International Forum

News and Stories from rest of the World
Tangu binadamu alipofanikiwa kuunda ndege na kupaa angani, wataalamu wamekuwa wakijitahidi kuunda ndege kubwa na kubwa zaidi. Wakati wa Vita Vikuu vya Kwanza vya Dunia, majaribio ya kwanza ya...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
Rais wa Brazil Michel Temer amesema kamwe hawezi kujiuzulu kutokana na kashfa ya malipo ya fedha nyingi kama yaliyochukuliwa kama rushwa. Katika mahojiano mafupi kwa njia ya Televisheni, Temer...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais wa Brazil Michel Temer ameyasambaza majeshi katika mji mkuu wa nchi hiyo Brasilia, baada ya waandamanaji kuanza kulichoma moto jengo la serikali na kuharibu mengine. Maafisa wanasema hatua...
1 Reactions
1 Replies
917 Views
Kufuatia mlolongo wa mashambulio yatokanayo na ubaguzi wa rangi dhidi ya Wanafunzi wa Kiafrika nchini India, Jumuiya ya Wanafunzi wa Afrika(AASI) imetishia kuandika malalamiko rasmi kwenda Umoja...
8 Reactions
151 Replies
18K Views
Aliyekuwa Rais wa Korea Kusini, Park Geun-hye amefikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza kujibu mashtaka yanayomkabili, tangu alipokamatwa mwezi Machi mwaka huu. Mwanasiasa huyo aliyeondolewa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Tedros Adhanom Ghebreyesus ambaye ni raia wa Ethiopia, ameteuliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa Shirika la afya duniani (WHO). Uteuzi huo unamfanya Tedros kuwa muafrika wa kwanza kuongoza kitengo hicho...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Maafisa watatu wa polisi wameuawa na wengine watatu kujeruhiwa katika shambulio Jumatano alfajiri eneo la Liboi Kaskazini Mashariki mwa Kenya karibu na mpaka wa Somalia. Duru za usalama...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Takribani watu 12 wamefariki na 30 kujeruhiwa baada ya basi kuanguka umbali wa mita 90 kwenye bonde katika eneo la milima karibu na mpaka wa Guatemalan kusini mwa Mexico. Ajali hiyo ilitokea...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Binafsi siamini kabisa hili swala la ugaidi ni kweli ni ugaidi ambao Wazungu wenyewe hawahusiki nao! Hawa Magaidi wajulikanao kama ISIS, Alshabaab, Boko haram au sijui Taliban siamini kama ni...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Rais Durtete ambae ni mzaliwa na kisiwa cha Mindanao, ametangaza kuidhinishwa sheria hiyo ambayo huenda ikadumu kwa mwaka mmoja katika kukabiliana vikali na ugaidi. Ghasia zilizuka katika mji wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Keshasalimu amri kwa wenye Dunia sasa hakuna wakumgusa, na wataokajaribu ndiyo mwisho wa career zao USA!
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Wakati wa ziara ya Rais Donald Trump huko Saudh Arabia alifanya mkutano na viongozi zaidi ya 20 kutoka nchi za Kiarabu katika mkutano huo Rais Trump alizitaka nchi hizo kuanzisha shirika la...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Religion The land on which the present state of Israel has been built, formerly Palestine, was once walked upon by Moses, Jesus and Muhammad. Since Palestine was the site of many religious...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Vitu vyote vinavyofadhiliwa na marekani mfano dawa za ARVs, ushoga na mengine machafu na ikiwepo ukimwi wenyewe unasemekana ni kwa ajili kuua humanity je taifa kama hili kuharibu watu wanataka...
1 Reactions
227 Replies
12K Views
Ethiopia's Tedros Adhanom Ghebreyesus, a former minister of health, has been elected the next leader of the World Health Organization. The Latest: Ethiopian candidate picked as next WHO chief
0 Reactions
0 Replies
456 Views
Polisi nchini Indonesia waliwakamata wanaume 141 ambao walikuwa wanahudhuria sherehe ya wapenzi wa jinsia moja katika mji mkuu wa Jakarta, siku ya Jumapili. Polisi wanasema kila aliyehudhuria...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Police are responding to a "serious incident" in Manchester amid reports of an "explosion" following a pop concert. Witnesses reported hearing a "huge bang" following an Ariana Grande gig at...
7 Reactions
36 Replies
5K Views
Huku siku ya Uchaguzi ikizidi kukaribia, idadi ya wawaniaji kutoka Kaunti za Migori na Homa Bay wanasafiri hadi Tanzania kusaka huduma za waganga imeongezeka lengo likiwa moja, kutwaa ushindi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
M
0 Reactions
3 Replies
805 Views
Jamani nimeshangazwa na jinsi mke wa rais wa Marekani, Donald Trump kuacha kuvaa ushungi akiwa nchi ya kiislamu na kitovu cha dini hiyo duniani. Angeweza kuonesha utengamano na kuheshimu dini ya...
11 Reactions
379 Replies
50K Views
Back
Top Bottom