Leo Ijumaa tarehe 22 Bahman, sawa na tarehe 10 Februari, wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanaadhimisha sherehe za miaka 38 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchi hapa.
Katika sherehe...
Leo hii Mzungu, Mjapani, au hata Mchina na Mkorea ukimpa nafasi ya kuongoza Tanzania hataruhusu demokrasia!
Jambo la kwanza kabisa atakalo lifanya ni kusitisha kila kitu na kuongoza nchi kwa...
Isis kwisha hakuna tena matukio ya Isis, Libya maendeleo mazuri tu, Somalia wamefanya Uchaguzi kwa mara ya kwanza na kupata Raisi mpya kila mtu anafurahia maendeleo mazuri ya Somalia, Boko Haramu...
Breaking News!
A federal appeals court refused Thursday to reinstate President Donald Trump's ban on travelers from seven predominantly Muslim nations, dealing another legal setback to the new...
Hiyo inafuatia ukame uliokithiri nchini humo kwa zaidi ya nusu mwaka, huku majimbo 23 kati ya 47 ya nchi hiyo kukumbwa na baa la njaa.
Kumeshuhudiwa uhaba mkubwa wa chakula hasa katika maeneo ya...
Trump furious after court upholds block on travel ban
By Ariane de Vogue and Laura Jarrett, CNN
Updated 0834 GMT (1634 HKT) February 10, 2017
[paste:font size="5"]
More than one...
This is how fear drives us to keep Kenyans off reality and at bay of what just a slight move of the tongue is enough to pull out the suspense. It is quite ridiculous that even the government still...
Siku ya jumatatu Kremlin walitoa taarifa rasmi kupingana na kauli ya Rais wa US Donald Trump aliyoitoa hivi karibuni kuhusiana na Iran kwamba ni nchi namba 1 duniani kwa ugaidi...
Cocaine worth up to to £50m has been washed up on beaches in Norfolk, the National Crime Agency says.
About 360kg (793lbs) of cocaine that has washed up on Hopton beach, near Great Yarmouth and a...
Makubaliano baina ya wanasheria wa chama cha Republican na Democrat wanamtaka Rais Donald Trump awawekee vikwazo Venezuela haraka iwezekanavyo kutokana na ukiukwaji wa haki za binaadamu...
Wahudumu wa afya nchini Rwanda wameonywa kutokuingia tena kazini na simu za mkononi kuanzia tarehe mosi mwezi Machi.
Waziri wa Afya Dkt Diane Gashumba amesema kuwa hatua hiyo inalenga kuinua...
Gazeti moja la Israel limemnukuu raisi Donald Trump wa Marekani akisema kuwa yeye anaamini kwamba ujenzi wa Nyumba za Walowezi settlements)unaofanywa na Walowezi wa Kiisrael katika ardhi za...
Kwa akali Wapalestina wawili wameuawa shahidi huku wengine zaidi ya watano wakijeruhiwa baada ya ndege ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutekeleza hujuma ya anga katika mji wa Rafah...
Conway clashes with CNN's Jake Tapper on air
By Aidan Quigley
02/07/17 04:41 PM EST
Updated 02/07/17 05:47 PM EST
Share on Facebook Share on Twitter
Kellyanne Conway, a top aide to President...
Mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Urusi yamewaua kwa bahati mbaya wanajeshi 3 wa Uturuki na kuwajeruhi wengine 11 kaskazini mwa Syria,Waziri wa ulinzi wa Urusi amethibitisha.
Ndege ya kivita...
Serikali mpya nchini Ghana inayatafuta magari 200 yaliyokuwa yakitumiwa na afisi ya rais ambayo yanadaiwa kutoweka, msemaji wa rais amesema.
Chama tawala kilihesabu magari hayo mwezi mmoja kabla...
Rais wa zamani wa Tunisia, Zine el Abidine Ben Ali afungwa miaka 10 jela baada ya Mahakama kumpata na hatia ya kula rushwa.
Kiongozi huyo aliyekibilia uhamishoni nchini Saudi Arabia baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.