International Forum

News and Stories from rest of the World
Leo North korea imedhaniwa kutuma chombo cha anga ambacho hakijafahamika hadi sasa, south korea imetumia mashine gun kushambulia chombo hicho kilichokuwa kimevuka mpaka wao, lakini hawajasema...
0 Reactions
0 Replies
519 Views
Canada imeonya kwamba inaweza kusitisha ununuzi wa ndege vita za Marekani aina ya F/A-18 Super hornet kutokana na uchunguzi ulioanzishwa na kampuni ya Boeing dhidi ya kampuni yake ya utengenezaji...
2 Reactions
14 Replies
6K Views
Ki ukweli nina namba ya simu ya mbinguni ambayo naweza kupiga simu na kupata maelekezo moja kwa moja kutoka kwa Mungu kuhusu namna ya kuwasaidia watumishi wake, alinukuliwa akisema. Mchungaji...
2 Reactions
59 Replies
7K Views
Kampuni moja nchini Israel yasema itakuja mda si mrefu na betri ya simu ijaayo ndani ya dakika tano tuu.
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Kwa maoni yangu Kuna haja ya kufanyiwa graduates gap analysis kwa Kila kozi, ikiwezekana baadhi ya kozi zisitishwe hadi uhitaji utakapotokea.... Tunaambiwa au tunasikia waalimu wa sanaa wapo...
0 Reactions
2 Replies
852 Views
A Gambian court on Monday froze the assets of Yahya Jammeh after it emerged the former leader had siphoned off around $50 million (about 44.5 million euros) in public money during his 22 years in...
0 Reactions
2 Replies
739 Views
Rekodi ya Dunia ya watu wanaoaminika kuwa na akili nyingi zaidi (IQ) ni Wanasayansi na wachezaji Chess lakini pia unaweza ukawa umewahi kujiuliza ni kiongozi gani mwenye akili zaidi Duniani...
2 Reactions
107 Replies
21K Views
Kampuni za Israel zimesaini dili kubwa la dola milioni 630 ($630M) na jeshi la majini la India. Mkurugenzi mkuu wa masuala ya anga wa Israel Yossi Weiss amesema kwamba dili hilo litaimarisha na...
6 Reactions
28 Replies
5K Views
Germany is in negotiations with Namibia about the phrasing of the first official apology for General von Trotha’s extermination orders that led to the murder of around 100 000 Ovaherero and Nama...
0 Reactions
0 Replies
578 Views
An article to read if you have time!
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Umoja wa Ulaya(EU) umekataa ombi la #EAC la kuiondolea vikwazo Burundi, yasema vikwazo vitaendelea hadi hali ya kisiasa itakapobadilika nchini humo. Juzi katika mkutano wa kukabidhiana uenyekiti...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
habarini wana jamvi leo nimeona niwaletee japo kwa kiduchu sababu ambazo wengi zmetufanya tuipende north korea na sio us first of all watu wengi wamechoshwa na ukoloni mambo leo.. kwa wale...
12 Reactions
39 Replies
4K Views
Rais wa Marekani Donald Trump anazuru Israel na Maeneo ya Wapalestina leo, akiendelea na ziara yake ya kikazi katika maeneo ya Mashariki ya Kati. Atafika maeneo hayo akitokea Saudi Arabia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mafundi mchundo(Technicians) na wanasayansi wakimshangilia kiongozi wao KIM baada ya kutoka mafichoni kwa ushindi mkubwa wa jaribio la kombora lililofanikiwa siku chache zilizopita. KIM...
10 Reactions
68 Replies
12K Views
When Israeli forces showed up last week to arrest 66-year-old writer Ahmad Qatamesh at his home in the occupied West Bank, his wife says she was overcome with shock and confusion. "Why now? Why...
0 Reactions
0 Replies
522 Views
Bunge la utawala wa ubaguzi wa rangi wa Israel Knasset, limepasisha kwa haraka katika hatua ya kwanza, mswada wa kibaguzi unaojulikana kama 'Taifa la Kiyahudi.' Bunge hilo lilipasisha kwa pupa na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Image captionJapan imeripoti rekodi ya kiwango cha juu cha ajira kwa raia wake wanaohitimu elimu ya chuo kikuu hasa vijana. Japan imeripoti rekodi ya kiwango cha juu cha ajira kwa raia wake...
0 Reactions
2 Replies
891 Views
Gazeti la New York Times limeripoti kuwa China, imewauwa au kuwafunga jela majasusi kati ya 18 au 20 hivi wa CIA, katika kipindi cha miaka miwili iliyopita na kulemaza kabisa shughuli za Marekani...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Kuna taarifa kuwa korea kasikazini imefyatua kombora mchana huu lililosafiri umbali wa km 500 (mile 311) kombora hilo halijajulikana ni aina gani nitawaletea taarifa kamili baadae Source: South...
4 Reactions
81 Replies
9K Views
Back
Top Bottom