International Forum

News and Stories from rest of the World
Habari za ndani kutoka White House zinadai Rais Donald Trump muda si mrefu atamteua Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Wanamaji (US Marine Corp), Randolph Alles a.k.a Tex kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
China imetangaza kwamba imefanikiwa kuzindua manowari yake ya kwanza ya kujiundia yenye uwezo wa kubeba ndege za kivita. Meli hiyo ya kivita ina uzani wa tani 50,000. Hatua hiyo inachukuliwa...
1 Reactions
28 Replies
9K Views
Why Netanyahu failed to mention the Iranian link to the cyberattack on Israel Waziri Mkuu wa Israel amesema nchi yake imeshambuliwa na cyberattack mashambulizi yanayofanywa kwa njia ya computer...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May amesema kwamba atakua tayari kutumia silaha za nyuklia pale inapobidi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ulinzi wa Uingereza bwana Michael Fallon. Bwana Fallon...
5 Reactions
82 Replies
8K Views
Jeremy Meeks, ambaye wakati mmoja alijizolea sifa za kuwa "mhalifu mtanashati zaidi duniani", amezuiwa kuingia Uingereza. Mwanamitindo huyo alivuma sana mtandaoni mwaka 2014 picha yake...
0 Reactions
1 Replies
745 Views
Saudh Arabia kwa miaka mingi ndio taifa kubwa katika uzalishaji wa mafuta duniani. Miaka ya hivi karibuni nchi nyingi duniani zimegundulika zina hazina kubwa za mafuta duniani na hii ilipelekea...
6 Reactions
37 Replies
6K Views
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty limeungana na mashirika mengine yanayotaka shitaka la uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani nchini Zambia na wenzake watano kufutiliwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Marubani wanaotumia ndege za kivita za Marekani F-35 stealth fighter watakuwa wakitumia helmet ghali zani duniani. Kupitia helmet hii, rubani ataona kila kitu cha dunia kinachoonwa na camera za...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Katika hali ya kushangaza mambo yanayoendelea nchini Congo DRC, chini ya rais Joseph Kabila ni kulichezea Kanisa Katoliki na bila kujua ni kwa namna gani linaweza kumuweka au kumwondoa mtu yeyote...
4 Reactions
101 Replies
14K Views
White House blocks Flynn document request Image caption Congressman Jason Chaffetz said there could be 'repercussions' if Flynn broke the law The White House has...
0 Reactions
4 Replies
811 Views
Hili swala limenisumbua mda mrefu sana, nauliza tu wajuvi wa mambo shida ni nini? Kuna ardhi wanagombania? Hau ni yale majaribio ya silaa? Kama ni silaa mbona hata wamarekani wanazo na hata...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni kweli kuwa uchumi wa North Korea unategemea 80% hadi 85% kutokana na kufanya biashara ya kimataifa na nchi ya China(biashara ya coal na oil) lakini hivi karibuni China amemkumbatia Trump na...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Takribani miili ya wahamiaji 16 imeokotwa katika pwani nyembamba inayotenganisha Uturuki na Kisiwa cha Ugiriki cha Lesbos. Aidha katika miili hiyo imebainika kuwepo kwa miili ya watoto wawili...
1 Reactions
0 Replies
574 Views
Miner threatens to reappraise Tanzania ops Companies | 21 April 2017 Reuters Tanzania - Tanzanian gold producer Acacia Mining will have to review its mining operations if the government’s ban on...
0 Reactions
5 Replies
843 Views
Salaam Wadau Umoja wa kisovieti ulikua na sera za kikomunisti na kutoimarika kwa demokrasia lakini ujio wa Rais Mikhail Gorbachev 1990-1991 ulileta kizaazaa cha anguko hilo Mikhail Gorchachev...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Katika kusherekea siku ya kuadhimisha kuzaliwa kwa babu yake mapanki, korea imeonesha umahiri wake wa jeshi kwa parade kakamavu , pia kwa mara nyingine ndugu mapanki ameonesha submarine ambayo...
14 Reactions
255 Replies
31K Views
Far-right French presidential candidate Marine Le Pen has announced that she will step down as leader of her National The move comes just a day after she reached the second round of the French...
2 Reactions
1 Replies
651 Views
(Zoezi la kuwahamisha Raia wa Marekani Korea ya Kusini litafanyika mwezi June, katika kuwa Tahadhali kwa Tukio lolote litakalotokea katika Peninsula ya Korea) U.S. forces in South Korea are...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Chuo kikuu kimoja nchini Korea Kaskazini kimesema raia wa Marekani aliyekamatwa na kuzuiliwa na maafisa wa nchi hiyo Jumamosi alikuwa mhadhiri katika chuo hicho. Wamesema jina lake ni Kim...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Korea kaskazini inaaminika kumiliki zaidi ya silaha 1000 zenye uwezo tofauti ikiwemo kombora la maasafa marefu ambalo linaweza kuishambulia Marekani. Mpango wa Pyongyang umeendelea katika miongo...
3 Reactions
45 Replies
8K Views
Back
Top Bottom