International Forum

News and Stories from rest of the World
Huyu Jamaa ameibuka na mpya tena, anasema akipata maini ya gaid atayatafuna; na juz hapa alisema watumia madawa ya kulevya nchini mwake ni mazombi ambayo hayatakiwi kuishi na watu
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Russian President Vladimir Putin and his US counterpart, Donald Trump, held a phone call in which they have agreed to cooperate on promoting diplomatic progress in dealing with tensions on the...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Najaribu kujiuliza na kushangaa, hivi likuaje Rais wa Marekani Donald Trump alimpigia simu Uhuru Kenyatta wa Kenya? Aliona nini Kenya akaacha Tanzania ambapo kama inazaliwa? Nchi yetu ndio...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
A Russian military adviser has been shot following a gun battle with militants in Syria, Interfax has reported, citing the Russian Defense Ministry. The adviser, identified as Lt. Col. Alexey...
0 Reactions
1 Replies
809 Views
Treni ya Suite Shiki-shima imeundwa kuwapa abiria starehe lakini utahitaji kulipia gharama ya kati ya dola 2,860 na 10,000 na unaweza kuchagua kati ya safari ya siku mbili au nne. Treni ya...
8 Reactions
10 Replies
3K Views
Reuters | May 02, 2017 U.S. President Donald Trump and Russian President Vladimir Putin discussed working together to end the violence in Syria on Tuesday in their first phone call since U.S. air...
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Menu ABC News LOG IN WATCH & READ Trump: 'I would be honored' to meet with Kim Jong Un Trump: 'I would be honored' to meet with North Korea's Kim Jong Un By ADAM KELSEY May 1, 2017...
0 Reactions
3 Replies
845 Views
MISRI: Watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni Wanajeshi wamewauwa Maafisa Watatu wa Polisi na kuwajeruhi wengine watano katika mji mkuu wa Cairo leo. Washambuliaji hao walikuwa katika magari mawili...
0 Reactions
0 Replies
527 Views
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa tamko na kuipongeza Korea Kaskazini kwa msimamo wake thabiti dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel. Siku chache zilizopita, Wizara ya...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni kwa courtesy ya Ellen Degeneres website/photo gallery. Link hii hapa Letters to Santa - Ellen DeGeneres Photo Gallery Ziko 25; Soma walau mbili, zinafurahisha, Mwenyewe sijazimaliza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
KAMATI ya Rufaa ya chama cha upinzani nchini Kenya cha ODM imeahirisha mikutano yake hadi itakapotangazwa tena hapo baadae. Willis Otieno, mwenyekiti wa kamati hiyo, aliahirisha vikao hivyo kwa...
0 Reactions
1 Replies
895 Views
Marekani, mapema leo imepeleka angani satellite muhimu kwenye maswala ya intelijensia ya kijeshi. Inaaminiwa kuwa satellite hiyo ni mahsusi kwa ajili ya kuchunguza mienendo ya magaidi, kuchunguza...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
mashariki ya kati... kundi la hamas lenye kutawala ukanda wa gaza limetoa waraka mpya unaotambua mipaka ya palestina ya mwaka 1967. waraka huo ulioandaliwa kwa takribani miaka miwili...
0 Reactions
3 Replies
959 Views
Liberia is once again at a crossroads, this time, to choose a leader to succeed the current President. Political parties are emerging and presidential candidates are showing up to contest. Being...
0 Reactions
1 Replies
433 Views
Wanaharakati kutoka katika asasi za kiraia zenye heshima kubwa nchini Nigeria imemtaka Rais Muhammadu Buhari achukue likizo ya matibabu. Rais hajahudhuria vikao viwili vya baraza la mawaziri hali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
willyd193.blogspot.com Moto unazidi kumwakia Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kwani Maandamano ya kumpinga rais huyo yameendelea tena kwenye siku ya wafanyakazi duniani, huku yakiwa yametimiza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
For the past six years I have been working for Kivolex abroad volunteers of arusha Tanzania helping international volunteers to offer their services to Tanzania free of charge. See Volunteer...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Drew binsky ni blogger na mwandishi wa kujitegemea ambaye ametembea zaidi ya nchi 95 tokea 2012.Binsky amekuwa akiandika makala na kutengeneza video YouTube "online TV" Hivi karibuni Binsky...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Haya sasa Waafrika mnatoka povu mara sijui timu USA wengine timu Koreea, Raisi wa USA mwenyewe Mzungu Donald Trump amesema kwamba ,,atafurahia na kujivunia" kukutana na Raisi wa Korea Kaskazini...
1 Reactions
2 Replies
784 Views
Back
Top Bottom