International Forum

News and Stories from rest of the World
Ndege hatari na mpya zilizotengenezewa kwa teknolojia ya hali ya juu za F-35 Stealth Fighter Jets tayari zimeruka kutoka jimbo la Utah lililopo magharibi mwa nchi ya Marekani na kutua UK tayari...
9 Reactions
215 Replies
28K Views
Fox News U.S. Home Video Politics U.S. Opinion Business Entertainment Tech Science Health Travel Lifestyle World On Air ALASKA Russian bombers fly near Alaska; Air Force scrambles jets By...
0 Reactions
3 Replies
987 Views
KIM JONG-UN AONESHA MAKOMBORA MAPYA KATIKA GWARIDE LA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA BABU YAKE, KIM IL SUNG Katika kile kinachoonekana kuwa Kiongozi wa Korea Kaskazini, KIM JONG UN, haogopi chochote na...
3 Reactions
54 Replies
7K Views
Wataalamu wa FIZIKIA na IT tupeni maelezo juu ya hii quantum technology. Source: www.nknews.org
1 Reactions
156 Replies
13K Views
Rejea Habari hapo juu muda mnaopoteza kupost post nyuzi za vita vita ebu Kila mtu ajishugulishe na shuguli itayo mwingizia japo 500. Na hasa nyie muanojiita team korea. Yenu yanawashinda
1 Reactions
6 Replies
888 Views
Marekani ina jumla ya Military Bases (Camp) katika nchi 150 Duniani lote. Imesambaza wanajeshi duniani kote katika camp hizo bila kusahau Silaha na Majasusi. US wameizunguka dunia kona zote...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu unajua ukweli ni kuwa kuna peace angels wanaoshikilia pepo nne za dunia kuendelea kuwa salama ili war mongers wasiiteketeze dunia, Trump siku ya jana wakati wa pasaka huko white House...
0 Reactions
2 Replies
875 Views
Wakuu unajua ukweli ni kuwa kuna peace angels wanaoshikilia pepo nne za dunia kuendelea kuwa salama ili war mongers wasiiteketeze dunia, Trump siku ya jana wakati wa pasaka huko white House...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Kupitia taarifa ya habari ya Channel ten ya saa moja imetolewa taarifa kuwa Waziri Mkuu wa Ethiopia amepinga wachunguzi wa kimataifa kuingia nchini mwake kwaajiri ya kuchunguza vifo vya watu zaidi...
0 Reactions
3 Replies
845 Views
Raisi Erdogan akiwa na mkewe baada ya upigaji kura ya maoni. Raisi Recep Tayyip Erdogan siku ya jumapili alishinda kura ya maoni ambayo aliiitisha ili kuomba ridhaa ya wananchi wa Uturuki...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mahakama ya Juu katika jimbo la Arkansas nchini Marekani imetoa agizo la kuzuia kuuawa kwa wafungwa wawili kati ya wanane ambao wamepangiwa kuuawa kabla ya mwisho wa mwezi huu. Mawakili wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukafuatilia matukio, mijadala na ujumbe katika mitandao ya kijamii, unaweza kudhani Vita Vikuu vya Tatu vya Dunia vinakaribia. Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wajuzi wa mambo mm n mtoto wa juzi tuu hapa 1994 naomba kujuzwa nn hasa chanzo cha kutoelewana baina ya Korea kusini na kaskazini na uhasama huu ulianza lini? NOTE: Kama hujisikii kujibu kaa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
At least 26 people died on Tuesday when their bus plunged into a deep ravine in a northern Philippine mountain town, in one of the country's deadliest road accidents in years, officials said. The...
0 Reactions
0 Replies
473 Views
Korea Kaskazini itaendelea kufanya majaribio ya makombora yake, Afisa wa juu nchini humo ameiambia BBC mjini Pyongyang, ingawa jamii ya kimataifa imekuwa ikikemea majaribio hayo. ''Tutatekeleza...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Ndugu zangu wanajf Ninafuatilia kwa ukaribu vita inayoonekana kuendelea duniani ikipewa jina la vita dhidi ya Ugaidi.Sasa naona South Korea nayo ipo njiani kuchafuliwa na marekani!Balaa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika hali ambayo haikutegemewa Trump kampongeza kwa kushinda kwenye referendum iliyofanyika juzi. Hili halikutegemewa. Nadhani hii vita yake ya maneno na NK imechangia yeye kuwa mpole...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa UN, Guterres amemteua Vera Songwe kuwa Katibu Mkuu wa Tume ya Uchumi Afrika (ECA) ni mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo. Mwanamke huyo aliwahi kufanya kazi katika Taasisi ya...
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Huyu dogo sio mchezo, amejiandaa, yaani kama Trump anajiamini na kulianzisha basi ategemee dunia haitabaki tuionavyo. Kwanza Kim keshasema vita vikianza atatumia kila aina ya silaha aliyonayo na...
25 Reactions
295 Replies
49K Views
Back
Top Bottom