International Forum

News and Stories from rest of the World
Katika mkutano uliofanyika hapo jana wa Nato, Trump alionekana kumsukuma Raisi wa Montenegro ili apate nafasi nzuri yeye ya kupiga picha. Na hakuomba msamaha wala kujutia kitendo hicho...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Zbigniew Brzezinski! ( *1928-2017†)
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kumetokea tatizo ghafla la kukatika katika kwa mtandao yaani data inazima na kuwaka kwa mtandao wa TTCL.Nini tatizo?! Vifurushi vyetu vitafidiwa au ndo bye bye?! Serikali tunaomba mboreshe...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
IMPORTANT NOTICE TO GHANAIANS LIVING AND WORKING IN THE KINGDOM OF SAUDI ARABIA Riyadh, May 22, 2017 - The Embassy of the Republic of Ghana in Riyadh, Kingdom of Saudi Arabia wishes to remind all...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni!! Wakati nchi yetu ya Tanzania ikiingia mkataba na Uganda kwa ujenzi wa Bomba la kusafirisha mafuta kutoka mjini Hoima hadi Tanga hii tofauti kabisa na...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Maelfu ya Mayahudi wamefanya maandamano mjini Tel Aviv kuunga mkono kuundwa taifa huru la Palestina sambamba na kulaani miaka 50 ya utawala haramu wa Israel kukalia kwa mabavu ardhi za...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mkataba ulisainiwa London- Lowasa alikuwa pale London siku ya kusaini mkataba na mkubwa wake alitaka kujuwa wao % yao itakuwa ngapi.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
BAHAR, INDIA: Watu 29 wamefariki na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya Radi kuvikumba vijiji vya Jamui, Champaran na Samastipur. - Aidha upepo makali umeharibu mazao na nyumba zipatazo 250...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Wakati nchi ya Rwanda ikielekea uchaguzi mkuu mwaka huu August 4 tume ya uchaguzi ya nchi hiyo imetoa utaratibu hairuhusiwi kutuma post yoyote mitandao hasa kwa wagombea urais na timu zao kabla...
0 Reactions
5 Replies
991 Views
Floods and landslides in Sri Lanka's southern and western regions have killed at least 122 people and damaged more than 1,700 homes, officials said on Saturday. Ninety-seven people were also...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana nchini saudi arabia, suermarket moja imewapa OFA wateja wao kuchukua chochote watakacho ndani ya masaa mawili na kuzua mtafaruku mkubwa sana ndani ya supermarket hiyo
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo Rais Trump alikutana na Papa Francis nchini Vatican huku ombi kubwa la Papa Francis kwa Donald Trump likiwa ni kuizungumzia zaidi amani na kuitafuta zaidi amani kuliko vita. Rais donald trump...
10 Reactions
84 Replies
16K Views
Askari wa Kuwait wamemshikilia mwanamke nchini humo kwa kumrekodi mfanyakazi wake wa kiEthiopia akijirusha kutoka ghorofani bila kujaribu kumuokoa. Mwanamke huyo alimrekodi mfanyakazi wake...
3 Reactions
30 Replies
8K Views
Christians living in Libya have been rounded up, beaten, tortured, and accused of proselytism by Libyan security forces in Benghazi, in the latest sign of the militant Islamism affecting the...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amepiga marufuku kufanyika karamu zozote zinazohusiana na mwezi mtukufu wa Ramadhani katika wizara hiyo mwaka huu. Shirika la habari la IRNA limeripoti habari...
4 Reactions
50 Replies
5K Views
Historia inaeleza kuwa marekan haijawah kuwa na koloni bali imewahi kutawaliwa na waingereza hadi pale ilipo pata uhuru wake 1776. Marekani ni taifa linalo ongoza dunia kwa unyonyaji wa kiuchumi...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Bado najiuliza hivi hali hii ingekuwaje kwa TBC kuona tukio kama hili?Rais Uhuru Kenyatta amekutana na Rais Donald Trump huko Taormina nchini Italia walipo kuwa wanaudhuria mkutano wa nchi za G 7...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Kiongozi mkuu wa Israel kafurah sana Rais Trump kuitembelea Israel. Na pia kampongeza kwa kutembelea Waislam, na wao WAJUZI kisha Wakristo, kwani akitoka hapo anaenda kwa Pop Vatican. 1...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Rais wa venezuela Nicolas maduro amesema kuwa waandamanaji wanaounga mkono upinzani ndio walimwasha moto raia mmoja anayeunga mkono serikali huko Caracas, katika siku ya 50 ya maandamano. Orlando...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Za asubuhi wanajamvi, ni matumaini yangu mmeamka salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku. Leo nimeamka asubuhi katika kupitia pitia emails zangu nakutana na email yenye kichwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom