Kuanza kwa vita baridi kati ya Urusi na Marekani kutaathiri na kurudisha nyuma sehemu kubwa ya Demokrasia iliyokuwepo Africa kwa miongo miwili. Baada ya vita vikuu vya pili ya dunia mataifa haya...
Bwana harusi, Mahankali Anill mwenye umri wa miaka 22 alichinjwa na kuvunjwa kichwa kwa jiwe kubwa na familia ya msichana mwenye umri wa miaka 18 aliyekuwa akimuoa.
Mashirika ya habari yalisema...
Baada ya nchi ya Afrika Kusini kuamua kuachana na ICC sasa Wazungu wanahaha huku na kule kujaribu kuzuia hili gharika wamekwenda mbali na kuwataka Afrika Kusini waseme wanachotaka kiwe reformed na...
Maafisa wa kampeni wa mgombea urais wa chama cha Republican nchini Donald Trump wamekiri kwamba mgombea huyo yupo nyuma ya mpinzani wake Hillary Clinton wa chama cha Democratic zikiwa zimesalia...
Naona kuna mwamko mkubwa sana wa nchi za kiafrika ambazo ni wanachama wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita kujitoa kwa kisingizio cha kuwa eti wanaoandamwa ni viongozi wa kiafrika tu...
Kufuatia serikali ya Ethiopia kutangaza hali ya hatari baada ya makabila mawili hasa la Oromo kuanzisha maandamano yasiyo na kikomo ya kuipinga Serikali wakidai kabila lao limetengwa Kiuchumi...
Ndege ndogo iliyokuwa imewabeba maafisa wa Umoja wa Ulaya(EU) imepata ajali baada ya kudondoka muda mchache baada ya kupaa.
Maafisa hao watano wa EU wote wamefariki dunia katika ajali hiyo ya...
Maneno hayo yamesemwa na mwanamama waziri toka chama cha Progress, Sylvi Listhaug aliyoyaweka katika ukurasa wake wa facebook, katika kuwakaribisha na kuwashauri wahamiaji wa kiislamu...
Taasisi ya Upelelezi FBI imeanza kufanya uchunguzi ili kugindua chanzo cha mitandao mbalimbali jana nchini humo kuvamiwa na kushindwa kufanya kazi.
Mitandao hiyo iliyovamiwa ni PayPal, Amazon...
UPDATES
========
- Ndege za kivita za Marekani zimeteketeza kiwanda cha kuunda magari ya kutumia kwenye vita kichokuwa kikitumiwa na magaodo wa ISIS na hakuna kilichosalimika.
- Magaidi wa ISIS...
Takribani wanfungwa 174 wametoroka katika Gereza moja nchini Haiti baada ya Wafungwa hao kufanya fujo zilizoplelekea kupoteza maisha kwa askari wa ulinzi.
Mamlaka za ulinzi mpaka sasa zimesema...
ASSUMING that her opponent fails to recover, Hillary Clinton can reach the White House even without Nevada, which polls suggest is in her grasp. Yet Nevada could hardly matter more to her.
To...
Rais wa Ufilipino, Rodrigo Duterte ametangaza kusitisha Uhusiano wa kiuchumi, kijeshi na Marekani ingawa Marekani imekanusha kupata maombi hayo.
Amesema kuwa anaanza kushirikiana kikamilifu na...
Mwaka huu lazima pachimbike, habari ndiyo hiyo kwa mujibu wa polls ni kwamba zaidi ya 70% ya Wanachama wa Republicans wanaamini kwamba Obama ataiba kura za D.Trump!
Laana ya kumuua Gadafi inazidi...
SOMALIA: Maharamia wamewaachilia huru watu 26 baada ya kuwateka wakiwa ktk Meli karibia na visiwa vya Shelisheli miaka 5 iliyopita.
- Maharamia waliwateka jumla ya watu 29 mnamo mwezi Machi mwaka...
Takribani Watu 55 wamefariki Dunia na wengine zaidi ya 600 wakijeruhiwa baada ya treni ya abiria iliyokuwa ikitoka Younde kuelekea Doula kupinduka.
========
AT LEAST 55 people were killed and...
Idadi ya watu waliokufa kutokana na ajali ya treni nchini Cameroon imeongezeka kutoka watu 55 na kufikia watu 70 na wengine 300 wanapatiwa tiba kutokana na majeraha ya ajali hiyo ambayo ilitokana...
Kwa muda wa miaka mingi nimekuwa nikifatilia chaguzi mbali mbali za Marekani lakini kuna kitu kimoja ambacho nimekuja kukifahamu hawa jamaa pamoja wanatulazimisha sisi nchi za dunia ya tatu tuwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.