Mwaka 2015 mwanaharakati na mpinzani wa utawala wa Putin kwa jina la Vladimir Kara-Murza (35yrs) alipata matatizo ya viungo vyake kufeli na kwa bahati nzuri aliweza kupona na kuishi baada ya kuwa...
Picha za satellite zimeonyesha siku ya jana Iran wamefanya jaribio la kurusha makombora kwa mujibu wa maofisa wa US
Siku ya jana jumatano Iran walirusha kombora la masafa mafupi ambayo imekwenda...
Mahakama ya Rufaa nchini Marekani imekataa kuirudisha tena marufuku iliyowekwa na Rais Donald Trump ya wasafiri kutoka nchi saba za kiislamu na Wakimbizi wote kuingia nchini humo.
Jopo la Majaji...
Baada ya muendelezo wa kauli na Matendo yanayoashiria kumpinga bwana Trump.
Kikosi cha ulinzi cha viongozi marekani ama secret service kimeamua kumuwekea ulinzi ambao utamlinda rais na kuvunjika...
Kushindwa kwa rais Buhari wa Nigeria kubaini muda anaotaka kuongezewa ili kuendelea na likizo yake ya matibabu mjini London inawatia wasiwasi raia wa taifa hilo.
Kumekuwa na uvumi kuhusu afya ya...
Viongozi wa chama cha Democratic nchini Marekani wamemshutumu Rais wa Marekani Donald Trump kuandika kwenye Twitter akishutumu maduka ya jumla ya Nordstrom kwa kuacha kuuza nguo za kampuni...
Wiki tatu zilizopita alikuwa raisi wa USA huyu, Obama sasa hivi amekimbilia Visiwa vya Karibiani huko, yuko na Bilionea Richard Branson ambaye ndiye mmiliki wa hicho Kisiwa Obama alichokimbialia...
Mjadala mkali unaendelea sasa hivi nchini Afrika ya Kusini; Bunge la South Africa linapiga kura ya kutokuwa na imani na rais Jocob Zuma.
Waweza fuatilia kupitia SABC NEWS; SUPER SPORT CHANEL 404.
Machete attacker shouting 'Allahu akbar' shot by soldier near Le Louvre
Police launch terror probe after machete attack on soldiers at Louvre
Machete-wielding 'terrorist' shot near Louvre...
Trump awambia Iran wanacheza na moto, na yeye hatakuwa mwema sana kama alivyokuwa Obama.
Iran kupitia waziri wa ulinzi Javaz Zarif yajibu, Pasipo kuendeshwa na Vitisho vya Mmarekani haiwezi...
President Trump's Executive Order on travel ban has been blocked by a Federal Judge as unconstitutional and unlawful.
Judge Robart’s decision, effective immediately, effective now, puts a halt to...
Rais Mugabe mara tu baada ya kurudi kutoka Addis Ababa, ametoa KEMEO kubwa kwa viongozi wa nchi za Kiafrika waliokubali Morroco kukubaliwa kujiunga na Umoja wa nchi za Kiafrika.
Akizungumza na...
Mhubiri mmoja nchini Afrika Kusini amekuwa akiwapa waumia sumu ya kuua panya kama moja ya njia ya kujaribu imani yao.
Light Monyeki, ambaye anaongoza kanisa la Grace Living Hope Ministries mjini...
Jeff session atapitishwa Leo kuwa jaji Mkuu wa USA .Kwa kweli democratic wangekuwa na discipline Na kuacha uwendawazimu wangeweza kumstopisha.Jeff session is a racist na anti immigrant and pro...
Mara baada ya rais wa USA Donald Trump siku ya ijumaa kuwawekea vikwazo 13 kwa makampuni ya Iran kwa tukio la Iran kufanya jaribio la kurusha ballistic missile. siku ya jumamosi Iran walimjibu...
cocaine ina hela nyingi sana na DRC ina kila hali ya kufaa kusitawisha Coca. Ni nchi ya kitropical yenye mvua nyingi, ina misitu mikubwa, imejaa rushwa na haina ulinzi wa kutosha/kueleweka...
Kama kinachodhaniwa kama anguko la thamani ya dola ya Marekani, nchi mbili kubwa ambazo ni Urusi na Uchina zimeingia kwa mkataba au makubaliano na kuitenga sarafu ya Marekani...
URUSI: Mahakama yamkuta na hatia ya Rushwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Alexei Navalny. Hatoruhusiwa kugombea Urais wa Taifa hilo.
- Hii mara ya pili kwa kiongozi huyo kushtakiwa baada ya...
kiongozi wa juu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameyapuuzia tahadhari alizotoa Trump kwa Iran ya kuacha kujaribisha makombora,Khamenei amesema rais wa US amedhihirisha wazi uso kamili wa marekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.