Kaburi la mwana wa Pharaoh lapatikana Misri
Haki AFP
Image Eneo ambalo kaburi la mwana wa Pharao lilipatikana
Kaburi la miaka 3,700 la mwana wa kike wa Pharaoh linaamika kupatikana karibu na...
Korea Kaskazini imesema kuwa itafanya mazungumzo na Marekani iwapo mazigira yataruhusu ,kulingana na vyombo vya habari vya Korea Kusini.
Mjumbe mwandamizi wa Korea Kaskazini amesema kuwa...
Korea ya kaskazini imekuwa ikichukuliwa kama taifa korofi, kandamizi kwa raia wake na lisilotii sheria za kimataifa hususani zile zinazohusisha umiliki silaha na urutubishaji wa nyukilia, ambacho...
Kwenye nchi nyingi zinazotekeleza demokrasia ya kweli pindi kiongozi yeyote wa chama kinachoshindwa uchaguzi huwa anajiuzulu kwenye mambo ya siasa ndani ya chama na kuachia wanasiasa wengi...
A massive cyber-attack using tools believed to have been stolen from the US National Security Agency (NSA) has struck organisations around the world.
Cyber-security firm Avast said it had seen...
Msemaji wa Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amesema kiongozi huyo huwa anapumzisha macho tu na si kulala wakati wa mikutano kama wanavyoamini watu wengi.
"Rais huwa anasumbuliwa na mwanga mkali,"...
Hatua ya Rais Donald Trump kumfukuza Mkurugenzi wa FBI ambaye alikuwa akiongoza uchunguzi dhidi yake kuhusu jinsi serikali ya Urusi ilivojihusisha katika mchakato wa Marekani katika uchaguzi...
Kupitia maelezo ya Mkuu Wa mkoa Wa Arusha aliyoyatoa Jana kuhusiana na rambirambi zilizotolewa na watu walioguswa na msiba huu mkubwa kwa taifa, watakubaliana na Mimi kuwa ingekuwa nchi za wenzetu...
ISLAMABAD, PAKISTAN: Watu 25 wamefariki na 37 wamejeruhiwa baada ya kutokea kwa mlipuko katik msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Seneti.
- Mlipuko huo umetokea katika mji wa Mastung mara baada ya...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kwamba kumetokea mlipuko wa ugonjwa wa Ebola katika maeneo ya kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Shirika la habari la AFP limesema...
Vita baridi vilivyodumu kwa Kati ya mwaka 1945-1990 vinaonekana vimerudi rasmi.
Serikali ya Marekani na Urussi zilipambana sana kugombea maslahi ya kisiasa, kijeshi, na kiuchumi, sehemu...
Rais wa Somalia 67 na Wakenya watano wamefukuzwa nchini Marekani kwa nguvu baada ya kubainika kuwa walikuwa wanaishi nchini humo kinyume cha sheria lakini pia kujihusisha na makosa mbalimbali...
Wanaharakati watano watetezi wa haki za wapenzi wa jinsia moja wamekamatwa na kuziliwa mjini Moscow.
Walikamatwa walipokuwa wanaelekea kwa afisi ya mwendesha mashtaka mkuu wa Urusi kuwasilisha...
Talkin in his usual prophesying services in his church in Nigeria on 3rd Janb2017, TB Joshua warned that he saw a vision about a dangerous unkown arrow in the hands of NK Kim, that will be thrown...
Wadau napenda kufahamu juu hasa ya nchi hii isiyo na makeke kabisa katika nyanja nilizotaja!
Hali ya maisha ya warusi ikoje, je kuna uhuru wa maoni, siasa zake zinaendeshwa vipi? Vipi hali ya...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesifu kujitolea mhanga na kujitoa kafara kwa watu wa Muungano wa Usovieti wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.
Bw Putin alisema hayo wakati wa maonesho ya kila...
Takriban watu 22 wamefariki baada ya ukuta kuwaangukia wakati wa harusi Kaskazini mwa India
Wageni hao walikuwa wamejikinga na mvua kubwa inayoendelea kunyesha kabla ya ukuta huo kuwaangukia...
My beloved companion,
I write you these words not knowing whether you will receive them, when you will receive them, and whether I will still be alive when you read them. Throughout my struggle...
Takriban watu 22 wamefariki baada ya ukuta kuwaangukia wakati wa harusi kaskazini mwa India.
Wageni hao walikuwa wamejikinga na mvua kubwa inayoendelea kunyesha kabla ya ukuta huo kuwaangukia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.