Kwa muda mrefu kidogo,vyombo mbalimbali vya habari vimekua vikidai kwamba Israeli imekua ikitumia ndege vita zake mpya aina ya F35I Adir kwenye mapambano mbalimbali kabla ya kuhalarishwa rasmi na...
Wakuu.
Kwakuwa, siwezi kucomment kwenye Uzi wa Siasa za USA naomba wazee wangu
Cc Mag3 na Nguruvi
Mnisaidie hapa, Mara ya kwanza Potus alidanganya kuhusu Sweden kuna maafa, tena juzi...
Ndege vita za Israel zimeshambulia jeshi la Syria kwa kurusha makombora mawili kutoka eneo la Golan.
Tukio hilo lilitokea katika mkoa wa Quneitra ambapo makombora hayo yalirushwa toka kwenye...
Monday, April 24, 2017
Uganda delays oil, minerals production over disputes
President Museveni speaks to delegates on Saturday afternoon the 6th edition of Tana high-level Forum on Security...
VITA SIYO ENTERTAINMENT!
Na; Noel C Shao
Team #USA na Team #Nkorea, ndivyo wengi mnavyo jenga fikra zenu. Mkidhani vita ni sawa na mchezo wa soka ambao ukianza utamalizika baada ya dk 90, au 120...
North Korea reiterated its vow to launch "full-out war" with nuclear weapons on Saturday as an American naval strike carrier was set to arrive off the tense Korean peninsula in a matter of days...
Kwa Mara nyingine tena Israel imefanya mashambuliz ya anga ndani ya Syria kwenye eneo la Quneitra.
Inadaiwa wanajeshi watatu wamekufa kwenye shambuliz hilo.
Mgombea urais nchini Ufaransa Emmanuel Macron ameshinda duru ya kwanza ya uchaguzi wa nchi hiyo, huku dalili zikionyesha, baada ya wiki mbili atapambana katika duru ya pili na Marine le Pen ambae...
Kijana mmoja nchini Zimbabwe kwa jina la Farai aliefunga ndoa na mama yake mzazi, ameamua kuachana nae baada ya kugundua mama yake huyo (mke) kutumia nguvu za giza na kwenye chakula hili kijana...
AFRIKA KUSINI: Makamu wa Rais, Cyril Ramaphosa ametaka Rais Zuma na familia ya Gupta kwa ujumla wachunguzwe kwa tuhuma za ufisadi.
Kiongozi huyo ametaka Kamieshi ya Kimahakama ichunguze kwakuwa...
Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ameitisha kurejelewa kwa mazungumzo kati ya serikali na upinzani nchini humo.
Kadhalika, amesema kwamba anataka uchaguzi wa majimbo ufanyike.
Amesema hayo baada...
Mkwala wa urusi ambao Marekani ameshindwa hata kuusemea wala kuujibu ni mzito usipime!
Kamwambia kitu cha kileo ni "electronic bomb" na ana uwezo wa ku-jam meli zake zote, ndege na missile system...
MAREKANI: Mahakama imemhukumu kwenda jela Roman Seleznev ambaye ni Mdukuzi na Mtoto wa Mbunge wa Urusi, kwa makosa ya kimtandao.
Kijana huyo alipatikana na hatia ya kudukua zaidi ya akaunti za...
Awali ya yote nimpongeze Trump kwa msimamo wake dhidi ya wageni yaani wale wote walioingia nchini Marekani kama wahamiaji wakitokea nchi nyingine, huku wengine wakiwa na Lengo LA kutafuta maisha...
Korea Kaskazini iko tayari kuzamisha meli ya kubeba ndege
ya Marekani inayoelekea rasi ya
Korea, kwa mjibu wa vyombo vya habari vya Korea Kaskazini. Taarifa katika gazeti la Rodong Sinmun lilisema...
"The time of dictating orders by
brandishing the US military might has
gone".
"If those businessmen in power in the US
thought of intimidating us by any military
or sanction threats - as the...
Ndugu zangu hasa wale wachambuzi wa maswala ya kivita naombeni msaada wa maelezo nini kinaendelea katika sakata hili. Sababu inayowagombanisha ni nini, mchokozi nani. Je hiyo vita ni ya Marekani...
Wanajeshi wamesambazwa katika viunga vya mji wa Juba kufuatia wananchi kuingia Barabarani kupinga hali mbaya ya uchumi nchini humo. Katika kipindi cha mwaka mmoja Pound ya Sudan Kusini imeshuka...
U.S. Surgeon General Vivek Murthy was removed from his post by the Trump administration and has been replaced temporarily by his deputy.
Murthy, an appointee of former President Obama, announced...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.