International Forum

News and Stories from rest of the World
UJERUMANI: Mkuu wa Kampuni Volkswagen,Matthias Mueller achunguzwa kufuatia magari yanayozalishwa na Kampuni hiyo kukwepa ukaguzi wa uchafuzi wa mazingira. ==== Frankfurt am Main (AFP) - German...
0 Reactions
0 Replies
435 Views
Waziri wa maswala ya Ulinzi nchini Korea Kusini amesema kuwa mpango wa utengenezaji wa makombora wa Korea Kaskazini unaendelea kwa kasi zaidi ya ilivyo dhaniwa. Han Min-koo pia aliliambia bunge...
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Katika pitapita zangu mitandaoni nilikutana na mjadala huu enzi za utawala wa mzungu na enzi za utawala wa mtu mweusi ambao ni sasa ndani ya bara la AFRICA UPI BORA AU UNA UNAFUU...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
MALTA: Waziri Mkuu Joseph Muscat amshitaki kwa udhalilishaji Mwanahabari Matthew Galizia aliyetoa taarifa za rushwa dhidi ya kiongozi. Mwanahabari huyo ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya Pulitzer...
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Marekani imeituhumu serikali ya Syria kwa kujenga sehemu ya kuchoma maiti katika jela ya kijeshi iliyopo karibu na Damascus ili kuficha mauaji ya halaiki ya wanaoshikiliwa na serikali. Wizara ya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Msichana wa miaka 10 aliyebakwa ameruhusiwa kutolewa mimba hiyo. Madaktari nchini India walikubali ombi la msichana huyo mkazi wa jimbo la Haryana kaskazini mwa India. Dk Ashok Chauhan aliiambia...
0 Reactions
0 Replies
719 Views
MEXICO: Waandishi wa Habari wameandamana wakipinga mauaji ya mwenzao aliyepigwa risasi Jumatatu, wameitaka Serikali kuchukua hatua. Mwanahabari aliyeuawa alikuwa mstari wa mbele kuripoti matukio...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Explosive...! President Trump asked the F.B.I. director, James B. Comey, to shut down the investigation into Mr. Trump’s former national security adviser, Michael T. Flynn. “I hope you can let...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Huku sisi tukiwa kwenye msiba mkubwa wa ajali ya Arusha kwanini huko Nigeria Ilikuwa ni siku ya furaha kubwa kwa wazazi ndugu jamaa hata marafiki baada ya serikali ya Nigeria kusalimu amri na...
27 Reactions
312 Replies
29K Views
KIKOSI HATARI CHA US NAVY 'SEAL' CHATUA RASMI RASI YA NORTH KOREA Yumkini jaribio la mzee wa kiduku limeshtua sana Marekani ambapo sasa ni rasmi Kikosi hatari cha Makomandoo wa Kimarekani ambacho...
12 Reactions
112 Replies
22K Views
Ndege ya kwanza kubwa ya kubeba abiria iliyoundiwa China yapaa Ndege kubwa ya kwanza ya kubeba abiria ambayo imeundiwa nchini China imekamilisha safari yake ya kwanza. Ndege hiyo imeundwa kutoa...
6 Reactions
139 Replies
27K Views
Rais mpya wa Ufaransa, Emmanuel Macron siku yake ya kwanza Ofisini amemteua Ndugu Edouarde Philippe mwenye miaka 46 kuwa Waziri Mkuu mpya wa Taifa hilo. Uteuzi huu umetoa ishara kuwa Rais Macron...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jeshi la taifa hilo changa Afrika, linalofahamika kama Sudan People's Liberation Army, limebadili jina na kuitwa Jeshi la ulinzi la Sudan Kusini. Sudan Kusini imechukua jina la waasi wa South...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni wazi kwamba suala la mapenzi ya jinsia moja limekuwa likishamiri katika dunia ya leo hasa ushoga(mapenzi kati ya mwanaume na mwanaume). Ni dhahiri kwamba kimaadili (kiimani na kiroho) ni jambo...
4 Reactions
71 Replies
8K Views
Jimbo la Catalonia inapatikana kaskazini mashariki ya Spain ni moja ya jimbo ambalo linapigana kujiengua na kudai Uhuru wao.Ni miaka sasa tangu Catalonia kudai haki yao ,tukiangaazia nyuma...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Watafiti wa mambo ya kimitandao wanasema shambulio la kimitandao lililoathiri nchi zaidi ya 150 duniani linaweza kuwa lilifanywa na Pyongyang au Kuna watu wameiframe ionekane wao ndio wahusika...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
CIA Establishes Korea Mission Center May 10, 2017 The Central Intelligence Agency (CIA) has established a Korea Mission Center to harness the full resources, capabilities, and authorities of the...
1 Reactions
50 Replies
7K Views
DEB RIECHMANN,Associated Press 9 hours ago Reactions Sign in to like Reblog on Tumblr Share Tweet Email WASHINGTON (AP) — President Donald Trump revealed highly classified...
0 Reactions
1 Replies
795 Views
DEB RIECHMANN,Associated Press 9 hours ago Reactions Sign in to like Reblog on Tumblr Share Tweet Email WASHINGTON (AP) — President Donald Trump revealed highly classified...
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Jeshi nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limesema kuwa zaidi ya watu mia tano wameuawa katika mapigano kati ya vikosi vya usalama na vile vinavyoipinga serikali tokea mwishoni mwa mwezi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom