The campaign of French presidential candidate Emmanuel Macron says it has been the target of a "massive hacking attack" after a trove of documents was released online.
The campaign said that...
Emmanuel Macron (kushoto) wa chama cha En Marche kushoto na Marine Le Pen wa chama cha National Front
Mzunguko wa kwanza wa uchaguzi wa raisi nchini Ufaransa umefanyika huku mgombea wa...
Ofisi kuu ya Rais wa Nigeria imethibitisha kuwa wanafunzi 82 wa shule ya wasichana wa Chibok, waliotekwa nyara na wanamgambo wa kiislamu wa Boko Haram mnamo mwaka wa 2014, wameachiwa huru...
A C919 passenger jet taking off at Pudong International Airport in Shanghai on Friday. The plane symbolized the industrial might of an emerging superpower — and its dream to dominate a new...
Vituo vya CNN, ABC, CBS na NBC wagoma kurusha tangazo la kuisifia serikali ya Rais Trump kwa matokeo chanya ya siku 100 ya awali madarakani
Tangazo hilo lililotolewa tarehe 1 May 2017...
Rais Trump amesema kuwa ana matumaini makubwa kwamba sheria itakayochukua mahala pake huduma ya afya ya Obamacare itapitishwa katika bunge la seneti, baada ya kuidhinishwa na bunge la uwakilishi...
Ndege ya kwanza ya kivita yenye technologia kubwa kuliko zote duniani F-35 Stealth kutua ndani ya IAF wiki hii na nyingine 30 kutua hadi ifukapo 2018
RADA ZA MASHARIKI YA KATI ZITAFUTE KAZI NYINGINE
Jaji mweupe nchini Afrika Kusini amejiuzulu baada ya kutoa matamshi mwaka jana katika mitandao ya kijamii kuwa matukio ya ubakaji ni utamaduni wa watu weusi.
Jaji huyo wa mahama kuu Mabel Jansen...
Mwanajeshi wa Marekani ameuawa wakati wa operesheni ya kukabiliana na wanamgambo wa al-Shabab, jeshi la Marekani limesema.
Mwanajeshi huyo aliuawa Alhamisi umbali wa takriban kilomita 64...
Wakuu Sana.
Leo nimesoma baadhi ya habari kutoma kwa vyombo vya kimataifa hasa uingereza na Habari nayoona imepewa uzito ni kikao cha gafla cha wafanyakazi wa Malkia wa Uingereza katika moja ya...
Nchini Rwanda wagombea wa kiti cha urais katika uchaguzi utakaofanyika mwezi wa 8 wanazidi kujitokeza. Diane Rwigara ametangaza rasmi nia yake ya kugombea urais.
Huyu ni Binti wa mfanyabiashara...
Waziri wa Ujenzi wa Somalia ameuawa jioni hii kwenye lango la Ikulu na walinzi wa Rais wa Somalia kimakosa baada ya kudhania gari aliyekuwa amepanda Waziri huyo lilikuwa la magaidi wa Alshabaab...
August (2016) ( 9 Months ago)
Japan’s biggest airline has started grounding its fleet of Boeing 787 Dreamliners after discovering a problem with the plane’s Rolls-Royce engines, in another...
Habari zinaeleza juhudi Za kumwondoa Kim madarakani zimeanza kuzaa matunda hii ni mara baada ya majaribio kadhaa ya silaha Za nyuklia za Korea ya kaskazini kushindwa na kudondoka bila mafanikio...
Hillary mpaka Leo anasema kashindwa kwa Sababu Mara Russia ,FBI,media was tough on her hajilaumu mwenyewe.Inaelekea haja move on .Sasa wewe unahisi kitu gani kilichosababisha aanguke
Kwa Mara nyingine tena vyombo vya habari vya kiarabu vimesema milipuko mikubwa mitano ilitikisa jiji zima na miale mikubwa ya moto kuonekana kila kona ya mji mashuhuda wamasema waliona moto na...
Mume wa Malkia Elizabeth, Phillip ameamua kupumzika na kuacha majukumu yake ya kiufalme.
Kwa mujibu wa jumba la kifalme ya Buckingham, uamuzi huo ulichukuliwa na Mfalme Phillip mwenyewe na...
Waziri Mkuu, Hassan Khayre amemfuta kazi Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Nur Farah Jimale ili kupisha uchunguzi kufuatia mauaji ya Waziri Kijana zaidi Abass Siraj.
Hatau hii imepata baraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.