International Forum

News and Stories from rest of the World
Ukafuatilia matukio, mijadala na ujumbe katika mitandao ya kijamii, unaweza kudhani Vita Vikuu vya Tatu vya Dunia vinakaribia. Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakati wa utawala wa G.W Bush, joint American-Israel experts walikaa waka-design "kirusi"-(Malicious Computer Worm). Kirusi hiki kina uwezo wa kushambulia mifumo mikubwa ya Viwandani (Industrial...
4 Reactions
52 Replies
6K Views
Maofisa wa korea kusini wamedai kuwa korea kaskazini wamedukua mfumo wa GPS maeneo ya mpakani na kudai kuathiri ndege 110 pamoja na meli na pia inawezesha kusababisha simu za mkononi kutofanya...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
KABUL, Afghanistan — A day after a lethal Taliban assault on an Army base in northern Afghanistan, an official said on Saturday that at least 140 soldiers had been killed, making it the single...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo ndio siku ile tuliokuwa tunaisubiri-kushuhudia maadhimisho ya siku ya Jua huko North korea. Ambapo siku hii taifa la North korea huadhimisha sherehe hizo kwa ku test makombola yake ya masafa...
13 Reactions
133 Replies
18K Views
S-400 ni silaha bora sana ya Kutungulia ndege duniani na makombora hayo yanatengenezwa na Urusi. Leo Urusi imeyaweka makombora hayo tayari kwa vita katika jiji la Moscow. Nchi ya Syria imepewa...
14 Reactions
92 Replies
59K Views
Takriban watoto 19 wamefariki katika ajali ya barabarani katika mkoa wa Mpumulunga nchini Afrika Kusini kaskazini mwa mji mkuu wa Pretoria. Kulingana na chombo cha habari cha Reuters, basi dogo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Majeshi ya korea ya kusini na ya USA yazidi kufanya mazoezi ya Kivita na hali yazidi kuwa tete maneno ya kurushiana baina ya pande zote mbili Kati ya USA na North Korea Huku ndege 100 kutoka...
5 Reactions
16 Replies
3K Views
N. Korea threatens to ‘reduce US to ashes’ with ‘super-mighty pre-emptive strike’ Published time: 20 Apr, 2017 13:37Edited time: 20 Apr, 2017 16:05 Pyongyang, April 15, 2017 © Damir Sagolj /...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Rais Kim Jong Un wa Korea Kaskazini Amemuapisha Mwanae Wa Kiume Kim Lau Jong Un II Mwenye Umri Wa Miaka 9 Kuwa Luteni Wa Jeshi La Nchi Hiyo Yakiwa Ni Maandalizi Ya Kumuandaa Kijeshi Mtoto Huyo Ili...
8 Reactions
42 Replies
18K Views
Leo nilimkumbuka shujaa wa nchi ya Kongo DRC,Patrice Lumumba nikaamua kuirudia kuisoma barua yake ambaye alimwandikia mke wake Pauline na watoto wake muda mchache kabla hajauwawa mwaka 1960.Ni...
9 Reactions
19 Replies
3K Views
Rais wa Syria Bashar-al Assad, anasema kuwa ripoti za shambulizi la silaha za kemikali lililofanywa na jeshi lake lilikuwa ni uwongo kwa asilimia mia moja. Katika mahojiano ya kipekeke na kituo...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
(CNN) The United States launched a military strike on Syrian government target in retaliation for their chemical weapon attack on civilians earlier in the week, CNN is told. On President Donald...
6 Reactions
422 Replies
28K Views
Korea Kaskazini inaaminika kumiliki silaha 1000 zaidi zenye uwezo tofautitofauti Korea kaskazini inaaminika kumiliki zaidi ya silaha 1000 zenye uwezo tofauti ikiwemo kombora la maasafa marefu...
7 Reactions
22 Replies
5K Views
Sean Spicer ametamka wazi kuwa maandalizi ya mwisho yapo tayari kuivamia North Korea. Huyu ni mkuu wa kitengo cha mawasiliano cha White House mjini Washington anafanya press conference muda huu...
2 Reactions
124 Replies
12K Views
Russia's Supreme Court has accepted the government's request to designate Jehovah's Witnesses as an outlawed religious group, deeming it to be an extremist organisation. The justice ministry...
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Rais wa Iran Hassan Rouhani na mwanasiasa mwenye msimamo mkali Ebrahim Raisi wameidhinishwa kuwania uchaguzi wa urais mwezi ujao nchini humo, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Rais wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
AFRIKA KUSINI: Watoto 20 wamefariki baada ya daladala waliyokuwamo kugongana na lori eneo moja karibia mji mkuu wa nchi hiyo, Pretoria. ======== 20 children killed in bus crash in South Africa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mgongano wa kauli unaendelea kwenye benchi la Trump. Zile meli ambazo mwanzoni inasemekana zilikuwa zinaelekea North korea na kuja kusemekana juzi kuwa zilikuwa zinapita zina safari zake, Habari...
2 Reactions
80 Replies
12K Views
Waendesha mashtaka katika jimbo la Kaduna Kaskazini mwa Nigeria wamelimelishtaki kundi moja la watu 53 kwa kufanya njama za kutaka kusherehekea harusi ya watu wa jinsia moja. Washukiwa...
0 Reactions
1 Replies
750 Views
Back
Top Bottom