October 19, 2016 at 11:25 pm
By Dan Ngabonziza
King Mohammed VI (l) and President Paul Kagame
A Moroccan real estate company has announced it will construct 5000 affordable housing units in...
Wadau mimi kwa maoni yangu binafsi hii tuzo la Nobel Prize huwa linatolewa kinafiki sana. Maana halisi ya nia ya mwasisi wa tunzo hili Alfred Nobel mwaka 1901 ilikuwa ni kutoa tunzo hili kwa...
Afrika Kusini imeanzisha mchakato wa kujiondoa kutoka uanachama wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita.
Wanadiplomasia wa Afrika kusini wamearifu umoja wa mataifa juu ya uamuzi huo na...
Shirika la Ndege la Emirates lasema kuanzia Oktoba 30 litasitisha safari zake kati ya Dubai na Abuja kutokana na kuyumba uchumi wa Nigeria.
=========
Emirates Airline kuahirisha mara nne...
Trump amesema kupitia debate ya Jana alipoulizwa swali na moderator kuwa je atakubali matokeo ya uchaguzi endapo atashindwa?
Amesema siwezi kukubali sasa nitakubali badae siwezi kuongea kwa...
Historia ya kale Ya Rwanda
Wakazi wa kwanza huaminiwa kuwa wawindaji wa jamii ya Wasani.
Katika karne za kwanza BK walifika wahamiaji Wabantu wenye ujuzi wa kilimo na uhunzi.
Rwanda ilikuwa eneo...
Baada ya kuaga Dunia nzima kuanzia kuanzia, Mexiko, Brazili, Ulaya yote, Australia mpaka Asia yote, ni Afrika tu, tu ndiyo bado Raisi Obama hajakanyaga kuja kuaga, ingawaje sisi ndiyo tuliofurahia...
Yule kaka wa Obama ajulikanye kama Maliki Obama amesema kwamba ana wasi wasi hata kama Raisi wa USA Barack Obama ni ndugu yake, ana ana wasi wasi kama ni mtoto wa baba yake!
Kanali Muommar Gadhafi miaka 68- alipata madaraka katika mapinduzi yasiyo ya kumwaga damu mwaka 1969- alimpindua aliyekuwa mfalme wa Libya wakati huo Mfalme Idris.
Watoto wa Gadhafi
1...
Taasisi ya mambo ya anga barani ulaya imetangaza rasmi kupotea kwa kifaa kilichokuwa kikielekea sayari ya Mihiri(Mars), kilitakiwa kutua siku ya Jumatano.
Taasisi hiyo imesema kifaa hicho...
Raisi Obama ni kiongozi wa taifa kubwa na lenye nguvu sana hapa duniani.
Kwenye masuala ya Ulinzi ndiyo usiseme kabisa. Wako mbele zaidi ya nchi nyingi hapa duniani kwenye masuala ya TEHAMA, miaka...
Ubalozi wa Equador nchini Uingereza umekatiwa Mawasiliano ya Internet, kwa sababu Assange alianza kutoa email za mgombea urais wa Marekani Hilary Clinton, hizo emails zingemvurugia huyu mama...
Wakuu nauangalia uchaguzi wa mwaka huu unanipa mashaka sana juu ya matamshi ya mgombea urais kutoka republican bwana Donald Trump kama kweli ni mgombea anayetaka kushinda urais kupitia wapiga kura...
Mahakama ya katiba ya Congo yakubali maombi ya Tume ya Uchaguzi kuahirisha uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi Novemba hadi April mwaka 2018.
Kwa hatua hiyo huenda rais Joseph Kabila akaendelea...
TOKYO – A powerful earthquake with a preliminary magnitude of 6.6 shakes western Japan, but there is no danger of a tsunami being caused.
The Meteorological Agency said the earthquake occurred...
Libya's ex-leader Colonel Muammar Gaddafi is missed by residents in the capital Tripoli.
Five years after Gaddafi was lynched by a mob with the help of of NATO air-strike, the people of Libya...
Katika kutathmini viwango vya elimu duniani, wengi wamekuwa wakiangazia sana ubora wa vyuo. Lakini kwa jumla, ni mataifa gani yenye wanafunzi walio bora zaidi?
Jambo la kushangaza ni kwamba...
Judge in El Chapo Case Assassinated While Jogging!
The Mexican judge handling the high profile case of drug lord Joaquin ''El Chapo'' Guzman was shot at point blank range and killed while jogging...
Naona sasa matayarisho ya Vita KUU yamewadia, katika hali isiyo ya kawaida baada ya kuahirisha state visit yake nchini Ufaransa, Raisi wa Urusi W. Putini amewataka Wanadiplomasia wote pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.