International Forum

News and Stories from rest of the World
Katika ziara itakayomoeleka Donald Trump katika mataifa kadhaa matano kuanzia Saud Arabia mpaka Brussels, Jerusalem ikiwamo imeonekana kupokelewa kwa mtazamo tofauti ukilinganisha na msimamo wake...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
Marekani ipo mbioni kukamilisha dili la silaha kwa Saudi Arabia lenye thamani zaidi ya dola billion mia moja($100B),hayo yamesemwa na afisa kwenye Ikulu ya Marekani ambaye jina lake halikutajwa...
2 Reactions
60 Replies
8K Views
Mimi naomba kuuliza kama Tanzania tunajua kufuatilia maadui wa nchi au tunapoteza muda kufuatilia udaku na kuwaza ngono kila wakati. Naamini hata raisi magufuli hajui kinachoendeea marekani...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Breaking News: Firing that nut job! WASHINGTON — President Trump told Russian officials in the Oval Office this month that firing the F.B.I. director, James B. Comey, had relieved “great...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau naomba kuuliza hivi ziara ya kwanza nje Marekani tangu awe rais wa Marekani Donald Trump ameamua kuchagua Saudi Arabia hii ina maana gani kwa siasa za dunia hii na mashariki ya kati
0 Reactions
8 Replies
1K Views
*TIPS ON HOW TO OVERCOME GOING LATE TO CHURCH* 1. Iron all your outfit before preparation day 2. Polish / clean footwear before sunset on preparation day. 3. Get your Bible/ handbook/ tablet/...
3 Reactions
5 Replies
966 Views
Makomando wa kimarekani Wamemaliza DRILL ya Zoezi maalumu liitwalo "Warrior Strike 7" huko South Korea katika mji wa uijeongbu kambini kwao Stanley..... Zoezi hilo limehushisha meli za kivita za...
9 Reactions
83 Replies
26K Views
Ni kombora ambalo US walilifuatilia lakini hawajui lina sifa zipi. Japan wamelaani sana jaribio hilo, ambalo liliishia kwenye bahari karibu na japan Huu ni muendelezo wa jaribio la Makombora bila...
5 Reactions
163 Replies
17K Views
An attack on an airbase in south Libya has killed 141 people, mostly soldiers loyal to military strongman Khalifa Haftar, a spokesman for his forces said on Friday. Members of the Third Force...
0 Reactions
5 Replies
794 Views
IRAN: Wananchi wanapiga Kura leo kumchagua Rais mpya wa taifa hilo. Rais wa sasa, Hassan Rohani anapigiwa chapuo la kuibuka mshindi. Jumla ya wapiga kura wapatao milioni 54 wanatarajiwa kushiriki...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jaji mmoja kutoka Canada aliyemuuliza mwanamke katika kesi ya ubakaji ''kwa nini hakuweka mapaja yake pamoja'' wakati wa tukio hilo amejiuzulu.J Robin Camp alijiuzulu baada ya kamati ya nidhamu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Binti mfalme wa Japan, Mako, mjukuu wa Mfalme Akihito, atavuliwa hadhi hiyo maana ameamua kuolewa na mchumba ambaye hatoki katika familia ya kifalme Mako mwenye umri wa miaka 25 ambaye ndiye...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
We are a campaign that aims to raise awareness about the NZARAMBA famine to ensure that all relevant national, regional and International humanitarian agencies and institutions provide necessary...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Fungua link hii uone jinsi kagame alivyo katili na anavyo penda starehe, pia asivyo jali shida za wengine, Moja ya walinzi na dereva anaelezea Nimetuma link baada ya page kuzuia content...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
By Chris Kahn NEW YORK (Reuters) - Public approval of President Donald Trump has dropped to its lowest level since his inauguration, according to a Reuters/Ipsos poll released on Friday, after...
0 Reactions
2 Replies
712 Views
Marekani sasa kukubali kuzungumza na Korea ya Kaskazini endapo tu nchi hiyo yenye misimamo mikali juu ya uundaji na utengenezaji wa makombora ya masafa marefu ya kujilinda ya [ICBM -...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nisiseme mengi, Ila baada ya Uchaguzi wa 2016 Hapa Marekani, Kumezuka Mambo mengi sana, Shutuma, Kashfa Usaliti, Madai ya Njama, Kuingilia Madaraka ya Upelelezi wa Urusi kuvuruga Uchaguzi...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
US President Donald Trump has arrived in Saudi Arabia on the first leg of his first foreign trip since taking office, in a crucial test abroad as political scandals mount at home. Trump will be...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Tangu zamani kumekuwapo shinikizo kutoka Western countries kwa mataifa ya yaliyo na viongozi waliokaa madarakani kwa mda mrefu kuondoka... Shinikizo hilo lilionekana kuzaa matunda hapa kwetu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimejaribu kufatilia mwenendo wa Mr. President D. J. Trump, nimeshindwa kupambanua je vitendo vya rais huyo kupingana na kumwona mtangulizi wake Mr. B. H. Obama kana kwamba c chochote ktk yale...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom