International Forum

News and Stories from rest of the World
wakuu nimekuwa nikisia chokochoko na vitisho mbalimbali baina ya USA na North korea kwa muda sasa kwa sasa hali imekuwa mbaya na tofauti kitu inayoleta hofu ya dunia nzima kuangukia vita ya tatu...
2 Reactions
40 Replies
8K Views
Ethiopia imepuuza pendekezo la Umoja wa mataifa na Muungano wa EU wa kutaka wachunguzi wa kimataifa kuingia nchini humo na kuchunguza vifo vya mamia ya watu wanaodaiwa kuuwawa kufuatia miezi...
0 Reactions
8 Replies
879 Views
#UpdatesKimataifa Urusi tayari imesogea kwenye Mpaka wake na Korea kaskazini na kufunga silaha Nzito za kutungua Ndege Pamoja na kudaka Makombora Ya Marekani Dhidi ya Korea kaskazini. Urusi...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Mwanamume mwenye umri wa miaka 67 alinusurika kifo kwa kushikilia mfuko wa unga wa mahindi baada ya mashua aliyokuwa ameiabiri kuzama katika ziwa Malawi. Graciam Kondowe alikuwa miongoni mwa...
0 Reactions
1 Replies
754 Views
Mzozo wa N.Korea na Marekani unaonekana na kama ni kitu cha kawaida sana na kuna baadhi ya watu wanashabikia kama mpira wa miguu Man U na Chelsea lakini sivyo. Mzozo huu ambao sababu yake kubwa ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu heri ya pasaka kwenu Hii habari ya majasusi wa USA, majasusi hawa wa America wenye Asili ya korea wamejipenyeza ndani ya korea kaskazi kuanzia December mwaka jana Na kwa taarifa...
10 Reactions
78 Replies
8K Views
Siku 2 baada ya kupigwa kura ya maoni ya kuongeza mamlaka ya Rais Tayyip Erdogan na kushinda kwa 51.4%, upinzani umeendeea kupinga matokeo hayo. ========= A defiant Turkish President Tayyip...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
One dead, two injured after military chopper crashes in Maryland By JEFFREY COOK LUIS MARTINEZ ERIN DOOLEY A military helicopter crashed on a golf course, April 17, 2017, in Leonardtown, Md. more...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ili tujue hatima ya Dunia yetu inayo onekana kusukwa sukwa na Supa pawa mbili us na N Korea. Ni vema Angetafutwa mnyama. Kakakuona ili tupate ufumbuzi juu ya hali hii duniani Maana yule mnyama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu habari moja kwa moja niende kwenye hoja. mimi kwa mtazamo wangu nimeamua kusimama upande wa wasiofungamana na upande wowote baina ya korea na marekani sababu zilizopelekea msimamo wangu ni...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Haya ni maneno ya waziri wa mambo ya nje wa Korea Kaskazini alipokuwa akihojiwa na BBC. "We'll be conducting more missile tests on a weekly, monthly and yearly basis," Vice-Foreign Minister Han...
0 Reactions
3 Replies
993 Views
Serikali ya Zimbabwe imeruhusu wazazi kulipa ada kwa mifugo au kwa kufanya kazi ktk shule husika kama malipo. Waziri wa Elimu ya Msingi na Sekondari, Dr. Lazarus Dokora amesema kwamba mamlaka za...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Marekani wanauwezo mkubwa wa kuishambulia Machame kuliko Saa ya ufufuo na Uzima inapoanza kwa utaratibu wa jinsi navyochukia ninavyoacha ile hamsini kwenye dirisha la malipo ya mwendokasi, Kwa...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Sina maelezo mengi zama kwa hizo luninga.....
5 Reactions
82 Replies
11K Views
Pamoja na Mikwara yote inayoendelea mipango ya Trump kufanya ambacho wenzake wameshindwa inakutana na Ukomo mapema sana. ZIFUATAZO NDIO NJIA ZA AWALI KABLA YA VITA 1:Vikwazo vikali vipya vya...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Nani anaukumbuka hii Tripple alliance : Germany, Austria -Hangury, Italy Vs Tripple entente : Great Britain, Russia, France Now days mzungu Russia kasaliti wenzake Now it's...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
North Korea attempted to launch a missile on Sunday near Sinpo, on its east coast, but it is believed to have failed, South Korea's military said. The attempted missile launch comes a day after...
7 Reactions
97 Replies
11K Views
MIT expert claims latest chemical weapons attack in Syria was staged
0 Reactions
3 Replies
692 Views
Back
Top Bottom