International Forum

News and Stories from rest of the World
Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Kgalema Motlanthe, anasema kuwa hana uhakika iwapo atakiunga mkono chama tawala cha African National Congress-ANC, kinachoongozwa na Jacob Zuma, katika uchaguzi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Chama kikuu cha upinzani cha Democratic Alliance (DA) cha Afrika ya Kusini kiliwasilisha bungeni maombi ya kuitishwa kwa bunge la dharura ili kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais Jacob Zuma...
0 Reactions
2 Replies
785 Views
Urusi imedai kuwa, ina uwezo wa kuvifanya vifaa vya kijeshi vya majini vya Marekani visiweze kufanya chochote kwa kutumia signal kali sana za kielektroniki. Taarifa kutoka nchi hiyo zinasema...
11 Reactions
105 Replies
15K Views
Rais wa Cameroon, Paul Biya ametoa agizo la kusitishwa kwa uzimwaji wa mtandao(Internet) katika maeneo yanayozungumza kiingereza. Uzimwaji wa Internet katika maeneo hayo umedumu kwa miezi mitatu...
0 Reactions
2 Replies
936 Views
China imesema kuwa ina waswasi mkubwa kuhusu mpango wa nyuklia wa Korea Kaskazini ,kufuatia mahojiano ya afisa mmoja wa taifa hilo na BBC. Naibu wa waziri wa mambo ya nje wa Korea Kaskazini...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa nijuavyo mm marekani hanaga utani na mtu anaetaka kumshambulia tena kuishambulia Pentagon Yani ukionyesha tu dalili za kuleta uchoko lazima akufate akusambaratishe Anachoshindwa kwa North...
21 Reactions
236 Replies
38K Views
Why is Russia so good at encouraging women into tech? Irina Khoroshko, from Zelenograd near Moscow, had learned her times tables by the age of five. Her precocious talent, encouraged by a...
0 Reactions
1 Replies
652 Views
Washington (CNN)US authorities have prepared charges to seek the arrest of WikiLeaks founder Julian Assange, US officials familiar with the matter tell CNN. The Justice Department investigation...
3 Reactions
3 Replies
852 Views
Kipindi cha utawala wa kim Jong Il baba yake huyu kim Jong un na kaka yake mkubwa kim jong Nam na shemeji yake Jang Song Thaek,huyu bwana Kim Il alianza kuuwa wale watu waliokuwa katika utawala...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Canada inatarajia kuhalalisha matumizi ya bange kwa raia wenye umri zaidi ya miaka 18. Polisi wametumia zaidi ya trillion 5 kupambana na uuzwaji haramu wa bangI bila mafanikio. Sharia hii...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukisikia kulewa sifa basi huyu jamaa ni moja ya mifano bora kabisa! Mafanikio yake yalimlevya kiasi cha kudhani unyanyasaji wake dhidi ya wanawake hautakuja ku catch up with him. Too bad and too...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wana jamvi? Naomba kuuliza kwa wanaofahamu na kujua sababu, ni kwa nii noti za USD hasa za noti ya dola 100, ambazo zinamwaka chini ya 2006 inakua ni ngumu/haiwezekani kabisa kuzibadilisha...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wana jamvi kama nilivoeleza japo juu naomba kwa mwenye ile speech.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rex Tillerson ameituhumu Iran kwa kufanya "uchokozi wa hali ya juu" unaoendelea ambao amesema unanuia kuvuruga uthabiti katika Mashariki ya Kati na kuhujumu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nigeria's foreign spy chief Ayo Oke has been suspended after anti-corruption officers found more than $43m (£34m) in a flat in the main city, Lagos, the president's office has said. Muhammadu...
0 Reactions
5 Replies
959 Views
Ghasia na kufyatua risasi kulijitokeza baada ya mamia ya raia wa Venezuela walipoandamana mitaani wengine wakimuunga mkono rais Nicolas Maduro na wengine wakiipinga serikali. Polisi wa kuzuia...
0 Reactions
1 Replies
811 Views
North Korea anaweza kuwa na kila silaha. Lakini nnauhakika hana maarifa ya kijasusi ya kusimamia vita akashinda. No wonder hata juzi msemaji wao wa mambo ya nje akaanza mikwara bubu. Hizo kelele...
17 Reactions
83 Replies
6K Views
Viongozi wawili wa vyama vya upinzani nchini Zimbabwe wamekubaliana kuunda umoja kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu ujao nchini humo. Kiongozi wa Movement for Democratic, Morgan Tsvangirai na...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Poll: Most say Ivanka, Jared's White House roles are inappropriate By Betsy Klein and Kate Bennett, CNN Updated 7:27 PM ET, Wed April 19, 2017 (CNN)Fewer voters have unfavorable opinions of...
1 Reactions
2 Replies
509 Views
Heshima kwenu wakuu. Fita ni fita mura.. makamu wa rais wa marekani yuko ziarani katika nchi 4 zikiwepo south korea, japan, indonesia.. wachambuzi wanasema ziara yake inalenga kuweka mambo sawa...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Back
Top Bottom