Among the findings:
The United States has the best-equipped military on the planet.
Both Russia & China have been modernizing their armed forces, and while their equipment still lags behind...
Rais Donald Trump amemfuta kazi mkurugenzi wa shirika la ujasusi la FBI kutokana na hatua yake ya kuliangazia swala la barua pepe za aliyekuwa mgombea wa uraisi wa chama cha Democrat Hillary...
C-17 Globemaster
Dege la kwanza la Marekani maalumu kwa usafirishaji wa mizigo ya kijeshi lawasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ben-Gurion nchini Israel likiwa limebeba mamia ya tani za...
Mkuu wa jeshi nchini Ivory Coast amesema jeshi limeanzisha operesheni maalumu ya kurudisha hali ya utulivu katika mji wa pili kwa ukubwa wa Bouake ambao ulikuwa chini ya wanajeshi ambao wamekwenda...
The Communications Authority of Kenya if therefore advising the public to beware and put in place the following preventive measures on the "WannaCryptor" Ransomware Cyber Attack.
i. Ensure that...
Maafisa wa magereza nchini Papua New Guinea, wamewapiga risasi na kuwauwa wafungwa 17, ambao walivunja gereza na kutoroka siku ya Ijumaa.
Polisi wamewatia mbaroni wafungwa watatu, huku...
Kwa muda wa siku 3 kuna watu wamefanya mashambulizi makubwa ya kuvuruga files nyingi kwenye computers ya makampuni na taasisi nyingi za kiserikali sehemu nyingi duniani.
Leo hao wahalifu...
Spika wa Bunge lenye wapinzani wengi nchini Venezuela, Julio Borges amelitaka jeshi la nchi hiyo kuanzisha mazungumzo na kusaidia kupata suluhu ya mgogoro wa kisiasa.
Jeshi linamtii rais wa nchi...
Ikitokea Marekani na nchi za ulaya zikatungiza kwenye vita ya tatu ya dunia ( tuteme mate chini) World war III , kuna uwezekano mkubwa Africa ikapata wakimbizi wa kizungu kwa mara ya kwanza katika...
Hii regime ya Trump haijui kabisa ilifanyalo kwenye hili suala la executive order ya uhamiaji aliyoisaini wiki hii.
Mara huyu aseme hivi...mwingine naye anakuja anasema hivi...full mparaganyiko...
Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Kanisa Katoliki ameamua kususia kula chakula ili kuonyesha mshikamano na uungaji mkono wake kwa Wapalestina waliosusia kula katika magereza ya utawala wa Kizayuni...
Raisi mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron na raisi anaeondoka Francois Hollande wakipunga mikono kwa wananchi.
Emmanuel Macron ambae aliwahi kuwa mfanyakazi wa zamani wa benki, leo ameapishwa rasmi...
Mfalme wa Saudi Arabia, Salman bin Abdulaziz Aal Saud amewaalika wakuu wa nchi 17 kwenda kuonana na Donald Trump, wakati rais huyo wa Marekani atakapokuwa ziarani nchini Saudia.
Trump anatarajiwa...
Rais mteule wa ufaranca Emannuel Macron ameapishwa rasmi leo. Kuapishwa kwake kunatabiriwa kutaleta mabadiliko makubwa kwa sera za nje za nchi hiyo. Rais huyo mwenye umri wa miaka 40 ni mtu...
Thank you all.3pm I was held by immigration because co pilot said he heard me at Entebbe queue calling Kagame a young dictator following in big bro Museveni footsteps. They then delayed the flight...
Takriban watu 20 wamefariki papo hapo baada ya basi moja la watalii kuanguka kutoka juu ya mwamba karibu na eneo la kujivinjari lililopo Kusini mwa Uturuki.
Watu wengine 11 walijeruhiwa wakati...
Mwanamke anayedaiwa kuwa ni Jambazi sugu, ambaye amekuwa akipakia mtandaoni picha zake akiwa amejipodoa na kujipamba, ameuawa na polisi jijini Nairobi
Mwanamke huyo ambaye ametambuliwa kama Claire...
Early this Sunday North Korea authorities managed to launch a Projectile. this unidentified missile is believed to be a ballistic one and shows a great success to Kim's ambition to possess...
The body of Jean Damascene Habarugira, a member of the United Democratic Forces party (known by its French acronym, FDU), was found on Monday, police spokesman Theos Badege said
A member of a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.