19 spectacular photos inside Obamas’ new home
We take a look inside Obama's new home PHOTO: WASHINGTON FINE PROPERTIES VIA DAILY MAIL
Come January, US President Barack Obama and family will...
Takribani watu 15 wamepoteza maisha na wengine 18 hawajulikani walipo baada ya mlipuko kutoke katika mgodi wa makaa ya mawe huko kusini mashariki mwa china katika mji unaoitwa Chongqing.
Inadaiwa...
It was presumed from the outset that the 21-member World Heritage Committee would approve the resolution, particularly given its unfriendly roster of states.
Priestly Blessing at The Western...
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte, ameahidi kuacha kutumia lugha ya matusi baada ya kile anachosema kuwa ni kupata ujumbe wa moja kwa moja kutoka kwa Mungu.
Rais huyo, alliyemwita Rais Barack...
Obasanjo replies Folorunsho Alakija: You’re one of the 25 billionaires I created
BY NADUM 30 OCT , 2016
Olusegun Obasanjo, former president, says Folorunsho Alakija, one of Africa’s richest...
Aliyewahi kuwa rais wa El Salvador Tony Saca amekamatwa na vyombo vya usalama kwa tuhuma za makosa mbalimbali ikiwemo tuhuma za utakatishaji wa fedha.
Aidha watu wengine waliohudumu katika...
Tanzania should immediately address challenges highlighted in recent reports on the investment climate and ease of doing business, stakeholders have advised.
Reports released recently by the...
Turkey has this morning warned the conflict in Syria will be the flashpoint for World War III as global superpowers back opposing sides. “If this proxy war continues, after this, let me be clear...
Maafisa wa polisi huko Serbia, wamemuondosha waziri mkuu wa nchi hiyo Aleksandar Vucic na familia yake, hadi maeneo salama, baada ya kupatikana kwa idadi kubwa ya silaha karibu na nyumbani kwake...
Utafiti uliohusisha idadi ya watu 35000 umeonyesha kuwa 70% ya wamarekani walijitambulisha wao kama waumini wa dini ya kikristo, hali hii ni tofauti na ule utafiti wa mwaka 2007 ambapo ilionyesha...
Taarifa zilizopo ni kwamba kuna tetemeko kubwa LA 7.1 kwenye kipimo cha Ritcher limeikumba Italy Leo. Kuna thread iliwekwa Humu mwezi huu kwamba tutarajie uwepo wa matetemeko makubwa zaidi ya...
Tetemeko jingine limetokea nchini Italia ikiwa ni miezi miwili kabla ya kusahaulika tetemeko lililotokea mwezi Agosti lililoacha watu 300 wakiaga dunia. Mpaka sasa imeripotiwa watu kuuumia bila...
Jimmy carter anashangazwa kwa nini hillary anabebwa namna hii.FBI agent anasema kwa FBI director Kufanya hivi week moja kabla ya uchaguzi ni kitu very serious na Hillary anaweza hata Kama ni...
Nato haitafuti mzozo na Urusi wala haihitaji vita vingine baridi kwa mujibu wa katibu mkuu wa jumuiya hiyo, Jens Stoltenberg.
Stoltenberg anasema kuwa mipango ya kupeleka wanajeshi 4000 zaidi...
The Spanish government's announcement that is reviewing a request from Moscow to refuel the Russian flotilla heading for Syria is a welcome, if belated, gesture of solidarity with its Nato allies...
Bomu lililotegwa ndani ya gari, limelipuka na kuwauwa watu kadhaa katika mji wa Benghazi, nchini Libya.
Waliouwawa wanasemekana kuwa wanaharakati wa kisiasa wanaofahamika na wanaohusishwa na...
An Iranian Navy fleet has docked at Tanzania’s Port city of Dar es Salaam in line with the Islamic Republic’s strategy of expanding its naval presence in the high seas.
The 44th flotilla of the...
Umoja wa Mataifa umefanikisha kuachiliwa kwa watoto 876 wanaozuiliwa na wanajeshi wa Nigeria na vikosi vya usalama baada ya kuteka ardhi iliyokuwa ikikaliwa na Boko Haram.
Watoto hao wamekuwa...
Mwanaume nchini Chongqing China, alitumia paundi 18, 118 kukarabati nyumba akidhani ni yake, kumbe alikuwa amechanganyikiwa
Jamaa huyo alikuwa amenunua nyumba katika gorofa 40 ya jengo hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.