Mwanamke mmoja wa miaka 23 kutoka nchini Afghanistan ameielezea BBC kwamba mumewe alimfunga kamba na kumkata masikio yote mawili katika mzozo wa kinyumbani katika mkoa wa kaskazini wa Balkh...
Such is the world we live in.
Saudi Arabia has been banning muslim immigrants all along yet no one ever dared castigate them. Leo iweje Trump kawagusa dunia nzima imelipuka?
I say.....go on...
umoja wa ulaya wanakutana huko malta kujadili suruhu ya wimbi la wahamiaji kuingia kwenye nchi zao, na ikumbukwe kwa muda
mrefu tu wamekuwa wakisemezana kuhusu suala hilo lakin bado hawajapata...
Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) hapa Tehran amesema kuwa njia pekee ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni ni kuendeleza muqawama na kwamba ishara ya wazi zaidi...
UINGEREZA-
Msichana mwenye umri wa miaka 16 ameishtaki shule yake kwa kumkataza kuvaa sare za wavulana
Msichana huyo ambaye yuko katika harakati za kugeuza maumbile yake ili awe Mwanamume...
Siyo bure, huyu Donald Trump kuna jambo kubwa sana liko nyuma ya pazia ambalo hatulifahamu, sasa Jimbo kubwa na tajiri kabisa klk yote USA limeanza mchakato ya kujitenga na USA, sasa hivi...
Aliyekuwa mfungwa wa kisiasa nchini Gambia Ndg.Amadou Sanneh, mwenye umri wa miaka 72 ameteuliwa kuwa Waziri wa fedha, ikiwa ni siku 3 tu baada ya kuachiliwa huru na Rais Adama Barrow.
Amadou...
Qaddafi was not killed for humanitarian purposes but for the oil and money. His ideas of an African currency were his major undoing.
The recent Hillary Clinton email leaks have opened a can worms...
Rais Duterte amuonya Rais Obama kutohoji kuhusu mauaji yanayotekelezwa na Serikali dhidi ya vigogo wa Madawa ya Kulevya
Amesema kuwa Rais Obama lazima awe na heshima na sio kumuuliza maswali bila...
Waziri wa ulinzi nchini Marekani James Mattis amesema kuwa Korea Kaskazini itakabiliwa vikali iwapo itafanya utumizi wowote wa silaha za kinyuklia .
Bw Mattis yuko nchini Korea Kusini ambapo...
Iran has put on display its latest achievements in the area of space technology during a ceremony attended by President Hassan Rouhani and other senior officials.
The Exhibition of Space...
Mfanyikazi wa zamani wa kampuni ya Royal Mint nchini Canada amepewa hukumu ya miezi 30 jela kwa kuiba sarafu za dhahabu na kuzificha katika makalio yake.
Leston Lawrence alidaiwa kuiba dola...
Kwangu mimi naona mafunzo makuu mawili.
1. Ni Fundisho tunalopewa na aliyekuwa akikaimu uanasheria mkuu kuwa kama mtumishi unayetumia taaluma hutakiwi kufuata kila agizo linalotoka juu yako hata...
Katika kuonyesha kuwa hana utani katika suala la wakimbizi, Trump leo ammemwagia upupu Waziri Mkuu wa Australia ambaye alipendekeza kutekeleza mkataba wa kuwapeleka wakimbizi waliopo Australia...
Lebanon imefanikiwa kuangamiza mtandao wa kigaidi wa shirika la kijasusi la Mossad la utawala wa Kizayuni wa Israel.
Idara Kuu ya Usalama wa Umma Lebanon Alhamisi ilitangaza kuwa imefanikiwa...
Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kutuma vikosi vya jeshi la nchi hiyo nchini Mexico.
Shirika la habari la Associated Press, limevujisha sehemu ya mazungumzo ya simu kati ya Trump na Rais wa...
Kuwait issues its own Trump-esque visa ban for five Muslim-majority countries
Kuwait first placed a blanket ban on new visas for Syrians in 2011, but those already in the country were allowed to...
Habari zilizotufikia hivi punde na kuthibitishwa na vyanzo vya FikraPevu.com, zinasema kwamba Kiongozi wa Upinzani nchini DRC amefariki dunia.
Timu yetu inaendelea na ufuatiliaji wa taarifa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.