International Forum

News and Stories from rest of the World
MAREKANI: Maafisa 3 wa Mamlaka ya Jiji la New York wakiri mamlaka za jiji hilo hutumia zaidi ya Shilingi Bilioni 2 kwa siku kuilinda familia ya Rais Mteule Donald Trump. Inatarajiwa kuwa gharama...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kundi la Mawaziri limetishia kujiuzulu siku ya jumapili ikiwa Rais Jacob Zuma ataendelea kuongoza taifa hilo kama Rais. Tishio hilo limekuja ikiwa bado vikako vya kamati kuu vinaendelea nchini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uongozi wa aliyekuwa mgombea urais wa chama cha Democratic Hillary Clinton dhidi ya Donald Trump wa Republican katika kura za kawaida umeongezeka hadi kura milioni mbili. Rais Mteule Bw Trump...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Kwa utajiri na mbwembwe zooote za huyu jamaa nadhan huyu jamaa ni FREEMASON Wengine mnasemaje
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Rais Mteule, Donald Trump ametishia kuvunja mahusiano mapya kati ya Cuba na Marekani kama Cuba haitokubali majadiliano mapya yenye maslahi ya pande zote mbili. Rais huyo mteule ametoa msimamo huo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za jumapili jaman Nimekaa naangalia mechi za wikiendi hapa nikagundua kuwa timu nyingi tena kubwa kabisa kama vile ARSENAL, MANCHESTER UNITED, LIVERPOOL Na kadhalika zinatoa support kwa...
1 Reactions
18 Replies
7K Views
The author, criminologist from Uganda, touches upon a crucial question of possible expansion of terroristic groups to African countries in his article "Africa should brace for influx of Islamic...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Wasichana wawili waliopatikana wakipigana busu katika paa la nyumba wamewasilishwa mahakamani katika mji wa Marrakesh nchini Morocco wakishtakiwa na tabia za wapenzi wa jinsia moja ,mmoja wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Malema afika mahakamani kujibu mashtaka ya uchochezi Malema ameshtakiwa kwa uchochezi Mwanasiasa wa upinzani nchini Afrika Kusini Julius Malema, amefika mahakamani kwa mashtaka ya kuwachochea...
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Waldimar Pelser | City Press 14:54 27/11/2016 The belief that African states are democratic infants that should all one day grow into Western-style democracies has long bothered Rwanda’s...
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Kundi maarufu linaloipinga serikali ya Cuba limesitisha maandamano yake ya kila wiki kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka kumi na tatu kufuatia kifo cha Fidel Castro ambaye wao wamekuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Check out the utube link of a writer & researcher Alison Weir. Very interesting information.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanafunzi wa shule ya msingi iliyopo Sichuan China, Hutumia ngazi ndefu ya mita 800 ili kufika shuleni, Shule hiyo ambayo imejengwa umbali wa mita zaidi ya 1000 kutoka usawa wa bahari ndio shule...
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Kagame junta has no sense of shame. Kagame owes an apology to Rwandans and the Catholic Church for butchering Rwandans in what he know sells as ” Tutsi genocide”. For purposes of this post, it...
0 Reactions
2 Replies
875 Views
Claire Nadine Kasinge, Spokesperson of the 2017 presidential candidate of the political party ISHEMA led by Father Thomas Nahimana, sleeping in transit at Kenyatta International Airport. She is...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
The FDU-Inkingi denounces the manoeuvres of the Rwandan dictatorial regime aimed at preventing its citizens from returning to their home country freely. According to reliable sources, including...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisia kuwa Barack Obama ni muislamu. Leo nimekutana na hii interview aliyoifanya Obama na kugundua Rais huyo anaeenda kumaliza muda wake wa kukaa pale Magogoni Ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamaa mmoja katika mji wa Zhengzhou mkoa wa Henan nchini China alikwenda kununua gari la kifahari kwa kutumia sarafu na noti zenye thamani ndogo ndogo. Iliwachukua masaa 12 wafanya kazi wa kampuni...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Leo Ijumaa Shirika la ndege la Ujerumani - Lufthansa limefuta safari zake za ndege 830 zilizopangwa kuruka leo hatua ambayo imewaathiri abiria 100,000. Hatua hiyo inafikiwa wakati mgomo wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom