International Forum

News and Stories from rest of the World
Karibu JPM. Sisi huwa tunapima utendaji wa ulichosema. Tumekupokea hadi ukasema really tunakupenda. Sisi hatuna kinyongo. Ndio maana mbunge na meya (wote upinzani) wamekupokea.Tumesambaa tz nzima...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Akiongea na kituo cha CBS trump alisema japokuwa Kim alipata madaraka akiwa na umri mdogo lakini aliweza kupigana na watu wagumu. "Watu wanasema ni mwendawazimu ... Sifahamu hilo lakini alikuwa ni...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametangaza nyongeza ya mshahara wa chini zaidi mfanyakazi anastahili kulipwa kwa asilimia 18 Rais Kenyatta alitangaza hilo wakati wa sherehe za kuadhimisha siku ya...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
'You cannot make decision against the host' One question is vital, Why UN headquarters in New York? Perhaps the question might be easy to answer since it follow prescribed procedures. Does...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
WAKATI Korea Kaskazini ikidai kuwa inaweza kuzamisha meli inayoendeshwa na nguvu za kinyuklia yenye iwezo wa kubeba ndege za kivita, wataalamu wanatazama itakuwaje iwapo vita hii na Marekani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mexico's lower house overwhelmingly passed a bill Friday approving the use of marijuana for medicinal purposes, the latest in a series of legal changes and court rulings that have somewhat relaxed...
0 Reactions
0 Replies
477 Views
Wikiendi imeisha vibaya kwa wenzetu! Jumapili ya jana, takribani watu 14 wameripotiwa kufariki baada ya kutokea mafuriko makubwa yaliyosababishwa na gharika katika eneo la Canton huko Texas...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Sasa vita hakuna tena; baada ya Putin kuonesha wazi yupo upande wa Mapanki lazima Trump arudishe jeshi lake.... WATCH: Russia claims it can WIPE OUT US Navy with ‘ELECTRONIC bomb’ amid WW3 fears...
7 Reactions
112 Replies
17K Views
Rais wa Syria Bashar al-Assad amesema kwamba nchi yake ipo kwenye mazungumzo na Urusi kuhusu ununuzi wa mitambo mipya na ya kisasa zaid ya kulinda anga. Assad anasema kwamba ununuzi wa mitambo...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Hospitali moja nchini India ambapo mwanamke wa Misri anayeaminika kuwa na uzito mkubwa zaidi inasema mama huyo amepunguza nusu ya uzani wake kutoka kilo zaidi ya 500 hadi kilo 270. Familia ya...
6 Reactions
17 Replies
5K Views
Nimekuja kwenye mji wa wagumu! Najua hamnipendi ila Mimi ndio raisi wenu!!
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Meli zilizobeba ndege Za kivita za marekani zawasili pwani ya korea ya kaskazini Huku Japan na Korea ya kusini zikiunga mkono marekani. Kwa upande kwa Korea ya kaskazini imesema ipo tayar kujibu...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Kombora jingine la Korea Kaskazini lafeli majaribio - BBC Swahili
1 Reactions
36 Replies
7K Views
Source: The Times of Israel Karibuni jamvini.
4 Reactions
171 Replies
13K Views
Rais wa Marekani Donald Trump ameaonya kwa mara nyengine kwamba mzozo mkubwa utaibuka na Korea Kaskazini kuhusu mpango wake wa kinyuklia na ule wa kutengeza makombora. Katika mahojiano na chombo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
North Korea ni Nchi ndogo sana kwa Marekani, Tukianza na Umbo hadi Teknolojia! Yaani huwezi amini mabomu wanayoyafanyia majaribio leo N. Korea wenzao marekani waliwarushiaga Japan mwaka...
19 Reactions
253 Replies
32K Views
Hii ni kauli iliyotoka kwa Jumuia ya Vijana wa North korea (North Korean Youth League) kwa mujibu wa gazeti la The Sun la Uingereza. Kauli kutoka kwa Umoja huo inasema watawafuta maadui wao wote...
3 Reactions
59 Replies
8K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa akizungumza kuhusu maisha ya awali kabla ya kuwa rais na kueleza jinsi wajibu wake huo mpya katika Ikulu ya White House ni ngumu. Trump alisema aliyapenda...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
vyombo vya magharibi vimeripoti kwa mara nyingine tena kuwa korea ya kaskazini imefanya jaribio la kurusha kombora la masafa marefu lakini jaribio hilo limefeli. na hii ni kwa mara ya nne...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maafisa wa Marekani na Korea Kusini wamesema jaribio la kombola la korea Kaskazini limefeli kwani kombola hilo lilianguka punde tu mara baada ya kupaa angani.Maafisa wa Marekani wamesema kombora...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom