughulikia Raila kama mambo hayatakaa sawa.
-------------
Uhuru's Announcement on Postponing August Elections
Nanukuuu tu...msinichukue..
Mgombea wa uras wa kenya kupitia jubelee leo amesema..
kuheshimiwa sio kuogopwa!!!!??
Nini maoni yako kuhusu kauli hii ....
Jumanne wiki hii North Korea imetest tena
kombora la masafa marefu liitwalo Hwasong 14 ambalo limepaa juu km 2,802 kabla halijaenda umbali wa km 933 kwa muda wa dakika 39 tu na kupiga target...
Habari kutoka Ikulu ya Nairobi imesema kuwa Waziri Nkaissery alifariki dunia saa chache baada ya kulazwa ghafla katika Hospitali ya Karen jijini Nairobi.
Kifo cha Nkaissery kimewashtua wakenya...
HITLER ALIKUFA LAKINI AKINA HITLER WAMEENDELEA KUZALIWA.
By Luqman Maloto
Kansela wa zamani wa Ujerumani na Kiongozi (Fuhrer) wa Ujerumani chini ya Chama cha Nazi, Adolph Hitler, alijipiga...
Mfanyakazi wa bustani ya wanyama ya Chessington, Uingereza, ametengeneza kifimbo hiki kirefu sana ili kujipigia picha pamoja na mnyama twiga.
"Hivi sasa sipati shida tena kupiga picha na twiga...
Mwaka 1963 mwezi November wamarekani walimpoteza Rais wao wa 35 John F. Kennedy , Tukio ambalo kwa hakika hakuna ayelifurahia kutokana namna ambavyo mauaji hayo yalivyotokea, inasemekana Rais...
Russian state nuclear corporation Rosatom suspends Mkuju River uranium project in Tanzania for at least three years due to depressed uranium market. Rosatom, which previously hoped to start...
Marekani na South Korea wamefanya zoezi la pamoja la kivita kwa kurusha kombola ATACMS (Army Tactical Missile System) katika kujibu majaribio ya NK jana. Taarifa kutoka msemaji wa Pentagon Dana...
White House 'surprised' by McConnell's talk of bipartisan health care approach
By Jeremy Diamond, CNN
Updated 8:20 PM ET, Fri July 7, 2017
Washington (CNN)The White House was caught off-guard...
Hali haijatengemaa Hamburg, siku ya pili leo.
Wajerumani wacharuka.
===
Dozens injured as anti-G20 protesters clash with Hamburg police ‘like never before
An anti-G20 rally in Hamburg has...
Rais wa Venezuela Nicolas Maduro kwa siku za karibuni amepata upinzani mkubwa kutoka kwa opocision wapinzani ambao wamekuwa wakifanya maandamano kumpinga haswa sababu ya hali ya uchumi kudorora...
MILAN, ITALIA: Kikosi cha Ukoaji kimeitoa miili ya watu 8 kutoka katika kifusi cha jengo la ghorofa 5 lililoanguka kusini mwa mji wa Naples.
Zoezi la kuitafuta miili hiyo limemalizika mapema leo...
Mataifa manne ya kiarabu, yanayoongoza masharti makali dhidi ya Qatar, yanasema kuwa, hatua ya Doha kukatalia mbali masharti hayo magumu dhidi yake, inaashiria nia yake ya kuendeleza sera ya...
MISRI: Wanajeshi 10 akiwemo Kanali wameuawa baada ya shambulio la kujitoa mhanga katika moja ya vituo vya ukaguzi wa barabarani kilichopo Kaskazini ya mji wa Sinai.
Wanajeshi wengine 20...
Ama kweli duniani kuna watu wamejisusa ..hii imetokea Liberia
Taarifa kutoka Liberia zinasema kuwa kituo kilichotengwa na kuwekewa karantini kwa sababu ya ebola, kimeshambuliwa na zana...
Waziri wa Ulinzi wa Qatar amesema jeshi la nchi hiyo liko tayari kuilinda nchi hiyo endapo itakabiliwa na chokochoko tarajiwa za maadui.
Khalid al-Attiyah Waziri wa Ulinzi wa Qatar amesema nchi...
Uingereza yasema Saudia inafadhili makundi yenye itikadi kali
Saudia ndio mfadhili mkuu wa watu wenye misimamo mikali ya kidini nchini Uingereza kulingana na ripoti mpya.
Ripoti hiyo ya Henry...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.