Siku chache baada ya Burundi kutangaza maamuzi ya kujitoa kwenye Mahakama ya makosa ya uhalifu ICC, Umoja wa Ulaya umetangaza kuitenga serikali ya Burundi kwenye masuala ya fedha za kikosi chake...
Wanajeshi kadhaa wa jeshi la Nigeria hawaonekani baada ya kushambuliwa na kikundi cha Kiislamu katika mpaka wa nchi hiyo na Niger.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya jeshi haikutaka kuthibitisha...
Kama ikatokea Mama Clinton wa kule USA akashinda uchaguzi na kuwa Rais wa USA, basi yaweza kuwa bahati kwa mtoto wao. Anaweza kuwa mmoja ya watoto wachache huku duniani kuishi na wazazi wake...
The Official Reasons
We all know the governments of the West, lead by the US and the UK, have turned against Russia. There are many reasons offered by our media: Russia tried to stop the Ukraine...
Taifa la Burundi hatimaye limekuwa taifa la kwanza kujiondoa rasmi katika mkataba wa Roma unaosimamia mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita ICC.
Hatua hiyo inajiri baada ya rais wa taifa...
RAIA wa Libya sasa wameanza kujutia kifo cha aliyekuwa kiongozi wao Muammar Gaddafi aliyeuawa miaka mitano iliyopita huku wakisema kuwa hali ya maisha imekuwa ngumu nchini humo.
Wakazi wanaoishi...
Shirika la utangazaji la NBC nchini Marekani limemfuta kazi mtangazaji Billy Bush ambaye amekuwa akiendesha kipindi cha Today.
Mgombea urais wa chama cha Republican alikuwa anahojiwa na Bw Bush...
Jaji wa Mahakama Kuu aliyekuwa akisimamia kesi mbalimbali haswa watuhumiwa wa madawa ya kulevya ikiwa ni pamoja Joaquin "El Chapo" Guzman ameuawa kwa kupigwa risasi kichwani akiwa nje ya nyumbani...
Rumors are swirling that Julian Assange has been captured and sent on a rendition flight to Charlotte, North Carolina aboard a United States military plane known as Guantanamo Bay Express...
Afisa wa zamani wa ngazi ya juu nchini China, aliyepatikana ameficha bilioni 63 nyumbani mwake, amehukumiwa kunyongwa.
Wei Pengyuan alikuwa afisa mkuu aliyekuwa akisimamia Idara ya Makaa ya Mawe...
Ndege mojawapo ya Shirika la Ndege la huko HongKong, CATHAY PACIFIC, aina ya Boeing 747 imeruka safari yake ya mwisho kabisa na ya heshima kubwa tokea Tokyo Japan hadi Hong Kong CHINA, huku...
Ripoti za uongo kwamba Angola imekuwa taifa la kwanza duniani kupiga marufuku Uislamu zimezuka.
Clare Spencer anauliza iwapo hilo linahusishwa na uchaguzi wa urais nchini Marekani.''Waislamu...
By RAYMOND BONNER,
Published: November 12, 1994
KIGALI, Rwanda, Nov. 8—
The death of Rwanda's President in a plane crash last April touched off a frenzy of killing: several hundred thousand...
Shirika la Utangazaji la NBC la nchini Marekani limemfukuza kazi Mtangazaji wake, Billy Bush kwa kosa la kumhoji Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya REPUBLICAN, DONALD TRUMP kuhusiana na...
Mke wa mgombea urais wa chama cha Republican Donald Trump, Melania, amesema wanawake wanaomtuhumu mumewe kwa kuwadhalilisha kingono ni wanasema uongo, na kusisitiza kwamba Bw Trump ni "mwanamume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.