*Making America Great Again*????
Trump's first day at the Oval Office after being elected President.
First briefing by the CIA, Pentagon, FBI...
*Trump:* "We must destroy ISIS immediately.. No...
Israel Accepts Palestinian Offer to Send Teams to Combat Fire
Israel has accepted an offer by the Palestinian Authority to send four firefighting teams to help combat the blazes across the...
Nafurahishwa na wale wanaotumia uwezo wao wote kufanikisha jambo wanalotaka
huyu naye ni miongoni mwao kati ya wale wanaotumia uwezo wao wote kufanikisha jambo wanalotaka anaitwa Ben Carson ...
Bi Kamlesh akiwa na majeraha puani bada ya kukatwa sehemu ya pua yake.
Mwanamke mmoja nchini India amaekatwa pua yake na mumewe baada ya familia yake kushindwa kulipa mahali.
Mwanamke huyo...
Nimesikia watu wanapiga kelele kwa vitu vidogo vya kufikirika. Wengine wanasema clinton ana sera. Leo mnasifia kesho mnakuja na pyoyo kwamba hamtaki wamarekani wawalazimishe mambo kadhaa.
-Kwa...
Raia wa Cuba walioko uhamishoni Miami, ambao walisubiri kwa hamu kumalizika kwa utawla wa Muda mrefu wa Fidel Castro, wameimba na kucheza densi kwa shangwe kufuatia kifo chake licha ya mvua...
Donald Trump: “There Is No Shortcut To Maturity, Africa Should Be recolonized.
Speaking yesterday in Nebraska, Trump said that Africans are slaves living like slaves in their own land yet they...
Habari za sasa wanaJF.
Ni matumaini yenu harakati za kimaisha zinaendelea kama kawaida.
Katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na picha nyingi za marehemu hugo chavez rais za venezuela na...
"He stressed that upon his arrival to Rwanda, Dr. Munyakazi was safe and sound, a man full of humor and passion, a man anyone could tell from his conversations that he really is intellectual."
In...
Ndoto za Donald Trump aliyechaguliwa hivi karibuni kuwa Rais wa 45 wa Marekani huenda zikayeyuka baada ya wajumbe sita wa Democratic watakaopiga kura za majimbo kuanzisha kampeni maalumu ya...
Kuna mashaka mapya kuwa Katika Majimbo kadhaa mfumo wa kuhesabu kura uliingiliwa. Na pia Hilary Clinton Kila kukicha wakiendelea kuhesabu kura za makaratasi na zile zilizopigwa na wasiokuwepo...
Hebu oneni huu upuuzi wa Black Friday...
Kwa wasiojua, Black Friday ni ile Ijumaa baada ya sikukuu ya Thanksgiving ambapo maduka mengi sana huwa na mapunguzo makubwa ya bei ya bidhaa mbalimbali...
Wakili mwenye umri wa miaka 23 amepewa jukumu la kuongoza shirika la Ukraine linaloshugulikia maswala ya ulaji wa rushwa.
Huu ni uteuzi wa pili mkubwa kwa wanamke kuteuliwa kwa wiki za hivi...
In Zimbabwe, where worthless $100 trillion notes serve as reminders of the perils of hyperinflation, President Robert Mugabe is printing a new currency that jeopardises not just the economy but...
At least 36 people were killed and 95 injured when two Iranian passenger trains collided near the city of Shahroud, about 400 km (250 miles) east of Tehran, state television reported. It said the...
Marubani katika meli ya jeshi ya kirusi inayoitwa Admiral Kuznetsov wakifanya mazoezi ya kupaa na kutua katika uwanja wa meli hiyo karibu na mwambao wa uingereza wakati ikiwa katika safari ya...
Ni ajabu ba kweli mwana JF.
Nchini Libya kima mmoja wa kufugwa alimshambulia binti mdogo. Familia ya binti huyo ikaamua kulipiza kisasi kwa familia iiyofuga huyo kima. Waliua watoto 3 pamoja na...
Vyombo vya usalama vya Iraq vimesema kwamba zaidi ya watu themanini wameuawa kwa shambulizi la bomu lililowalenga madhehebu ya kiislamu ya kishia kusini mwa mji wa Baghdad.
Gari lililokuwa...
Nikki Haley alikuwa mkosoaji mkubwa wa Donald Trump wakati wa kampeni yake.
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemchagua gavana wa Carolina kusini, Nikki Haley, kuwa balozi mpya wa Marekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.