Hi everybody,
How are you?
I want to buy a best drone with HD camera, powerful battery, powerful motor etc.
My one friend told me about a site for best drone.
The site is: 10 Best - Top rated...
C & P
Submarine ya Marekani iliyoingia rasi ya Korea leo tayari kabisa kwa vita endapo itatokea...., Ina urefu wa mita 170 zaidi ya urefu wa uwanja wa mpira wa miguu, ni manuari ya kwanza duniani...
Jeshi la maji la Iran mwishoni mwa wiki hii lilikabidhiwa makombora ya cruise missiles yenye uwezo mkubwa wa kutungua manowari. Makombora hayo yanauwezo wa kuzipoteza rada maboya ili zisijue kuwa...
Chama cha Labor nchini Uingereza chaapa kufutilia mbali mpango wa Brexit kikishinda uchaguzi.
======
Britain's largest opposition party has vowed to guarantee EU citizens rights if elected to...
france24France 24 Mobile – International News 24/7
France must stay 'committed to peace', says slain policeman's partner
Latest update : 25/04/2017
Article text by FRANCE 24
Etienne Cardiles...
Nyambizi ya jeshi la Marekani imewasili katika pwani ya Korea Kusini huku wasiwasi ukiongezeka kuhusu uwezekano wa Korea Kaskazini kufanya jaribio jingine la kombora au silaha za nyuklia.
Meli...
Serikali nchini India yaizuia mitandao ya Twitter, Facebook na WhatsApp katika jimbo la Kashmir kwa muda wa mwezi 1 ili kurejesha hali ya usalama.
Hii ni kutokana na vurugu zilizozuka baada ya...
Rais wa Zamani wa USA Barack Obama amekubali ombi la Taasisi ya Cantor Fitzgerald LP ya kumpa Dola Laki 4 (USD400,000) ili atoe speech kwenye HealthCare Conference mwezi September mwaka huu...
Taarifa zilizotufikia Hivi punde ni kua japo Leo kulikua na maadhimisho makubwa ya kumbukumbu Za kuanzishwa kwa jeshi la Korea ya kaskazini hawajafanya jaribio lolote la silaha. Kama ilivozoeleka...
Marekani inazidi kusaka jitihada za kimataifa za majadiliano ya kidiplomasia kuhusu Korea kaskazini, Rais Trump anakutana na wajumbe wa baraza la seneti baadae leo mjini capitol hill katika...
Korea Kusini imesema wanajeshi wa Marekani wameanza kujenga mtambo wa kisasa wa kuzuia makombora katika eneo moja kusini mwa nchi hiyo.
Mtambo huo wa kujilinda dhidi ya makombora, ambao...
Wadau nilikuwa naangalia aljazera huko Korea naona kuna maandamano ya wananchi kupinga uwepo wa marekani kuweka base yake kijeshi ili kujiandaa na vita na Korea kaskazini.
WAKATI huo huo...
Haki miliki ya picha na AFP
Korea Kaskazini iko tayari kuzamisha meli ya kubeba ndege ya Marekani inayoelekea rasi ya Korea, kwa mjibu wa vyombo vya habari vya Korea Kaskazini.
Taarifa katika...
Marekani imechukua hatua isiyo ya kawaida na kuwaita Maseneta wote kwa kikao cha kupashwa habari kuhusu Korea Kaskazini katika ikulu ya White House.
Washington imeendelea kueleza wasiwasi wake...
Habarini ndugu wana JF,
Mwanamke mmoja Ufaransa "amefufuliwa" na Afisa mmoja wa polisi ambaye alimfanyia matibabu ya dharura kwa jina CPR saa moja baada ya Maafisa wa Afya kusema amefariki...
Rais wa Marekani Donald John Trump amesema baraza la usalama la umoja wa mataifa liweke vikwazo zaidi kwa nchi ya Korea kaskazini, Rais Trump ameyasema hayo jana jumatatu baada ya kukutana na...
Wakuu,
Mkiangalia news output nyingi, wanaonesha Donald Trump yupo mbele ya Bush kwenye primaries za kugombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republican. Lakini huyo tajiri alimuibia kiwanja...
Salaam wana JF
Serikali ya China imezidi kuliimarisha jeshi lake la majini baada ya kuzindua meli mpya aina ya 001A lakini bado haijapewa jina maalumu,melivita hiyo itakayokuwa na uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.