International Forum

News and Stories from rest of the World
A Moroccan real estate company has announced it will construct 5000 affordable housing units in Kigali city. Palmerie Development Group company sealed the deal worth $ 68 million. The houses will...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Sahara ya Magharibi ni eneo la Afrika ya Kaskazini-Magharibi kwenyemwambao wa Bahari Atlantiki upande wa magharibi. Imepakana na Moroko upande wa kaskazini, Algeria upande wa masharikina...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Wasalaam, Leo nimesikia kwamba mkurugenzi wa mtandao maarufu sana Wikileaks ambao kwa siku za karibuni umekuwa ukivujisha habari nyingi hapa duniani; hasa za uchaguzi wa Marekani amefariki dunia...
4 Reactions
20 Replies
5K Views
Serikali ya Gambia imetangaza kujitoa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu ICC. Hatua hiyo imekuja kutokana na madai kuwa ICC hushughulika na Waafrika pekee. Maamuzi ya kujitoa katika...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Sasa Wazungu wanasema kama nchi za Kiafrika zikijitoa ICC, kuna hatari ya Mahakama hiyo kuvunjwa, sasa swali ni kwa nini? Je, nchi za Afrika tuseme zikijiondoa UN, Je Umoja huo utavunjwa kwa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Colin Powell siku ya jumanne ametangaza kumuunga mkono mgombea wa Hillary Clinton. Kiongozi huyo ambaye amaewahi kuhudumu katika utawala wa...
0 Reactions
3 Replies
915 Views
Wapiga kura watapiga kura Ntarehe 8 Novemba kumchagua rais atakayemrithi Barack Obama wa chama cha Democratic. Hapa tutakupatia tathmini ya udadisi wa kura za maoni nchini humo, hasa kuhusu...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Saizi tupo karne ambayo dunia inaendelea kwa haraka na watu wengi wanataka vile vile kujua nini kinaenaendelea duniani kwa haraka. Lakini hili jukwaa naona sehemu nyingi limepoa nakupoteza mvuto...
0 Reactions
2 Replies
758 Views
Tizama jitu la majini hilo kwa bahati mbaya lilitangulia mbele ya haki.
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Kundi moja la waasi Sudan Kusini limewaachia huru watoto 145 waliokuwa wakitumiwa kama wapiganaji. Watoto hao walikuwa wakitumiwa na vikundi vya Cobra Faction na SPLA ambavyo vimekuwa vikipambana...
0 Reactions
0 Replies
471 Views
BY DAVID DAYEN October 14, 2016 The most important revelation in the WikiLeaks dump of John Podesta’s emails has nothing to do with Hillary Clinton. The messages go all the way back to 2008, when...
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Mtoto mchanga wa kike kutoka Lewisville, Texas, 'amezaliwa' mara mbili baada ya kutolewa katika kizazi cha mama yake kwa dakika 20 ili kufanyiwa upasuaji. Akiwa miezi minne mja mzito, Margaret...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Good Wednesday morning. Many of you thanked us for making yesterday's newsletter a Trump/Clinton-free offering. Sorry to disappoint today. Here's what you need to know to Get Up to Speed and Out...
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Chaguzi zote za Wazungu huwa zinaibiwa au kwa maana nyingine huwa zimeshapangwa na Rais au Kiongozi huwa tayari ameshateuliwa wanachofanya Wananchi ni kutimiza wajibu wao tu, lkn Wazungu wamekuwa...
14 Reactions
43 Replies
5K Views
VITA vinavyoendelea nchini Syria vilivyodumu kwa miaka mitano sasa viko mbioni kuiingiza dunia yetu katika Vita Vikuu vya Tatu vya Dunia. Wakubwa wa Dunia yetu, Marekani na Urusi, wanaonekana...
26 Reactions
338 Replies
41K Views
Huyu mtoto mama yake Margret alihisi uvimbe tumboni mwake mimba ikiwa na miezi Saba alipoenda hospital akapimwa ikagundulika uvimbe kwa mtoto ambae kwa sasa amepewa jina la leanley. Ilibidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Africa remains a key territory on the global map. Rich in oil and natural resources, the continent holds a strategic position. It is the world's fastest-growing region for foreign direct...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Vladimir Putin ni Rais wa Urusi toka 7th May 2012, kabla ya hapo alishakuwa Waziri Mkuu wa Urusi kati ya mwaka 1999 na 2000 akawa tena Rais wa Russia kuanzia 2000 mpaka 2008, kuanzia 2008 mpaka...
16 Reactions
30 Replies
4K Views
Mdororo wa Uchumi Nigeria umeathiri kampuni ya Dangote Group inayomilikiwa na mtu tajiri zaidi barani Afrika Aliko Dangote. Kampuni hiyo imeripotiwa kuwafuta kazi wafanyikazi 48 wakiwemo wataalam...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Burundi imepiga marufuku makundi 10 ya kutetea haki za binadamu, huku muungano wa kutetea haki na maslahi ya waandishi habari pia, ukivunjwa. Hiyo ni hatua ya hivi punde zaidi ya kupambana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom