International Forum

News and Stories from rest of the World
Hii ndiyo kusema kuwa N/korea amehamishia mahusiano makubwa ya kibiashara kwa Urusi? Maana imeripotiwa leo kuwa feri yenye uwezo wa kubeba raia 200 na tani 1000 za mizigo itafanya safari sita kwa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
SWEDEN: Mwendesha Mashtaka aachana rasmi na uchunguzi uliodumu kwa miaka 7 wa tuhuma za ubakaji dhidi ya muanzilishi wa WikiLeaks. Bwana Julian Assange amekuwa akijificha ndani ya jengo a Ubalozi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
In April 2017 US Secretary of State Rex Tillerson stood up one of Africa’s most powerful people, African Union (AU) Commission Chairperson Moussa Faki. Tillerson invited Faki to Washington for a...
1 Reactions
1 Replies
628 Views
WAZAIRE MANENO MINGI SANA LAKINI WEPESI KM PAMBA
0 Reactions
1 Replies
1K Views
tazama link hii Unity Of Purpose: Malawi, Tanzania Agree To develop Songwe River Basin Into Economic Hub, Court Donors
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Venezuela Henrique Capriles amesema alipokonywa hati yake ya kusafiria uwanja wa ndege alipokuwa akijiandaa kwenda New York. Alipanga kukutana na viongozi wakuu...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Besieged from all sides, the Trump administration appointed former FBI Director Robert Mueller Wednesday evening as a special counsel to oversee the federal investigation into allegations Russia...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Jumla ya visa 18 vya ugonjwa wa Ebola vimeripotiwa nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Congo kwa mujibu wa shirika la afya Duniani WHO. Vifo vya watu watatu vimeripotiwa kutokana na ugonjwa huo...
0 Reactions
2 Replies
475 Views
Naomba kuuliza tu, hivi wale wanajamvi walioshadadia kwamba marekani atampiga bwana KIM bado wanaendelea kushadadia?
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa jinsi mambo yanavyojiri huko USA, sidhani kama Raisi mpya wa Marekani, Donald Trump, anaweza hata kumaliza miaka minne ya utawala wa awamu ya kwanza tu, achilia mbali kushinda awamu ya pili...
5 Reactions
57 Replies
8K Views
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameteua baraza la mawaziri lenye usawa wa kijinsia kuambatana na ahadi ya mapema ambapo 11 kati ya mawaziri 22 ni wanawake. Sylvie Goulard ndiye waziri mpya wa...
0 Reactions
1 Replies
885 Views
Mjadala wazuka kuhusu afya ya kiakili ya Trump 17 Februari 2017 Wataalamu wa afya ya kiakili wameandika barua wakisema Trump hafai kuwa rais Ni suala ambalo hungetarajia watu walizungumzie hasa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Inasemekana wahusika wa mauaji wa Rais wa zamani wa DRC wametoroka jela. Convicts in Kabila assassination escape | IOL Hapa naona ule umuhimu wa utekelezwaji wa adhabu ya kifo.
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Banda Aceh (Indonesia) (AFP) - A sharia court Wednesday sentenced two men to be publicly caned for gay sex for the first time in Indonesia's conservative province of Aceh, the latest sign of a...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameingilia sakata inayomkabili Rais wa Marekani Donald Trump kutokana na uhusiano wake na Urusi. Rais Putin amepinga madai ya uvujaji siri za Marekani kwa Urusi na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Korea Kaskazini imesema zoezi la kujaribu makombora yake lilifanikiwa kwa asilimia 100 siku ya Jumapili. Kombora hilo ni aina mpya yenye uwezo wa kubeba vilipuzi vingi zaidi. Vyombo vya habari...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
The US soldier convicted of handing a trove of secret government documents to anti-secrecy website Wikileaks has been sentenced to 35 years in prison. Pte First Class Bradley Manning, 25, was...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Korea Kaskazini imedai kwamba kombora la masafara marefu ililolifanyia majaribio siku ya Jumapili ni kombora jipya linaloweza kubeba kichwa cha nyuklia. Kombora hilo lili lorushwa lilienda...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Haya kiduku kafanya mambo yake tena . Naomba msome [Hébergement Internet, Cloud, et Serveurs dédiés - OVH] HABARI Silaha ya balistika ya Korea Kaskazini yadaiwa kufika kwenye sayari Mei 14...
3 Reactions
78 Replies
9K Views
D.Trump anawasiliana na ktk kushirikiana na Urusi anatukanwa mpaka wanaanza mpango wa kumshitaki, ikumbukwe kwamba Vita ikiibuka kati ya Urusi na Ulaya hkn atakayepona, na cha ajabu zaidi Waafrika...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom