Kwa jinsi mambo yanavyoendelea , huyu Kim wa Korea atakuja kujutia kwa kuwa kichwa ngumu,
Sababu za kwanini nauona mwisho wa kimu, zipo sababu kuu nne
1. Wanorth Korea wamechoka na utawala wa...
Usiku wa Leo Marekani inatarajia kufanya majaribio kwa kombora lake la nyuklia Minuteman III kuangalia ufanisi, utayari na usahihi wake katika kupiga sehemu husika.Jaribio hilo litafanyika kwenye...
huu ni uzembe ulio pitiliza kwa jeshi la urusi. kama meli tu ya ujasusi. imegonga meli nyingine ya mizigo na kuzama kama mtumbwi. na je vikitokea vita na marekani itakuwaje.
na mmarekani yeye...
Kunaendelea kukucha sasa maseneta wote wameitwa white house kujiandaa na Korea
The entire U.S. Senate has been invited to the White House for a briefing Wednesday on the North Korea situation...
Donald Trump aliingia ofisini akiahidi kubadilisha sura ya siasa za Marekani na kurejesha madaraka kwa raia.
Kufikia sasa, amefanikiwa kufanya nini? Tunafuatilia maendeleo ya rais kwenye ajenda...
Mkutano mkubwa wa nchi za Asia yaani maarufu kama "ASEAN" unafanyika leo mjini manila nchini Ufilipino, mada itakayotawala katika mkutano huo itakua kujadili mgogoro wa Korea Kaskazini na...
Kwa wale wapenzi wa Star Wars tunahuzunika kwa kifo Cha Princess Leia (jina lake kamili Carrie Fisher).
Amefariki akiwa na umri wa miaka 60.
May the force be with you Princess Leia R.I.P
Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa rais wa kwanza wa taifa hilo kuhutubia muungano wa wanaharakati wa uhuru wa kumiliki bunduki, NRA, baada ya kipindi cha zaidi ya miaka 30.
Akiongea hapo...
Mahakama ya kiislamu imeiomba msamaha Israel kwa mashambulizi yaliyotokea kati yao ana kwa ana.
Israel's former defence minister has said that the Islamic State group "apologised" to Israeli...
SIERRA LEONE: Rais Ernest Bai Koroma amesema mwakani na ataondoka madarakani na kukabidhi madaraka kwa amani kwa mrithi wake.
=========
President Ernest Bai Koroma of Sierra Leone said Thursday...
Nchini Singapore kampuni ya soda ya CocaCola imetengeneza mashine maalum ambazo ukizikumbatia zinakuwezesha kupata soda ya bure 'automatically'. Mashine hiyo unapoikumbatia inatoa soda bure na...
Image captionRex Tillerson (kulia) na balozi wa Marekani kwenye UN Nikki Haley, wakiwa kwenye mkutano
Marekani iko tayari kwa mazungumzo na Korea Kaskazini yenye lengo la kuondoa zana za nuklia...
how many hours before ika collapse
kisha collapse hiyo kaeni staby before zingine zikaanza kuanguka
na jana bosi wa British Airways alisema kuwa kuna mashirika kama 50 hivi ya ndege dizaini...
Ndugu wana jukwaa,nimekuwa nikijiuliza,kwa nini Meli inasajiriwa na kupeperusha bendera isiyokuwa ya nchi yake.
Unakuta Meli ni ya nchi ya Iran,lakini imesajiriwa Tanzania, kwa nini usajiri hauwi...
Mwanamke mmoja wa Ufaransa ''amefufuliwa'' na afisa mmoja wa polisi ambaye alimfanyia matibabu ya dharura kwa jina CPR saa moja baada ya maafisa wa afya kusema kwamba amefariki.
Mwanamke huyo...
Kwa Taarifa zilizotufikia Hivi punde ni kwamba Raisi wa marekani Dolnad Trump amewaambia wajumbe kua kuisuluisha Korea ya kaskazini kwa njia ya kidiplomasia ni vigumu kuwafikia. Je ni nini...
Watu wawili zaidi wamefariki kutokana na ugonjwa usiojulikana ambao uliwaambukiza watu waliohudhuria mazishi mapema wiki hii katika kaunti ya Sinoe nchini Liberia kusini mashariki mwa mji mkuu...
Trump na yanayoendelea ktk Peninsula ya Korea.
* Uvamizi wa kijeshi North K.
Yawezekana na moja ya mpango ulioko mezani lakini linatafutwa suluhisho la amani kwanza ingawa inakuwa vigumu...
Marekani Yashindwa Tena kuamua Kuishambulia North Korea Na Kuendelea Kusisitiza Kuhusu Vikwazo.
Mamlaka ya rais Donald Trump imewaelezea maseneta wote 100 wa bunge la taifa hilo kuhusu tishio la...
Marekani vs North Korea
Marekani vs China
Marekani vs Russia
Ungereza vs Russia
North Korea vs South Korea
North Kores vs Japan
North Korea vs Australia
Iran vs Israel
Hizzbollah ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.