Ndege za kuangusha mabomu za Marekani zapaa Korea
Haki miliki ya pichaREUTERS
Ndege za kuangusha mabomu aina ya B-1B Lancer zikipaa juu ya Korea Kusini awali
Maafisa wa Korea Kusini wamesema...
Chama cha Norway 's progress party.
Wanadai
-tohara ni kinyume cha haki ya mtoto na binadamu kwa ujumla
-tohara inasababisha maumivu ya kimwili na kiakili kwa watoto
-sheria hii itawaathili...
MADRID (AP) - The Latest on immigration into Europe (all times local): The U.N. refugee agency says nearly 250 people are missing and feared dead following two shipwrecks in the Mediterranean Sea...
Ukame unaoikumba Sudan Kusini na mataifa jirani huenda ukapelekea vifo vya watu milioni sita, shirika moja la kutoa misaada limeonya.
Mkimbizi kutoka Sudan Kusini aliyekabiliwa na utapia mlo...
Wakuu,
Najua wengine katika jukwaa hili mpo high kujua nini kinaendelea huko mataifa ya nje hususani nje ya bara la Africa...kati ya North Korea Na USA.
Sifungamani na upande wowote
Watanzania...
Hali ya hatari yatangazwa katika jiji la Montreal baada ya jiji hilo kukumbwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa pamoja na kuyeyuka kwa barafu.
Mpaka sasa takribani makazi ya watu...
Jopo moja la ushauri limependekeza kisiwa kimoja nchini Japan, ambapo wanawake hawaruhusiwi kufika, kitambuliwe kama turathi ya ulimwengu.
Kisiwa hicho cha Okinoshima huchukuliwa kuwa kitakatifu...
Wakuu mwenye habari kamili ailete hapa lakini inasemekana korea ya kaskazini leo kwa muda wa kwao sasa ni asubuhi(jumamosi) wamendelea kukaidi na walijaribu kombora lingine la nyuklia...
War and famine have forced more than 2 million children in South Sudan to flee their homes, creating the most worrying refugee crisis in the world, the United Nations said on Monday.
The civil...
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amerejea London kupokea matibabu wiki chache baada yake kukaa huko kwa miezi miwili.
Taarifa kutoka kwa ikulu ya rais huyo imesema amehitajika kwenda Uingereza...
The next French President is likely to be 39 years old.
But that is not the news.
He is married to a 64 year-old, that is still not the news.
His wife was his class teacher 24 years ago...not...
Huyu ndiye Rais na mtu mtata zaidi duniani kwa sasa. Duterte Rais wa Ufilipino.
Aionya marekani Kuwa watulivu na wavumilivu, Kim anataka kuleta Mwisho wa dunia.
Wakati huohuo Trump amemuialika...
Hii ni video ya Miaka kama Tisa iliyopita ambapo Wazungu kadhaa walifanyia Mkutano London wakiwa na Morgan Tsvangirai kupanga Kumuua Mugabe! Kosa walimhusisha Kiongozi wa kijeshi ambaye alimstua...
Korea Kaskazini inasema kuwa
imemkamata raia wa Marekani kwa kushukiwa kuendesha
vitendo viovu dhidi ya taifa hilo. Kim Hak-song, alikuwa akifanya kazi katika chuo cha sayansi na Teknolojia cha...
Serikali ya Japan imeonya raia wake kwamba watakua na muda usiozidi dakika kumi kujiandaa iwapo Nkorea itawashambulia kwa kombora la nyuklia.
Serikali ya Japan imeanza kutoa maelekezo ya jinsi ya...
Jeshi la Marekani lipo kazini kujaribu mfumo mpya kabisa kwa ajili ya ndege yake B-2 stealth bomber.
Mfumo huo ujulikanao kama Defensive Management System (DMS) ni maalumu kabisa kwa ajili ya...
Uchaguzi huo wa Jumapili unakuja baada ya kipindi cha kampeini kilichoshuhudia kashfa, matukio ya kushangaza na dakika za mwisho kampeini za Macron kudukuliwa na nyaraka nyeti kusambazwa katika...
At least 21 people, mostly women, were killed in a head-on crash between a truck and a minibus packed with passengers in Guinea, police said on Sunday.
The deadly crash took place on Saturday...
French election 2017: voters make historic choice between Macron and Le Pen – live
Presidential candidates go head to head in second round, presenting diametrically opposed visions of France’s...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.